wapinzani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Matulanya Mputa

    Watanzania 70% hawatumii mitandao ya kijamii hasa vijijini. Wapinzani, wanaharakati katoeni elimu kuhusu katiba na mfumo wa vyama

    Kuna kasumba moja ya wanasiasa hasa upinzani na wanaharakati wamekua wanaikosoa serikali, au mifumo mibaya ya uongozi, ubovu wa katiba ya sasa kupitia mitandao ya kijamii na makongamano ya wao kwa wao badala ya kuwashirikisha wananchi. Mf; Unakuta linaendeshwa kongamano la katiba au demokrasia...
  2. S

    Unyanyasaji wa wapinzani: Namuomba Mungu anaetoa maagizo atangulie mbele za haki atuachie nchi yetu

    JF simameni katikati, hapa hajatajwa mtu.. Nikirudi kwenye mada, Kama kuna mtu wa ngazi yoyote anatoa maagizo wagombea wa upinzani wanyanyaswe kwenye huu uchaguzi wa Serikali za mitaa, ombi langu kwa Mungu ni amchukute huyo mtu ili nchi yetu iendelee kuwa salama. Na kama ni mfumo, Mungu...
  3. mwanamwana

    LGE2024 CCM: TAMISEMI itambue demokrasia yetu ni changa, ipuuze makosa madogomadogo katika hatua ya rufaa uchaguzi Serikali za mitaa

    "Wapo Wanaccm waliowekewa mapingamizi, wapo wa ACT, wapo wa CHADEMA, na majibu ya mapingamizi yalitoka, lakini kwa hatua za rufaa kwa maelekezo ya Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi ambaye ni Rais wa Tanzania nilipofanya naye mazungumzo, ambacho tumekiona wapo wagombea wengi sana wa vyama...
  4. Nehemia Kilave

    Wapinzani wangeliungana na Hayati Magufuli hakika tungelikuwa tushapata Tanzania Mpya, tatizo ni maslahi binafsi

    Binafsi naamini Tanzania Mpya itatengenezwa kwa kuudhoofisha mfumo imara wa CCM na kupata katiba Mpya. Hayati Magufuli alijaribu mpaka wana CCM wengi wakamchukia, wapinzani hawakumuelewa na yeye akaamua kuwabadilikia . Laiti kama Upinzani ungezungumza lugha Moja na Magufuli ndani ya kipindi...
  5. K

    Wizara ya mambo ya nje limejaa machawa na wapinzani wa kisiasa!

    Raisi Samia amekuwa akiwatoa wasomi diplomasia ambao wanajua na kupendwa na kuweka machawa ambao hawasaidii nchi. Mama Mulamula alitolewa baada ya kupata umashuhuri . Makamba baada ya woga wa Mama kisiasa. Sasa mama kabaki na makada machawa na watu anaowahopa . Mkuu wa zamani wa usalama ni...
  6. M

    Waliongua wapinzani wanaingia misikitini na makanisani?

    Swali. Hawa walioengua wapinzani wanaingia misikitini na makanisani kusali au ni wapagani? Kwa binaadam wa kawaida ambae anaingia misikitini au makanisani hawezi kufanya hivi NIMEULIZA HIVYO KWA SABABU Qur'an inatoa mafundisho muhimu kuhusu kutenda haki hata wakati wa chuki au hisia nyingine...
  7. Waufukweni

    Pre GE2025 Haya mabango ya Kisiasa yaliyosambaa Mitaani kabla ya Kampeni, je Wapinzani nao wakitaka kuweka wataruhusiwa?

    Kuna suala linalonitatiza na kuleta kero kwa wananchi kama mimi, nalo ni wimbi la mabango yanayoendelea kuwekwa kila kona yakimsifu Rais, kiongozi wa chama tawala, kwa kile kinachodaiwa kuwa ni mafanikio ya serikali yake. Mabango haya yameenea kwa kasi, na ni ya chama tawala pekee, bila kuonesha...
  8. Z

    LGE2024 Wapinzani tunaweza kuishinda CCM kwa kutumia ilani ya CCM yenyewe bila matusi au kufanya vurugu

    Ningekuwa mpinzania ningeishinda CCM mapema asubuhi.nachukua ilani ya CCM nawaponda nayo. Mtu uneahidi kufanya jambo kwa miaka mitano na hujafanya.sasa hapo nikikuambua kuwa wewe ni mwongo,mwizi wa kura kwa kuahidi uongo nk nitakuwa nimekuonea? Wambieni wananchi kuwa CCM niwaongo maana kwenye...
  9. B

    Tundu Lissu akutana na Wakili wake Robert Amsterdam

    Makamu Mwenyekiti wa chama cha upinzani Chadema nchini Tanzania, Tundu Lissu leo Oktoba 8 amekutana na wakili wake, ambaye anaitwa Robert Amsterdam. Hivi karibuni Tundu Lissu alisema amemuelekeza mwanasheria wake Bob Amsterdam kuanza taratibu za kuishtaki kampuni ya Millicom ambayo ilikuwa...
  10. S

    Simbachawene: Wapinzani sio watu wabaya wanatimiza wajibu wao

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejiment ya Utumishi na Utawala Bora, Mh. George Simbachawene, amesema upinzani Tanzania umewekwa na CCM, hivyo sio watu wabaya, wanapokosoa wanatimiza matakwa yao ya Kikatiba. https://youtu.be/l2SsOFCOv70?si=ldzb62YkKr0oWBbx
  11. LIKUD

