wapi

The Wapi Project was a civic action program originated by the Royal Lao Government; it was performed in Military Region 4 of Laos from late 1963 through 1967. Notable for being among the first integrated programs to offer integrated services to the Lao Theung populace of southern Laos, it became a victim of its own success. Its lean efficiency led to its being crowded out of funding by more expensive programs.

View More On Wikipedia.org
  1. EXODUS ZION

    Azam pesa kunashida kwenye kutoa pesa kupitia mawakala

    Ndugu zangu habarini samahani hivi ni mimi peke yangu huku ninako ishi ni kwamba azam pesa mawakala wake wananigomea au na kwenu. Lakini nipende kuwapongeza Azam pesa tje way inavyofanya kazi kwa upande wa kutuma pesa hasa katika makato sio makubwa ila sasa shida inakuja kwenye kutoa pesa...
  2. MK254

    Hivi kwanini "miungu" mingi iliyojiteokeza huwa inajaribu kufuta Wayahudi, walikosea wapi

    Ukisoma Biblia, kuna miungu mingi ilijitokeza akina Baal/Hadad/dagon, wote hawa nia yao siku zote ilikua kufuta Wayahudi, historia yote imejaa aina ya miungu yenye chuki na hasira dhidi ya Wayahudi, japo siku zote hawa Wayahudi huibuka washindi ila bado kila 'mungu' anayejitokeza huwa hasomi...
  3. MwananchiOG

    Mabilioni yaliyomwagwa uwanja wa Mkapa yako wapi? mbona hayaonekani uwanja umezidi kuwa mbovu

    Mechi muhimu kama hii ya derby uwanja hauna electronic display boards, uwanja hauna big screen, pitch yenyewe mbovu haina hadhi kama ya viwanja vingine tunavyoona huko nchi zingine. Kwa mabilioni yaliyomwagwa tulitegemea sio tu kuwa na on pitch electronic display board bali hata juu ilipaswa...
  4. Jamaa Fulani Mjuaji

    Wazazi tumefeli wapi katika malezi ya watoto wa "2000" tujisahihishe

    Wanajukwaa Nakuja Hapa kwa Moyo Mzito Sana Na Umejaa Majonzi Makali Mno Hasa Watoto wa Kike kwa Kizazi Hiki Cha 2000. Mabinti wengi Karibia 85% waliozaliwa 2000 Wameshaharibika naongea nikiwa na ushahidi Tosha na Asilimia Yote hiyo mabinti wanatumia "LAINI MBILI" au "WANAPIGA MIGUU YOTE" tena...
  5. dr namugari

    Africa footbal league (AFL) imefikia wapi? Mbona mwaka huu haijachezwa

    Nakumbuka mwaka jana miezi kama hii ndio AFL ilizinduliwa na tukaambiwa hiiyo ndo itakuwa ligi kuu kubwa zaid badal ya CAF Championship CAFCC. Sas naona kimya as if hakuna lolote lile na sioni dalili za kufanyia kwa ligi hii. Sasa basi kupitia jukwaa hili naombeni taarifa rasmi ni nini...
  6. Cute Wife

    Wazee wa kuomba Ban mko wapi? Siwaoni! Leteni ahadi hizo Mods wawape haki zenu mkichinjwa kwenye mechi ya watani

    Wakuu, Mechi hii nashangaa haina amsha amsha za watani kuomba Ban. Ni kwamba hamjiamini au, au kila mmoja anajua atanyukwa?:KEKLaugh: Au ndio mnaogopa yaliyomkuta aliyemba ban mara mwisho? Mimi nawakilisha shabiki maandazi wote JF tunaozomea yoyote anayefungwa na kutoa shangwe la kutosha kwa...
  7. Mhafidhina07

    waafrika tunafeli wapi?

    vita ya kikanda ya inayopiganwa ulaya iliitwa vita ya dunia vita ya pili nayo inajumuishwa kuwa ni ya kidunia mikataba wanayotunga wao inajulikana kama mikataba ya kimataifa huku kwetu tukipigana kidogo wanaingilia kati ila kwao wanatafuta upande wa kujiweka huku wanasapoti vita. tunachofeli...
  8. L

    Watapigia wapi kura?

    Salaam, Naulizia kuhusu hili kundi la watu laki kadhaa ambao watakuwa vyuoni mwezi na tarehe ya uchaguzi wa serikali za mitaa. Wengi wamejiandikisha kwenye vituo vilivyopo majumbani kwao ambapo walikuwepo kabla vyuo havijafunguliwa. Hawa watu ni wengi sana(vyuo vya chini, kati na vyuo vikuu)...
  9. Mwamuzi wa Tanzania

    Watoto wa kidato cha kwanza wanacheza mchezo wa upatu, Taifa linaelekea wapi?

