The Wapi Project was a civic action program originated by the Royal Lao Government; it was performed in Military Region 4 of Laos from late 1963 through 1967. Notable for being among the first integrated programs to offer integrated services to the Lao Theung populace of southern Laos, it became a victim of its own success. Its lean efficiency led to its being crowded out of funding by more expensive programs.
Wakuu salamu zenu.
Awali ya yote nitoe shukrani zangu za dhati kwa wana JF wote hasa jukwaa la ujenzi na makazi. Niliomba kuelekezwa mahali pazuri pa kuishi Dar nikitokea mkoani. Nashukuru kupitia maelekezo yenu nimeweza kussetle vema kabisa jijini.
Baada ya hapo naomba kupewa tena msaada juu...
Hawa watu wanaosoma degree ya Political Science katika vyuo vya hapa Tanzania huwa wanaajiriwa wapi? Ni kazi gani mahususi ambazo zinahataji waliosomea political science tu?
Hii degree naona imekaa kimtego sana na kama haina mashiko kabisa kwa nchi kama ya Tanzania.
JIBU
Tabia ya kuharibu uchaguzi, kuiba kura na tabia ya kutekana, italeta umafia wa kuuana, mgawanyiko katika nchi na vurugu za kiitikadi miongoni mwa raia, kisha vurugu za kiitikadi miongoni mwa askari na mwishoni nchi itaingia kwenye vita ya wenyewe kwa wenyewe hasa kwa itikadi za kisiasa...
Wakuu hivi sehemu sahihi ya kiutafutaji katika ya Morogoro na Katavi ipi ni sahihi? Kwa maana ya biashara ya mazao na maduka ya dawa Morogoro maeneo ya Ifakara, Mvomero, Malinyi, Kilombero na Mlimba?
HABARI YA PASAKA JF,Je Ulishawahi Kujiuliza Unaenda Wapi Ukisha kufa? Fuatana na Mimi Asubuhi Upate Elimu.
MTU AKIFA ANAENDA WAPI?
Mwili hushushwa ardhini baada ya pumzi kurudi kwa muumba,yaani baada ya nafsi kufa!
Kifo kinauma sana,na ukizingatia wengi hatujui nini kinafuatia baada ya...
Aminia sana wakuu. Moja kwa Moja kwenye Mada, Wakuu Naomba mnipe uelekeo nahitaji kujua sehemu gani TANGA MJINI ambayo naweza nikapata kazi zile nzito nzito za ujenzi au kubeba zege au kwenye viwanda vya nondo vya wahindi kama vipo, Viwanda vya cement, Kushusha mizigo nk. Ili nikatafute kazi...
Wakuu habari Mimi Niko Chuo mwaka wa tatu Sasa.
Napenda Sana kufanya mazoezi Sasa nataka kutumia hii passion ya mazoezi kupiga Hela.
Swali wapi ntapata chuo AU college AU wapi naweza kufundishwa kwa vitendo kuwa professional physical trainer
Ili baada ya hapo niweze kujiajiri hata kuajiliwa...
Ebana daah hii Kila inapopigwa nakumbuka tu Ile style ya suti bwanga, mkoti mkubwa🤣na wanchoma kumoyo, umenyoa afro fulani hivi.
Zile chupa bia zilikuwa kubwa kubwa kishenzi
"ilikua ikifika siku za siku kuuu"
Kuna ule mstari.
Anakwambia "Ata mvua ikinyesha Leo seya lazima tutoke leo"...
Hebu tuwe wakweli shida ya Yanga ipo wapi?
Wachezaji hawana teamwork?
Ina wachezaji ambao hawajui kusoma wapinzani?
Wachezaji wamelewa sifa?
Physicality ya wachezaji ni hafifu?
Wameingia kwa dharau na matokeo mfukoni?
Karibu kwenye mjadala wa Utopolo katika Utopolo wao.
Pang Fung Mi
Aisee nimeshaona mijadala Mingi saana ikisema Tanzania hakuna developer mara ujanja ujanja mwingi... hapa nitaelezea sababu kuu tatu ambazo ndo zinapelekea haya mambo.
1.Ufahamu wa Technology (Elimu)
yaani ni zaidi ya 60% ya watanzania wanamiliki simu janja lakini swala la matumizi sahihi ya...
Huyu ni DED wa ajabu kuwahi kutokea
Hutembea na kuku na bata wake hata akipata uhamisho. mbaya zaidi anatumia muda mwingi kuongea kuliko kutenda.
Mara anakwenda na mafailli nyumban nk.
Mara ya mwisho nilikutana naye halmashauri moja iringa hko..
Yupo wapi huyu mwamba/ a typical CCM and...
Bado uwanja Mtupu au mpaka hadi tusemwe ndio tununue tiketi,tulichozoea ni kunywa supu ila Azam na Tabora wamekatia ham ya supu. 😭😭 Tukutane kesho uwanjani mashabiki wa Yanga Sc 💚
Habarini Wana Dodoma, nimeingia hapa jijini Leo jioni toka Mbeya,mwenye kujua location ambayo naweza kupata chakula Cha kitofauti kabisa mathalani ugali wa mtama au uwele na nyama ya punda anielekeze ili nikirudi Mbeya ije kuwa sintosahau radha ya hicho chakula
Ndoa ni moja ya agizo la Mungu kwetu wanadamu,lakini agizo hili limekuwa na changamoto kutimizwa nasi hasa Katika karne hii ya 21,kwani vijana wengi tumekuwa na kaulimbiu Ambayo inachochea kukataa agizo hili"Kataa ndoa,tengeneza Maisha"
Hata hivyo kuna minong'ono kuwa"Umri wa wanandoa huchangia...
Hodi Jamvini,
Nawasilisha mada hapo juu kuhusu dhana ya MaCEO's ambayo huku ipo lakini naona bado ipo duni sana.
Kwenye suala la utendaji hatupimani kabisa kuhusu performances. Unakuta mtu ni mtendaji mkuu wa kuajiriwa iwe ni sekta binafsi au serikali yupo miaka mingi lakini bado Shirika au...
Swali kama lilivyo kwenye subject.
Hizi zinatengenewza kwa acrylic au fiberglass.
Zinakuja vipande vitatu vinaunganishwa kwenye site.
Naweza kuzipata wapi Dar?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.