    Rais Samia, tatizo kuu la wapinzani wa CCM ni la "KISAIKOLOJIA" dili nao Kisaikolojia kama ifuatavyo

    👉Mara nyingi, "sheria" ambazo hazija andikwa (Un-Written Laws), ndio huwa zinakuwa zinafanya kazi katika uhalisia kuliko sheria ambazo zimeandikwa. 👉Mimi huziita sheria za asili ama kanuni za asili. 👉Kwa mfano moja kati ya kanuni ya asili yenye uhalisia kwa Asilimia zote, ni kanuni inayo...
  12. kavulata

    Viongozi imarisheni vyama, maandamano Bado muda wake

    Muda wa maandamano ya vyama vya siasa Bado kabisa, ukifika hakutakuwa na chombo kitakachoweza kuyazuia kufanyika. Hakuna nguvu itakayoweza kuzuia nguvu ya umma muda ukitimia. Sasa hivi mnachofanya ni vurugu TU (nuisance), wananchi hawawaelewi mnachomaanisha, ndiyo maana maandamano yenu...
  13. S

    Unyanyasaji wa wapinzani wakati wa Magufuli na huu wa Rais Samia kunawafanya wapinzani kufikia "The point of no return"

    Muendelezo wa unyanyasaji wa viongozi wa upinzani hasa kuanzia zama za Magufuli na sasa wakati huu wa Rais Samia, una impact moja: kuwafanya wapinzani kuwa jasiri huku msingi mkuu wa huo ujasiri ni kuona au kuamini kuwa kwa sasa hawana tena cha kupoteza kwani kama ni kuteswa, wameshateswa...
  14. Waufukweni

    Wapinzani wa Simba Washtuka, Washuka na Bordguards Kibao Airport

    Wapinzani wa Simba SC, Al-Ahli Tripoli kutoka Lybia, wamewasili nchini na tayari wameshuka kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere wakiwa na Bordguards kibao. Timu hiyo inajiandaa kukabiliana na Simba SC katika mechi ya marudio itakayochezwa Jumapili, Septemba 22, katika Dimba la...
  15. mdukuzi

    Mbinu wanazotumia wapinzani kukwepa mtego wa kukutwa na vidhibiti wanapopekuliwa na polisi majumbani mwao

    Mwanasiasa wa mwisho kukutwana vidhibitinyumbani ni Seif Sharif Hamad mwanzoni mwa miaka ya 80 huko. Mwanasiasa aliyefikia ngazi ya njuu nchini huwa na makazi mikoa mitatu,Dodoma,Dar es salaam na kijijini kwao kwa asili. Kwa hapa Dar es Salaam wanasiasa wengi wana makazi zaidi ya moja,makazi...
  16. T

    Mohamed Issa: Kwenye hili la utekaji sio serikali pekee ya kunyooshewa kidole hata hao wapinzani wanaweza kutekana

    Akizungumza na BBC mchambuzi wa mambo ya kisiasa ndugu Mohamed Issa amesema kuinyooshea Serikali pekee kwenye mambo ya kupotea na kutekwa kwa watu sio sawa kwani hata vyama vya upinzani huwa vinafanya hayo matukio kama matokeo ya kutofautiana wao kwa wao. My take Hivi inawezekana kweli kwa...
  17. GENTAMYCINE

    Je, zile Hasira zake za jana zinaenda pia na kwa Watu wake hasa wa CCMVU na MK Ima au ni kwa Sisi Watesi, Wamarekani na Wapinzani?

    Nitashukuru kama nikijibiwa juu ya hili kwani najua kuwa hata Watu wa Chamani Kwake nao walipaza sana Sauti zao.
  18. Influenza

    Pre GE2025 Tundu Lissu: Msimamo wetu upo pale pale, tutaandamana Septemba 23, 2024

    Makamu mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu amesisitiza hatua za kisheria zichukuliwe juu ya wanaofanya utekaji pamoja na mauaji nchini. Pamoja na hayo Lissu amesisitiza kuwa msimamo wa chama chake juu ya kuandamana tarehe 23 Septemba bado uko pale pale kwani...
  19. tpaul

    Swali la kufikirisha: Kwanini wapinzani na wanaharakati tu ndio wanauawa na "wasiojulikana"?

    Tangu kazi ya kuteka na kuua raia ianze katika nchi hii, sijawahi kusikia kada wa CCM kapotezwa na kukutwa ameuawa. Ijapokuwa mauaji kwa njia ya kuteka yalikuwepo tangu awamu ya kwanza lakini nimejaribu kuvuta kumbukumbu zangu sijapata jina la kada hata mmoja wa CCM aliyewahi kutekwa na kuuawa...
  20. THE BIG SHOW

    Vyovyote wafanyavyo, hata kama nia ni kumchafua, bado yeye ndiye turufu zaidi ndani ya chama chake hata kwa wapinzani

    Friends and Our Enemies, Baada ya kuichukua Nchi katika kipindi kigumu zaidi cha kuondokewa na mtangulizi wake, kitu kikubwa alichokifanya ni kujenga IMANI. Alijenga Imani kwa mfumo wa demokrasia kwa kuwahakikishia wapinzani kuwa haki itatendeka,na kwamba wote waliokimbia nchi mfano kama...
Back
Top Bottom