    Habari! Mama mmoja aliniambia kuwa amepigiwa simu akiambiwa mtoto wake binti wa kidato cha kwanza anadaiwa pesa na wanafunzi wenzako shule ambayo kahama. Mama alihama kutoka Wilaya ya TEMEKE na sasa yuko wilaya ya Ilala na binti alipatiwa uhamisho. Zamu yake ya kuchukua pesa ilishapita na...
  10. FK21

    Shortlisted za ualimu interview zinafanyikia wapi?

    Wakuu watu walioandikiwa shortlisted interview zao ni lini maana kwenye time table Niki-view hakuna kitu kipya kinachoonesha tarehe.
  11. kipara kipya

    Askofu Mwamakula mpigania haki wa CHADEMA kanisa lake liko wapi?

    Sina maneno mengi wengi wanauliza kanisa la huyu askofu wa siasa lipo pande zipi waweze kwenda kupata msosi msosi wa kiroho na kisiasa!
  12. kante mp2025

    Yuko wapi Baraka Magufuli? Nimemkumbuka sana!

    Baada ya kuona Madaraka Nyerere mtoto wa Baba Taifa akitaka Steve Mengele a.k.a Steve Nyerere kuacha mara moja kujiita Steve Nyerere nikajikuta namkumbuka yule kijana wa Iringa mufindi aliyejizolea umaarufu kwa kuigiza sauti ya hayati Magufuli. Ni muda sasa sijamsikia tena au nae alipigwa...
  13. H

    Tuoe Wapi?

    Kenya tunaambiwa Tanzania ina wanawake wazuri wa kuoa. Nikifwatilia mada humu waTanzania wanapitia yaleyale tunayoyapitia na wanawake Kenya. Maybe Rwanda and Ethiopia is the place to go
  14. Lady Whistledown

    Ni wapi bado tunahitaji sauti zaidi za wanawake? Je, ni katika Siasa, Elimu au Biashara?

    Wanawake wanaposhiriki katika maamuzi, huleta mitazamo mipya yenye nguvu za kuleta mabadiliko chanya na ya kudumu. Ushiriki wao unaleta uwiano wa kijinsia unaohitajika katika kila sekta – iwe ni siasa, biashara, jamii au elimu. Tunapozingatia changamoto nyingi zinazokumba jamii zetu, kama...
  15. Mzee makoti

    Huyu sheikh yu wapi kwa sasa?

    Ivi huyu sheikh alipoteleaga wapi,nimesikiliza clip yake akituhusia sisi matajiri, Tafadhali wakristo huu uzi sio wa matusi nimeuliza tu kwa anaejua
  16. kayanda01

    Tyre "Goodyear 185/65/15 effient grip performance" zinapatikana wapi hapa Tanzania?

    Wakuu, Wapi hapa nchini zinapatikana tyre za GOODYEAR, size: 185/65/15 EFFICIENT GRIP PERFORMANCE? Nimeulizia sana kwa Dar, Mwanza, Arusha, Moshi, kote hakuna! Si AUTOXPRESS TZ wala AUTOMECHANIX TZ... wote wanasema hawana Goodyear. Mwenye uhakika wa zilipo hizo tyre, naomba kufahamu.
  17. Komeo Lachuma

    Mngetaja humu sehemu ambazo magari yatakuja kutuchukua. Tukamwone mama. Kila mtu ajue atapandia wapi kupelekwa Uwanjani

    Kuna wenyeviti wapuuzi sana. Wanachagua tu ndugu zao na watu wao wakaribu kupata lift ya kupelekwa uwanjani kumsikiliza mheshimiwa. Wanafanya kama ni suala la kifamilia. Ni bora ijulikane vitajwe vituo ambavyo mabasi na malory yatakuwa yanatusomba. Wote tunapenda tukapate nafasi ya kubadili...
  18. Oscar Wissa

    Maamuzi ya kucheka au kulia yanatoka wapi?

    Unaomba Mungu eti akupe kicheko wakati kuna mtu umemfanya alie. Hutapata kicheko kutoka kwa Mungu labda cha kujitekenya mwenyewe.
  19. Nyendo

    Pre GE2025 Hivi kile kijiwe cha kahawa cha wanawake alichokunywa Rais Samia kilienda wapi?

    Nimefika hapa Soko la Wamachinga parking Nzega nikataka kujionea kijiwe cha Kahawa cha wanawake ambacho Rais Samia alionekana akinywa kahawa maana nimezunguka mikoa mingi sijawahi kuona kijiwe cha wanawake, nikataka angalau nikawaunge mkono Wanawake hao ila sijafanikiwa kukiona. Nimeuliza...
  20. KENZY

    Napata wapi hizi movie?

    Romeo must die na paris has fallen season 2.
Back
Top Bottom