Tume ya Utangazaji imeitaka WASAFI FM Radio kulipa faini ya Tsh. Milioni 5 kwa kuvunja masharti ya leseni kwa kuidanganya Tume juu ya Studio zao za Unguja kutotumika kwa vipindi vya aina yoyote kwa karibu miezi mitatu sasa
Tume imeitoza ZBC Faini Tsh. Milioni 1 kwa kipindi cha MICHAPO kuonyesha...
Dvoice_Ginnii Congratufuckinlations kid
Hakika hii ni nafasi ya kipekee ambayo maunderground artists wengi huitamani sio kwamba hawana vipaji, hapana
Ila Kila mmja anapata kwa wakati wake kwahiyo itumie vizuri nafasi hii mdogo wangu 👏
Wanajamii support kipaji kipya hiki.
#SwahiliKid
#WCB4LIFE
Katika usiku wa SWAHILI NIGHT iliyoandaliwa na lebo namba moja ya muziki nchini Tanzania; tarehe 17 november, wamemkaribisha msanii ambaye atakuwa chini ya Lebo hiyo ajulikanaye kwa jina maatufu kama D VOICE.
D VOICE si msanii mgeni sana katika masikio ya wapenda burudani ya mziki nchini...
WASAFI FESTIVAL kwa content package mnayodeliver kuna muda mpaka nahisi Teni halitoshi.. package ni kubwa kwakweli.. sema kwa upande wetu mimi na mwanagu tuna enjoy kinoma kwa sababu uwezo wetu ni hiyo teni.. sema kama ya Dar sidhani kama nitakosa ... Sema msipandishe bei bongo.. uzi imeisha
Aliyekuwa Dancer wa Wasafi chini ya Diamond Platnumz, Bajuni H. Bajuni ametangaza gafla kuachana na kazi iliyompa umaarufu ya kucheza mziki katika Shows na Video za mziki.
Ameandika kuwa leo ameamua kuachana na kazi hiyo ambayo amekuwa akiifanya kwa muda mrefu toka utotoni na mpaka sasa amepita...
Katika post iliyowekwa twitter (X) na msanii ambae pia ni mkurugenzi wa Wasafi media na wasafibet, Diamond Platnumz ameonesha kuwa katikati ya November atatambulisha msanii mpya wa mziki wa kizazi kipya.
Mapaparazi wengi wakedai msanii huyo uenda ni wa nyimbo za Singeli
Linaletwa balaa jipya mjini, naweza sema ile kiu ya kuona wasanii wetu kwenye majukwaa mazito kama kima Rema sasa inaenda kukatwa. Topnotch talent sio mbambamba.
Let's count
God bless WCB
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ruvuma, ACP Marco Chilya amesema kupitia Operesheni iliyofanyika hivi karibuni Jeshi la Polisi limefanikiwa kuwakamata watuhumiwa watatu (3) wote wakazi wa Dar-es- Salaam wakiwa na jumla ya simu 79 ambazo waliziiba katika Tamasha la Wasafi Festival lilifonyika Songea...
Wakuu ninashangazwa na kinachoendelea kwenye kinachoitwa Wasafi festival. Ikumbukwe hili ni onyesho la muziki linaloendelea mikoa mbalimbali. Kuna jambo limejitokeza ambalo mimi limenishangaza ingawa wengi wanasema ni ubunifu.
Kama Wasafi Festival ni tamasha la muziki inakuwaje wasanii...
Kuna jambo la ubunifu wa hali ya juu unafanyika katika matamasha ya wasafi 2023 lichavya kuonekana wasanii wakiongozwa na diamond platnumz kama wanatumia mamilioni ya pesa ila kuna kitu kipta kinazaliwa kwenye sanaa ya mziki wa Tanzania.
Hakika ubunifu wao umewagusa watu mbalimbali africa na...
