Wanajukwaa,
Ninachojua ni kwamba ukilinganisha na mwaka 2015 ambapo battle ilikuwa Lowassa Vs Magufuli, mwaka 2020, muitikio wa watu kupiga kura ulikuwa ni mdogo mno.
Kutokana na rafu zilizotokea mwaka 2019 kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa, mwaka 2020 wananchi wengi walikata tamaa kupiga...