The Wapi Project was a civic action program originated by the Royal Lao Government; it was performed in Military Region 4 of Laos from late 1963 through 1967. Notable for being among the first integrated programs to offer integrated services to the Lao Theung populace of southern Laos, it became a victim of its own success. Its lean efficiency led to its being crowded out of funding by more expensive programs.
Ninachojiuliza ujenzi wa barabara ya Sitalike kwenda Kibaoni ulianza kujengwa kwa kiwango cha lami kwa kasi sana na pasipo shaka fedha nyingi zimetumika kwenye hatua waliyoishia, je fedha hizo zimeenda bure mbona mambo yamesimama?
Wananchi tulitegemea barabara itakamilika kujengwa kwa wakati...
Popote ulipo au mtu yeyote unayemfahamu naomba unisaidie kumpata au kupata taarifa zake.
Miaka ya 1987/1988 ilikuwa ukifanya kazi shirika la posta na simu Urambo mjini. Ulihamishwa na kupeleka kituo kingine Cha kazi na ndiyo mwisho wa kupoteza mawasiliano Yako.
Kuna taarifa kwamba...
Katibu Mkuu wa TEC Padri ametoa rai kwa mamlaka za juu kuacha kuigilia mamlaka za chini hususani katika mchakato wa kuchagua viongozi wa Serikali za Mitaa na Vijiji.
Amesema katika Chaguzi za hivi karibuni kumeibuka mtindo wa kuwanyima haki baadhi ya wagombea hasa wa upinzani kutokana na...
Wadau kama kichwa kinavyosema, nimekwama nahitaji angalau 5k nipate lunch, ni site au app gani inaweza kunifanikishia hilo kwa muda mfupi?
Naombeni muongozo wadau, jua ni kali tumbo lina mgogoro.
Asubuhi yote hii unamka umwache mtoto wa mtu mpweke amejikunyata kwa baridi hii unaenda wapi. Hali ya hewa ilivyo tamu kwa...
Hebu endelea kupata kumbato bana au huna uhakika ndio maana unataka ufanye usafi🙌🏿😀
Hebu rudi kulala, mkumbatie na kuengemee💕
Ukienda vyuo vikuu hapa Tanzania unakuta wasomi huko (hasa madaktari na maprofesa) wanaa maandikp mengi ya tafiti walizofanya katika masuala mbalimbali ya maemdeleo (kijamii, kiuchumi, kilimo, afya, elimu, uongozi, kisiasa n.k).
Je, matokeo ya utekelezaji wa tafiti hizo nani anafuatilia...
Kwa wapenzi wa live band na karaoke hasa kwenye lounges tofauti watakubaliana nami kuna vijana wanaimba kwa kiwango cha juu sana tena nyimbo wametunga wao.
Pili kuna hawa wanaimba nyimbo za kuiga za kila namna. Katika kundi hili utakuta kijana anaimba vizuri hadi kumzidi mtunzi wa wimbo husika...
Habari wanajimii forum. Hii ishu aliipata rafiki yangu mmoja hivi ni ishu ya kweli kabisa.
Jamaa anandoka ya miaka zaidi ya 9 na wamefanikiwa kuwa na watoto. Kusema ukweli mke wake ni mrembo haswa Tena haswa kweli kweli. Anafanya kazi kwenye shirika Moja hapa DSM.
Mume wake anagari ambalo...
Mikwala Miiiiiiiiiingi kama Russia.
Nakumbuka zamani mtu anatishia kupigana huku akivua shati na kutema mate chini halafu harushi hata ngumi moja.
Samaleko ndugu zangu wavaa kobasi na suruali za Kareti
Ni swali ambalo nimejiuliza kwa muda kidogo. Tunapataje uwiano katikati ya mambo haya?!
Bepari atanuna, but na sisi tuko non aligned, Sijui tinafanyaje
Msikiti unaweza kukaa miaka 20 bila kusolve tatizo la ukuta wa fence na waamini bila hata aibu kila siku wataingia kuswali na kuondoka
Kwanini Mashekhe wasiombe hata semina na Wakatoliki na Walutheri wajifunze mbinu za kutengamaza na kutegemeza Misikiti Yao; utakuwa Wakatoliki Parokia...
Leo kwenye kipindi cha asubuhi cha Wasafi fm wameruhusu kupokea simu za malalamiko ya ukosefu wa maji, kwa hakika ni huzuni na masikitiko makubwa inaonekana eneo kubwa sana la jiji la Dar halina maji kulingana na uwingi wa simu zilizopigwa.
Wapo walioenda mbali zaidi na kusema wamekuwa wakiona...
Hello!
Mara nyingi watu wanataka kujua kijana Godlove pesa anatoa wapi.
Wengine wanakwenda mbali na kusema zile si pesa halisi kwamba ni pesa bandia, si kweli. Zile anazopiga nazo picha ni real money.
Kama ni pesa bandia na yale maisha ya gharama ya kusafiri na msafara huko na huko anatumia pesa...
Sasa kwanini umsumbue binti wa watu na hela hautoi
Mapenzi gani unataka kwa mwanamke akikuomba hela unakimbia simu?
Kama unataka mapenzi ya Bure nenda kwa Yesu
Alisikika mama mmoja hospital akiwa na mwanae wanasubiri kuingia chumba cha daktari..
Wanaume vipi tena mnakwama wapi?
Wakuu hivi ile filamu ya kitanzania iliyojulikana kama Eonii ambayo ilipigiwa sana Promo na watu kuifananisha na movie za hollywood imeishia wapi?
Soma pia: EONII 2023 movie ya kwanza kali ya Technology Tanzania, kama Hollywood vile
Rais Mwinyi ameondoka kulekea China kwenye ziara ya maonesho ya bidhaa mbalimbali, ikumbukwe last week alikuwa Doha Qatar kwenye kongamano la familia. Mhe. Rais Samia alikuwa Marekani kwenye kongamano la Kilimo, kwa sasa yupo Barbados visiwani akisubiri kwenda Cuba kwenye Kongamano la Kiswahili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.