Wasalamu,
Hili swali najiuliza hivi huu utamu wa madaraka, na kujihisi upo mbinguni (Kinga), ukiamua unarithisha Watoto, vimada na wapambe wako, wengine hadi Waganga wao?
Ukweli Kwa mama yetu sioni dalili maana CCM itamkaba kooni atajuta kuzaliwa.
Je, Kweli Zitto Kabwe, Mbowe, Tundu Lissu &...