Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa TAMISEMI Mhe. Mohamed Mchengerwa amesema kufikia Oktoba 19, 2024, Jumla ya watanzania wenye sifa Milioni 26,769,995 sawa na asilimia 81% wamejiandikisha kwenye daftari la Mpigakura, tayari kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa...
Leo ni siku ya mwisho ya kuandikisha wapiga kura kwa ajili ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27.
Hali hii inatia wasiwasi baada ya karani na mwenyekiti wa Anglikana B, Kata ya Katandala, Manispaa ya Sumbawanga, kujitokeza kuandikisha wananchi nyumba kwa nyumba...
UVCCM MOROGORO WAHAMASISHA WANANCHI KUJIANDIKISHA DAFTARI LA WAPIGA KURA WA SERIKALI ZA MITAA
Wajumbe wa Kamati ya Utekelezaji Mkoa wa Morogoro (UVCCM) wametembelea Wilaya zote za Mkoa wa Morogoro kwa lengo kubwa la kuhamasisha Wananchi kujitokeza kujiandikisha kwenye Daftari la Wapiga Kura wa...
Kesho, zoezi la kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la wapiga kura linafikia tamati.
Leo, nikiwa na muda wa kutosha nyumbani, niliona ni vema kuzunguka vituo vya kujiandikisha vilivyopo katika eneo langu la Buza ili nijionee hali halisi. Swali lililonisukuma kufanya hivyo ni moja:
Je, haki...
Mzozo mkubwa umeibuka katika kituo bubu cha uandikishaji wapiga kura huko Vunjo, Kilimanjaro ambapo madai ya uandikishaji holela wapiga kura yameibua hasira na maswali mengi miongoni mwa wananchi wema.
Pia, Soma:
Mwanza: Karani abanwa baada ya kuongeza majina hewa 200 kwenye daftari la Wapiga...
Karani wa uandikishaji wa mtaa wa Kabambo huko Mwanza amebanwa baada ya kugundulika ameongeza majina hewa takribani 200 kwenye daftari la wapiga kura kwa ajili ya uchaguzi wa serikali za mitaa.
Teknolojia imezidi kufichua mbinu za zamani za kuhujumu uchaguzi kwa kuongeza wapiga kura hewa kutoka...
Katika shindano la "stories of change 2024" lililohusu maandiko yanayoelezea "Tanzania tuitakayo" nilisema ni vyema kuwe na utaribu wa kuhakiki wale wanaoandikishwa kupiga kura sio tunaandikisha kienyeji yani ukifika unataja tu majina kisha unarudi nyumbani kuna weza kupenyeza watu wasio na sifa...
MHE. WANU HAFIDH AMEIR AJIANDIKISHA DAFTARI LA WAPIGA KURA WA SERIKALI ZA MITAA
Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwanamke Initiatives Foundation (MIF) na Mbunge wa Viti Maalum (CCM), Mhe. Wanu Hafidh Ameir amejiandikisha katika Daftari la Wapiga Kura wa Serikali za Mitaa linaloendelea nchi nzima tangu...
Nlitegemea kuwe na nguvu moja kupinga madudu yanayoendelea katika daftari la kuandikisha wapiga kura katika chaguzi zijazo. Je Vyama hivi havioni mapungufu/maovu/madudu/wizi unaofanyika katika daftari la wapiga kura ?
Mbona wamekaa kimya? What logical deductions can be made from such silence...
Wakuu,
Baada ya videos kusambaa mtandaoni kwamba kumekuwa na uandikishwaji mkubwa wa wanafunzi underage kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa, sasa hivi kumeibuka shutma mpya dhidi ya zoezi hilo.
Akiongea leo asubuhi, kada huyu wa CHADEMA amefichua kuwa kuna baadhi ya vituo vya kujiandikisha...
Katibu Tawala Mkoa wa Simiyu, Prisca Joseph Kayombo amewahimiza watumishi wa Benki ya NMB na watumishi wengine wa Sekta binafsi Mkoani Simiyu kwenda kujiandikisha katika orodha ya wapiga kura ili wapate haki yao ya msingi ya kushiriki uchaguzi wa Serikali za Mitaa.
Ametoa rai hiyo alipozungumza...
Unapokwenda kujiandikisha kwenye daftari la wapiga kura hapaswi kutaja chama chako cha siasa na huu sio wakati wa kampeni.
Ni makosa makubwa kwa vyama vya siasa kuwa wasimamizi kwenye zoezi la uandikishaji wa wapiga kura. Kwenye daftari la wapiga kura hatuandikishi CCM, CHADEMA, etc bali...
Hali ya uandikishaji wenye Daftari la Kupiga Kura kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mtaa siyo rafiki, imefikia hatua baadhi ya Waandikishaji wameamua kuingia mtaani kuwatafuta Wananchi ili wajiandikishe.
Hapa Dodoma nimeshuhudia hali hiyo ikijitokeza kwenye Mitaa ya Chinangali West na Nkuhungu...
Katika kata ya Qurus, Wilaya ya Karatu, hekaheka za uandikishaji wa wapiga kura kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa Novemba 27 ziliendelea, lakini hali ilikuwa ya kioja. Mussa, msimamizi wa kituo na Mratibu wa Elimu Kata, alikabiliwa na malalamiko makali kuhusu uandikishaji wa majina ya...
Mtu mzima kwenda kupiga foleni kujiqndikisha wakati unatakiwa utafute hela hii nayo ni shida.ukimwengu wa kidigitali jamani.
Tehama watengeneze namna mtu anaweza kujiqndikisha online na kuoiga kura online
Kwanza wasomi ndiyo tuna uwezo wa kuchagua kiongozi.sasa wa darasa la Saba au chini ya...
Waziri wa Ujenzi na Mbunge wa Jimbo la Karagwe, Innocent Bashungwa ameongoza zoezi la uhamasishaji kwa Wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Karagwe kuendelea kujitokeza katika vituo vya kujiandikisha kwenye Daftari la Wapiga Kura ili waweze kutimiza haki yao kikatiba ya kushiriki katika uchaguzi...
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Magharibi, Mhe. Tauhida Gallos Nyimbo amewaomba Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Jimbo la Mwera kushirikiana na Viongozi wao ili waweze kuwaletea maendeleo.
Akikabidhi vifaa vya ujenzi ikiwemo Mifuko ya Saruji na Mchanga katika Tawi la CCM...
Wakuu,
Tuache kujidanganya kuwa kuchagua viongozi ambao sio wanaotokana na chama chenye kuunda serikali ni kupoteza muda.
Hivi hawa wa vyama mbadala wanayo miundo mbinu ipi ya kuzidi chama kilichoko madarakani?
Nawaombeni watanzania wote wenye akili timamu kuendelea kutoa support kwa chama...
Wakuu salam,
Zoezi la kuandikisha wapiga kura lilizinduliwa Oktoba 11, 2024 na Rais Samia ikiwemo na yeye pia kupanga foleni (wazee wa maigizo) kujiandikisha kwaajili ya uchaguzi huo unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, 2024.
Swali ni kuwa, kwanini uandikishaji huu unafanyika kwenye makaratasi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.