Nimeona Wapinzani wamehamaki kwa kauli ya huyu kada aliyesema ushindi wa chama chake hautegemei mungu kupenda!
Huu ni ukweli mtupu, wapinzani lazima wajue madaraka hayapatikani kwa miujiza au kudra. Huwa nawacheka sana wapinzani wanapomsubiria mungu kwa kauli mbalimbali za kujifafariji ooh...
Matajiri wengi katika nchi zinazoendelea, kama Tanzania, huwekeza kwenye miradi ambayo huenda isilete manufaa moja kwa moja kwa uchumi wa nchi. Kwasababu:-
1. Kutegemea Usindikaji wa Pili na Sekta Zinazotegemea Uagizaji wa Bidhaa kutoka Nje
Kutegemea Uagizaji: Mabilionea katika nchi kama...
Ni dhahiri sasa, Dr.Samia Suluhu Hassan anapendwa nchi nzima. kazi za mikono yake na mipango mikakati yake kupitia serikali sikivu ya CCM zawafurahisha sana na kuwanufaisha wananchi nchini kote Tanzania..
Wananchi hivi sasa maeneo mengi nchini wana pata huduma nyingi muhimu kwa uhakika na...
Serikali ya Tanzania chini ya Rais Samia Suluhu Hassan imeoko kiasi cha Dola milioni 600 sawa na trilioni 1.5 katika miezi minne tu tangu kuanza kwa mkataba na mwekezaji DP World, mafanikio hayo yanakwenda sambamba na Kupungua kwa Muda wa Kusubiri kwa Meli za mizigo ya Kontena
Wasalaam
Zote tunajua kwamba bwana mchengerwa ni mkwe wa mama Samia kwa maana kamuoa mtoto wa rais. Na nakumbuka mwaka jana bwana mchengerwa alikula kiapo mbele ya rais Samia na kujiapiza kwamba uchaguzi wa serikali za mtaa mwaka 2024 hakuna mtaa hata mmoja utaenda upinzani.
Hakika siku...
Nimeona kwenye mitandao ya kijamii wapinzani na wanaharakati wakishambulia na kulaumu tamko la ubalozi wa Marekani kuhusu kukamatwa na kuwachiwa kwa viongozi wa CHADEMA kwamba ni tamko dhaifu sana lakini zaidi wakiilamu Marekani na Washirika wake Ulaya kutoweka shinikizo la kutosha kwa serikali...
Wapo wanachama ndani ya vyama vya siasa wanaoshikilia misimamo ya kupinga agenda zitakazokiimarisha chama. Ndani ya vyama wamo wanachama ambao wamenunuliwa bila kuchukuliwa. Unaweza kumnunua mbuzi wako halafu ukamuacha palepale kwa mfugaji kwa muda au milele aendelee kuzaa kutokana na sababu...
Kama ni kulipisha pesa wanaokwenda kumuona hiyo walokole wote magwiji Dunia nzima wanafanya.
Kqma ni kuhadaa, manipulations, brainwashing, hypnosis na ujanjaujanja wa kuwatapeli wasiojitambua Kiroho Kila jumapili ulokoleni yanafanyika.
Wahubiri wa kubwa wote wanaomiliki makanisa na vilinge...
Habari wana-JF
Kama mnakumbukumbu vizuri wakati wa awamu ya Magufuli kipindi cha mwanzoni kulikuwa na uhuru mkubwa sana wa kuongea na hata vyama vya upinzani vikawa vinafanya shughuli za mikutano ya kisiasa unajua nini kilibadilika baadae?
Ni pale ambapo badala ya vyama vya upinzani vijikite...
Huyu Rais kaanza kampeni mapema kabla ya muda. Sijui anaogopa Nini? Tume ya Uchaguzi ni ya kwake, Polisi wa kwake, JWTZ wa kwake nk ila kaanza kampeni kabla ya muda.
Naomba nimpe Rais ushauri ufuatao;
1. Achana na kampeni kabla ya muda.
Wewe kama Rais wa Nchi unatakiwa kuwa namba moja Kwa...
WAPINZANI MNAPORUDI CCM NI LAZIMA MFAHAMU CCM INAONGOZWA KWA SHERIA, KANUNI MIONGOZO NA TARATIBU ZINGINE.
Tusome Katiba ya CCM 1977 toleo 2020 uk 07 ibara 12(1) kisha tukasome uk 151 kifungu cha 01 na cha 08
Niliwahi kusoma Gazeti la TAZAMA la Tarehe 7 -13/01/2020 uk 05 liliandika, Wakati huo...
It is a pity! sasa 4R zipo wapi?
Kama umefanya hili, kwanini mtu asiseme kwa uhakika kuwa ume sanction matendo mengine ya magufuli kuwateka/kuwaua/na kuwapoteza wapinzani yanayoendelea sasa hivi?
Ndugu zangu Watanzania,
Rais Samia ni mtu anayeishi mbele ya wakati na muda na kiongozi Mwenye akili na upeo wa hali ya juu sana,ni mtu Mwenye jicho la tatu nje na haya mawili ya kibinadamu.ni kiongozi aliyejaliwa macho ya Rohoni yenye uwezo wa kuona asipoweza kuona Mwenye macho ya kawaida.
Ni...
Akihutubia wakati wa kupokea gawio la mashirika ya umma amesema hofu ni mbaya sana akasema kwa mfano alipotaka kuruhusu wapinzani wafanye siasa kwa uhuru makada wa CCM walimpinga sana ila hakuhofu ila hata alipowaruhusu wamejikuta hawana cha kusema zaidi ya kumlipa matusi.
Wazee kwema?
Riding sharing Apps zipo nyingi, lakini zilizojizolea umaarufu Tanzania ni Bolt na Uber. Kwa kawaida, dereva anakua na App [Bolt Driver au Uber Driver App] hafu anaitwa na App ya mteja, kisha dereva anaenda kumchukua mteja hadi anapoenda, fresh.
Sasa Waymo [hii ni kampuni ya...
Kila wakidhani umeisha ndo unafufuka upya, kule kulitaja jina la Mungu wako kila siku linakupa ulinzi na maono ya kesho yako.
Unawatesa sana wapinzani wako mind you wapinzani wako siyo kutoka vyama vya upinzani wako ndani ya nyumba, kwa jinsi unavyopenya na kujibu shida za wale unaowaongoza...
Tumemsikia Kinana akisema uchaguzi sio tume, na kwamba hoja ya wapinzani kulilia tume huru haina mashiko.
Kama Kinana na CCM wanaamini hivyo, embu wajaribu kuwapa fursa wapinzani kipindi hiki waunde tume ya uchaguzi.
Kama watakuwa tayari kwa hili tutaamini kauli ya Kinana kuwa uchaguzi sio...
Habari ndio hiyo ni kweli ccm imechokwa ,Tena imechokwa lakini watanzania hawaoni mbadala wa ccm! Wapinzani ndio wamechokwa zaidi hakuna mfano ! Wao wenyewe pia wamejichoka.
Uchaguzi ujao ni dhidi ya waliochokwa na waliojichoka wenyewe!! Naona hata hamu kutamani uchaguzi ufanyike imeondoka...
Tumezoea mataifa makubwa kama MAREKANI inapokaribia uchaguzi wakati wa Uchaguzi kuingilia kati na kutoa statement mbali mbali na kwa kiasi inasaidia watawala kupunguza kasi dhidi ya upinzani.
lakini kutokana na ukandamizaji wanafunzi huko amerika na Polisi kutumia nguvu nyingi kinyume ca...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.