Awali iltangazwa kuwa Juma Nature Kiroboto a.k.a Kibra atakuwepo pale Nangwanda Sijaona kwa ajili ya show ya Wasafi Festival iliyofanyika tarehe 2 mwezi huu.
Sasa show ikafanyika Nature hajaonekana. Shabiki mmoja huko Insta akaona amuulize swali Nature mbina ulitangazwa utakuwepo Nangwanda...
Wote hatuna uwezo wa kwenda Mtwara, tuliokuwa tunatazama kwenye TV, mmezima mmetuboa kweli au mitambo mibovu? J Melody katisha, ilipokuja zamu ya Zuchu, mambo yakaharibika
Mtangazaji wa kituo cha redio cha Wasafi FM amshambulia mtangazaji wa kituo cha redio DW ya Ujerumani, kwamba huyo mtangazaji alikosea sana namna alivyoripoti tamasha la kizimkazi.
Akizungumza katika kipindi cha asubuhi huku akikwepa kutaja jina la mtangazaji na kituo anachotangazia lakini...
Nipo interested na mambo haya ila nilipotaka kufatilia nilikuwa nazungushwa sana, nikaja kugundua kwamba hii kazi ya blogging wanaotusua ni wale wanaotumia njia nyeusi na ndio mana hawapo open.
Bloggers wa mikato hawa wala haishangazi kuchapa hata dola 2,000+ kila mwezi japo huwa ni wasiri mno...
Kuanzia leo siisikilizi tena Wasafi FM na nitamwona Mpuuzi wa mwisho mwana Simba SC yoyote akiisikiliza kwani hiyo ni Redio ya wana Yanga SC
Nawaombeni wana Simba SC wote kuanzia leo anzeni tu Kuisikiliza EFM Radio kwani ndiyo Redio yetu na ina Watangazaji na Wachambuzi Wasomi na wana Akili...
"Nchi nyingi Siku hizi tena zilizoendelea kama ninayosafiri sana ya Netherlands na nyinginezo zinaruhusu Uvutaji wa Bangi kwa Raia wake wanapotaka sioni sababu ya Tanzania kuzuia wakati Bangi nayo ni Burudani na ina Starehe yake" amesema Mtangazaji wa Wasafi FM Zembwela (Hillary Daud) akiwa...
Hawa watu ukifuatilia Kwa ukaribu wanachofanya siyo sahihi kabisaa
Mimi Sina taaluma ya Habari na mawasiliano Kwa uzoefu wangu Katika kufuatilia mambo haws jamaa wako OP kabisaa.
1. Wafanyakazi wao wengi siyo profesional kabisaa ni wa mjomba kamlete
2. Hawako serious Katika kuchambua mambo...
Baada ya Mmiliki wa EFM Radio Majizo Kufanya Kufuru ya Kumyakua Mtangazaji Masanja Mkandamizaji aliyekuwa na Kipindi maarufu cha kila Jumapili Wasafi FM nae Mmiliki wa Wasafi FM Diamond Platnumz kaamua kujibu Mapigo na Kuwanyakuwa kwa Bei mbaya Watangazaji mahiri Wazuri Maulid Kitenge wa Kipindi...
Baada ya vurugu na purukushani za EFM na Wasafi Media ambapo zimepelekea kwa watangazaji mbali mbali kuhama katika vituo hivyo vya burudani, msanii Harmonize ameujulisha umma kupitia ukurasa wake wa Instagram kuwa ameshakamlilisha Konde Gang FM na TV kwa 100%. Hivyo kuwataka wadau wakae mkao wa...
EFM na wasafi media wametofautiana tarehe ya kuzaliwa tu lakini baba ni mmoja na mama yao mmoja!
Wafanyakazi wanakula kwa bamdogo wanalala kwa shangazi!
Mikataba yao ni copy and paste!
Mwaka mmoja kulala kwa shangazi, mwaka mwingine tunarudi kwa bamdogo maisha yanasonga cha muhimu ni kuwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.