wapi

The Wapi Project was a civic action program originated by the Royal Lao Government; it was performed in Military Region 4 of Laos from late 1963 through 1967. Notable for being among the first integrated programs to offer integrated services to the Lao Theung populace of southern Laos, it became a victim of its own success. Its lean efficiency led to its being crowded out of funding by more expensive programs.

View More On Wikipedia.org
  1. Afisa Mteule Drj 2

    Wapi naweza kupata hii spare?

    Ni disk zinazotengeneza pellet kwa ajili ya mifugo,hizi zilikuja na mashine matundu yake ni ya aina moja sasa nataka zenye matundu madogo zaidi
  2. Scolari

    Bollen Ngetti yuko wapi?

    Jamaa anaitwa Bollen Ngeti kada wa CCM aliyekuwa anamkosoa Hayati Magufuli wakati wa utawala wake, mfuasi wa Membe na alikuwa anaibua hoja jadidi na kuntu, yuko wapi? Nimejaribu kutazama mitandaoni nafikiri mara ya mwisho kuandika jambo ilikuwa 2019 yuko wapi?
  3. N

    Yuko wapi mtangazaji Barbara Hassan

    Wanajamvi ni kipindi kirefu kimepita sijamsikia mtangazaji huyu kwenye vipindi alivyokuwa anatangaza redio clouds. Yu wapi mtangazaji huyu jamani nimemiss sana utangazaji wake.
  4. Brave_Idiot

    Mablogger mko wapi?

    Mkombozi wa mablogger bongo ni Adsterra, lakini hizi siku kadhaa kama haifanyi kazi inasumbua hivi au nikwangu tu wakuu? Ukiachana na adsterra nani mwingine ana cpm nzuri maana monetag duuh! Hapana "Tupeni machimbo wakuu"
  5. K

    LGE2024 Sijui mgogoro huu utafika wapi wa Viongozi wa CCM katika Mtaa wa Nera, baadhi hawamtaki Mwenyekiti aliyemaliza muda wake

    Imeelezwa kuna uwepo wa mgogoro wa viongozi wa CCM katika Mtaa wa Nera, Kata ya Isamilo, Manispaa ya Nyamagana. Hayo yanajiri baada ya viongozi kutohitaji uwepo wa jina la Mwenyekiti aliyemliza muda wake (Abubakar Self) kugombea nafasi hiyo kwa mara nyingine kutokana na jitihada zake za kuibua...
  6. Mr mutuu

    Welfare check: Yupo wapi member ephen?

    Last time huyu member alikua anasema ana changamoto za kiafya, tumezoea hua anakua active sana ila sa ivi naona kama account yake inakua dormant... Huyu member Yuko wapi Analyse
  7. Waufukweni

    LGE2024 Wiki moja baada ya agizo la RC Kilimanjaro: Wizi wa Vitabu vya Majina ya Wakazi, Polisi mmefikia wapi?

    Ni zaidi ya Wiki moja sasa tangu Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Nurdin Babu, alipotoa agizo kwa Jeshi la Polisi kuwasaka na kuwachukulia hatua wale waliohusika katika wizi wa vitabu vya majina ya wakazi katika kituo cha Josho, kijiji cha Kikelelwa, wilayani Rombo. Tangu wakati huo, hakuna taarifa...
  8. Melki Wamatukio

    Dada Poa waliodhibitiwa na Mkuu wa Wilaya ya Ubungo walitokomea wapi?

    Hivi umewahi kujiuliza mahali walipokimbilia wale dada poa (vipozeo) baada ya kudhibitiwa na mkuu wa wilaya ya Ubungo? Wako wapi? Ama wanafanya nini kwa wakati huu? Walijiajiri ama kuajiriwa wapi? Hii inastaajabisha sana! Hata Dinosours hawaku-perish kirahisi hivi kutoka kwenye uso wa dunia...
  9. F

    Juma Mgunda yuko wapi?

    Kwenye benchi la Namungo yupo ngawina ngawina, kocha mgunda hayupo. Kuna nini, si alitajwa kuwa ndiye Kocha Mkuu wa Namungo?
  10. Jidu La Mabambasi

    Je hili vazi la Mh Kawawa lilitoka wapi?

