Anaandika mwandishi wa habari wa wapo Radio.
Hapo wakati Tuna chati na Dc . Kama Alikuwa Hataki mimi niende katika Ziara yake Ni Vema Angesema kwamba Sitaki Mwandishi Namimi nisingepoteza Muda wangu .
Maana kwa Majibu hayo niliamini kuwa Alikuwa Tayari mimi niwe nae katika ziara...
Yanga yangu why haipo serious kama wapinzani wetu.
Wiki nzima hatuna hata mechi ya kirafiki.
Mnyama alikuwa na timu nzuri ila alipumzika wiki nzima akaenda kushtukizwa 4 kwa 0 pale soweto msimu uliopita. Na sisi yanga hatujajifunza tu kwamba kupumzika muda mrefu kunafanya wachezaji wawe...
Zipo taarifa nimesoma kwenye group moja la WhatsApp kwamba baadhi ya wakuu wa Wilaya wamepata mchongo mpya na wameomba waruhusiwe kwenda kuimarisha carrier zao japo majibu hayajatoka. Rafiki wa karibu wa DC mmoja Kanda ya ziwa anaeleza kwamba rafiki yake ameshaomba na ametuma baadhi ya wazee...
Upinzani katika mfumo wa vyama vingi ni kioo kwa chama kinachotawala. Maana wapinzani huwa wanakosoa pale mtawala anapokosea.
Tangu mama aanze vyema kwa kuupiga mwingi mpaka wapinzani wakaanza kumsifia kwa kila namna anavyoendesha nchi ni dalili tosha kuwa chama tawala kinafanya vyema.
Kero...
Kumekucha!
Binadamu wanapenda kupewa maneno laini, hawapendi ukweli, wanapenda sifa hata wasizozistahili.
Yapo Matoto ya hovyo,
Wapo wazazi wa hovyo bila kujali ni wanani,
Hayo Matoto yakikua ndio yanaleta kizazi cha hovyo hovyo,
Unakuta kiongozi hovyo,
Mchungaji hovyo,
Sheikhe Hovyo...
Katika hii video hapa chini magaidi wa Taleban wanaonekana wakicheka na kumwamuru mwandishi wa habari aache kurecodi pale walipoulizwa kama wapo tayari kuruhusu demokrasia ambayo wanawake wataruhusiwa kugombea nafasi mbalimbali za uongozi katika serikali yao na kupiga kura katika kuchagua...
Wakati Mashabiki wa Simba wanajiuliza kua Chama na Miquissone kama wataondoka au watabaki na usajili upi ufanyike ili timu ifike nusu fainali au fainali ya CAF. Utopolo wapo busy kuuchambua uwekezaji wa MO na kuuona ni upigaji.
By the way kipindi ambacho Yanga wanafuraha ni kipindi hiki cha...
Habari wadau!
Amini usiamini lakini huu ndio ukweli waru awa wapo kwenye hatari kubwa ya kupatwa na malaria kuliko watu wowote.
1. Wajawazito
2. Vibonge
3. Wakimbiaji (joggers)
4. Watu wenye bustani za maua nyumbani kwao
5. Walevi
6. Wanaopenda kuvaa night dress nyeusi au nguo nyeusi wakati wa...
Kuna jamaa yangu kapeleka watoto wake wawili mapacha kuwatahiri kwa hawa mangariba! Nimeshangaa sana.
Zama hizi za utandawazi ukamtahiri mtoto maporini? Kweli jamani? Haspitali zipo kibao, kwa nini umsababishie mtoto maumivu makali wakati angeenda hospitali angetumia gazi?
Hizi tabia za wazazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.