Salamu wanajamvi!
Mwaka 2008, Mwezi Julai, Tanzania ilishuhudia tukio la aina yake la kiimani. Wahubiri wa Injili 17 wa madhehebu ya waadventist Wasabato masalia walipiga kambi uwanja wa ndege wa Dar es salaam wakisema wanataka kwenda kuhubiri Injili Ulaya na Marekani huku wakiwa hawana visa...
WASABATO MNAIJUA HII KWAYA?
Katika uzi huu nakuletea sifa za kwaya mbalimbali, na wewe dondosha sifa ya kwaya unayoifahamu, mimi naanza na kwaya ya wasabato inaitwa LAITBERAZ, Kwaya hii inapatikana Tegeta, Dar es Salaam, sifa kubwa ya kwaya hii ni kwamba wanajua kuimba, inajitegemea katika...
wale mitume na manabii waliokuwa wakisubiri kwenda nje kwa kutumiab.....na huku wakirudishwa na kufanya watu kuwa kama vichaa kuwafikiria wao wamelambwa mwaka mmoja jela wakakae huko wakijiandaa upya...habari zaidi zinasema watu hao wakiwa 24 wamehkumiwa jela na wakati wakipelekwa jela walisema...
Kundi la watu wanaojiita wa madhehebu ya Wasabato Masalia waliopiga kambi Dar es Salaam, wameendelea kuishi katika mazingira magumu hali iliyosababisha mmojawao kupoteza maisha.
Sambamba na kuishi katika mazingira magumu na machafu, Wasabato Masalia hao wapatao 30 walio katika kambi ya Tabata...
Baadhi ya waumini Wasabato, wanaojitambulisha kama 'Masalia' baada ya kutimuliwa Uwanja wa Ndege wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam, ambako wamekuwa wakipiga kambi kwa imani ya kunyakuliwa hadi Ulaya bila pasipoti, tiketi, visa na taratibu zingine za usafiri wa kimataifa.
Na Furaha Kijingo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.