JIBU
Tabia ya kuharibu uchaguzi, kuiba kura na tabia ya kutekana, italeta umafia wa kuuana, mgawanyiko katika nchi na vurugu za kiitikadi miongoni mwa raia, kisha vurugu za kiitikadi miongoni mwa askari na mwishoni nchi itaingia kwenye vita ya wenyewe kwa wenyewe hasa kwa itikadi za kisiasa...