Katibu Mkuu John Mnyika, Kigaiya, Lema na Mrema mko wapi chama kinapasuka.
Mnawaangalia Viongozi waandamizi wakiumbuana hadharani!!!!
Mnyika umekaa kimya!!kulikoni?
Au ndio tunagawana mbao?
Tunajua mwenyekiti kafeli, mwambieni ukweli, aache kukipasua chama.