wapi

The Wapi Project was a civic action program originated by the Royal Lao Government; it was performed in Military Region 4 of Laos from late 1963 through 1967. Notable for being among the first integrated programs to offer integrated services to the Lao Theung populace of southern Laos, it became a victim of its own success. Its lean efficiency led to its being crowded out of funding by more expensive programs.

View More On Wikipedia.org
  1. Utajua wewe

    Unapata wapi hii nguvu na ujasiri wa kumuliza mtu uliyegombana naye

    Habari wanaJF, Mimi nauliza tu watu mnapata wapi hii nguvu na ujasiri wa kumuliza mtu uliyegombana naye . "Utanifanya nini?" Ivi unahisi hana cha kukufanya? Maisha ni marefu sana "kumuliza mtu utanifanya nini? " Duniani watu wamechanganyikiwa na mengi unaweza ukauliza mtu "utanifanya...
  2. Elsa Marie

    Viungo vya binadamu vinavyokatwa kwa sababu mbalimbali hupelekwa wapi?

    Leo nilikuwa hospitali moja kwaajili ya matibabu. Nikamuona mzee mmoja kwenye wheelchair, ana mguu mmoja mwingine umekatwa kuanzia kwenye goti. Hii ikapelekea nijiulize hivi viungo vinavyokatwa kwasababu ya magonjwa kama kisukari na mengine huwa vinapelekwa wapi. Ni mgonjwa anapewa kiungo chake...
  3. Wambandwa

    Kwanini Watanzania na Tanzania ni masikini pamoja na rasilimali (resources) tulizonazo?

    KWA NINI WATANZANIA WENGI NI MASKINI? Sijawahi kumwona Mtanzania kwa wakati wowote ule ameondokana na umaskini, umaskini ambao sasa ni mkubwa mno na unakaribia kutudidimiza. Binafsi nauchukulia umaskini kama kukosekana kwa mahitaji ya lazima ya kila siku kwa mwanadamu: malazi mazuri, chakula...
  4. F

    Rais Samia unakwama wapi kuona ubabe haufai kwenye demokrasia kama ambavyo hauifai kwenye kukusanya kodi?

    Hivi majuzi Mheshimiwa Rais Samia amewataka maafisa wa TRA kuacha ubabe wanapofuatilia kodi kwa wananchi. Ni jambo jema. Lakini nashindwa kuelewa kwanini Rais Samia haoni pia si vizuri kutumia ubabe kuzuia maandamano ya amani ya vyama vya siasa? Pia soma: Rais Samia: Uchumi wetu unakua lakini...
  5. Metronidazole 400mg

    Hivi Morrison kapotelea wapi??

    Mzee wa mbwembwe kibao Mzee wa kuwakera, mara ya mwisho kumskia alikuwa analia na raisi apewe uraia wa Tanzania. Yuko wapi sikuizi au ndio mpira kushnei?
  6. Brojust

    Mbona pesa imekuwa ngumu sana, Mbona kila mtu analalamika, Kwani shida iko wapi?

    Hakuna salamu Moja kwa moja kwenye mada, Kwani nyie wenzetu mnapata wapi pesa, mbona biashara zimekuwa ngumu sana, yaani kweli hadi kijana wa chuo kikuu yupo field kwenye taasisi moja hv eti anakwambia, Braza toa elfu 30 ya faster niipileke document yako kwa incharge akupitishie faster. Mbona...
  7. Raia Fulani

    Waziri Jerry Silaa yupo wapi?

    Ukweli nashangaa kabisa. Yani kubadilishiwa wizara ndio kupotea? Au kupotezwa? Kwani huko mawasiliano hakuna kiki? Hakuna kero za moja kwa moja kama ardhi? Au ni waziri mpya wa ardhi hana ajenda? Au Jerry alimaliza kero zote? Aisee...! Kwa hiyo huko mawasiliano waziri kakosa hoja za kuja nazo...
  8. uberimae fidei

    Wapi nitapata mbegu za soya beans?

    Na shida ya mbegu hizi ,na gharama kwa kilo bei yake
  9. Pdidy

    Mnafungia Katarama watoto kama hawa tuwaone wapi nyie waty nyie loh

    Mashallah Allah awatunze.
  10. Kavimbe

    Plate namba CCM ziko wapi

    Hizi nambari za magari zinazoanzia na herufi "CCM" mbona hazionekani barabarani
  11. D

    leo kuna game ya community shield simba na yanga princess, VAR ya KARIA iko wapi??