    Je, wajua kwa nini Mh Rashid Kawawa alivaa nguo hizi?
  11. Half american

    Wapi napata spea parts za scania kwa bei rafiki ya jumla?

    Habari za siku wakuu, naomba kujulishwa machimbo ya spea parts za Scania kwa bei ya jumla hasa Temeke na kariakoo. Natanguliza shukrani.
  12. U

    Je watu gani hasa ndiyo wenyeji wa asili wa miji ya maka na medina huko Saud Arabia? je waliopo huko na kushika hatamu ndiyo wenyewe halisi?

    Wadau hamjamboni nyote? Kichwa cha habari chahusika Naomba wenye weledi mkubwa wa historia mtujuze. Niwatakie usiku mwema
  13. X

    Weekend ndio hiyo wapi kinahappen?

    Acha ujinga wewe Hizo pesa unataka kuspend weekend hii kwa kumtumia girlfriend wako ili uumtoe outing, mtumie mama yako. Siku zote kumbuka; "Asante mwanangu Mungu akubariki." —Mama Ni bora kuliko "Woow thx babe nimeiona love u." —Girlfriend Tofauti kati ya hizo mbili ni kwamba mama yako...
  14. Crocodiletooth

    Jamaa kimya sana toka Aoe, yupo wapi?

    Ben!
  15. Mindyou

    Prince Harry aripotiwa kumuomba talaka Meghan Markle. Prince Harry atapeleka wapi sura yake?

    Wakuu, Hivi Prince Harry atapeleka wapi sura yake? Baada ya kuitosa familia yake nzima ikiwemo Prince Charles na kaka yake Prince William na kuhamia Marekani, imeripotiwa hivi karibuni kuwa Harry tayari ameomba talaka kutoka kwa Meghan. Harry na Meghan bado hawajathibitisha taarifa hizi...
  16. blogger

    Huyu Dada alikuwa ni kati ya Mashabiki wa kweli wa Yanga. Sasa hivi yuko wapi!?

    Nimeileta hii hapa ili kummpa heshima. She was the best fan. Miaka ile ya kina Ngasa, kabla. Ya filters ktk cm.. 2011..2013.. Mimi binafsi nilimpenda na nikamfolow FB. YUKO WAPI SASA, ANYONE p'se.
  17. incredible terminator

    Hawa vijana wa Bongofleva walipotelea wapi?

    Hawa Vijana hata social network zao haziko Active kabisa kuonesha hawataki hata kujihusisha na mambo ya kisanaa na kijamii, Ninachojua ni kwamba walikuwa vijana wanajitahidi sana ila Gafla walizima kama taa wala hakuna sehem wanaongelewa au kujiongelea kwenyewe. 1.FUTURE JNL, Huyu kijana...
  18. babukijana

    X mwanamke na x mwanaume huwa wapi mna tatizo?

    Nilitandika vibinti enzi hizo,na vikazaa hovyo tu,. Mi nikaendelea tu kibabubabu na kibibibibi. Mi ndoa nilishakataa. Sasa X zaidi ya saba wanataka kurudi ntawapeleka wapi? Huku nna x wa mwisho nae anandai hela nyingi tu. Kwenda mahakamani kujitetea ni kila siku,ni mke wa ndoa kabisa...
  19. ward41

    Mataifa ya Afrika tulipa uhuru kirahisi, Palestine wanakwama wapi?

    Vuguvugu la Uhuru barani Africa lilianza baada ya ww2. Mwishoni mwa miaka ya 50s, tayari baadhi ya mataifa yakaanza kupata Uhuru tena kwa njia rahisi sana. By 1980, tayari karibia mataifa yote yalikuwa huru Nchi za Asia na Latin America, ni Hivyohivyo. Kwa utajili wa Africa, wazungu...
  20. M

    Mke mtarajiwa upo wapi, bado nakusubiri

    Habari, Natafuta mwenza wa maisha. Ambaye tutapendana kwa dhati umri kuanzia miaka 30 na kuendelea. Mm ni mfanya biashara mwenye umri wa miaka 37. Karibu pm tuyajenge
Back
Top Bottom