Nimetembea Dar, Mwanza, Mbeya, Dodoma, Tanga na Arusha yenyewe ambako kuna yanayoitwa majiji ya nchi yetu, niseme tu watu wa jiji la Arusha wanaongoza kwa unadhifu na usafi wa binadamu na mazingira.
Yani hata ukipanda daladala (wenyewe wanaita hiace/Haisi) za Arusha harufu ya kwenye daladala...