    I will be short. tulisema tutaelewana tu with time, juzi tu hapa alisema games za community shield VAR inaweza kutumika. leo kuna game ya community shield VAR iko wapi? incompetence tu. nothing to show for it. karia should change or leave.
  12. C

    Cement imepanda bei, tutanunua hadi 18500. Tatizo lipo wapi?

    Leo viwanda vimetangaza upandaji wa bei ya cement, sasa itauzwa kwa kati ya 18,000 hadi 18,500 kwa dar. Najiuliza viwanda tunavyo hapahapa tatizo lipo wapi? Wataalam mtusaidie..
  13. kagombe

    Katarama mnawahi wapi?

    KATARAMA KATARAMA KATARAMA!!! Nilichoshudia Jana saa 11 jioni katika hii BUS JIPYA lililokua linaelekea Mwanza kama walifika salama wamshukuru Mungu na wasali sana maana alikuwa ana overtake magari zaidi 3 sehemu yenye mlima alikuwa anaua abiria wake na kusababishia ajali BUS LA ADVENTURE...
  14. Tanki

    Kwa Dar es salaam. Ni wapi naweza kwenda kusoma kozi ya Store keeping japo Nipatie Certificate tu.

    Nitashukuru zaidi kama utaniambia na Bei ya hiyo kozi na muda wake hadi kozi kuisha. Natanguliza shukrani
  15. JanguKamaJangu

    Ado Shaibu: Nimeambiwa bado kuna matukio ya Watoto kupotea na vifo pia Kanda ya Ziwa, hatutakiwi kukaa kimya

    Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Ado Shaibu ametuma tena Salamu kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan kulitazama suala la kupotea kwa Watoto kwa umakini zaidi. Ado ameyasema hayo wakati anahutubia Wananchi wa Jimbo la Mbogwe Mkoani Geita, Septemba 29, 2024. Amesema...
  16. C

    Tetesi: Tanzania Women's Bank iliishiaga wapi?

    Benki pendwa hii iliishiaga wapi? Bongo ukifa maskini umetaka mwenyewe.
  17. Uwesutanzania

    Yupo wapi TOM CRUZ?

    Katika wachambuzi ambao nilikuwa nao bega kwa bega ni TOM CRUZ, Huyu jamaa alikuwa yupo vyema sana kwenye habari mpya za kimichezo na burudani. Ila jamaa yupo kimya sana ., 5sep ndio ilikuwa post yake ya mwisho. Sijui amekufa au kapatwa na nini. Mwenye kufahamu anijuze pls
  18. Stuxnet

    Wizi Ndani ya Kanisa la WASABATO: Kiko Wapi Sasa? Maana Mnajiona Kama Ndugu wa Musa, Eliah na Yesu

    Kwa kusali Jumamosi tofauti na Madhehebu mengine na wanawake wao kutovaa hereni na kutengeneza nywele wanajifanya ni watakatifu sana. Kumbe hawana lolote. Ona wizi wa mamilioni hapa
  19. Cavill

    Nielewesheni Wakuu, shida iko wapi?

    Wakuu aisee nna changamoto ambayo nahitaji kuielewa kabla sijaipotezea as usual but this time nahitaji msaada wenu Ili nikiipotezea nisije jiuliza maswali kama haya Tena hapo badae.. Wanawake 1. Kwanini wanawake haswa my age Kila ninapo wakuta sehemu wanazotoa services mfano canteen, kwenye...
  20. X

    Hivi wewe mwanamke (modern woman) unapata wapi nguvu ya kumuita mwanamke mwenzako malaya au hajatulia

    Leo nimetua Dar kutoka kwenye mishe zangu na kwa kuwa Jah kanibless na chochote kitu kwanza nikawacheki washua wakanibless. Then nikawacheki wanangu tukakutana eneo fulani tulivu O'bay kwa kuwa mimi si muumini wa kelele. Wanangu huwa siwatupi bora nispend nao kuliko kuspend na hawa modern women...
Back
Top Bottom