Leo ndiyo uzinduzi mkubwa wa kipindi cha Sports Arena cha Wasafi FM chini ya CEO Diamond Platnumz ambapo mgeni rasmi atakuwa ni Waziri wa Habari Sanaa na Michezo, Dkt.Harrison Mwakyembe, lakini pia kitahudhuriwa na mastaa wa Bongo, wadau wa michezo na wadau wa habari na makampuni mbalimbali.
Tokea Siku ya Alhamisi iliyopita tena katika Kurasa zako mbalimbali za Mitandao Wewe Maulid Kitenge na mpaka Jana Usiku ulikuwa ‘ ukituhimiza ‘ kuwa Sisi Wapenzi wa Michezo vya Redio hasa vile ambavyo huwa unaviendesha Wewe tusikose na wala tusithubutu ‘ Kubanduka ‘ katika 88.9 Wasafi fm kwani...
Kesho kuanzia saa 12 asubuhi wasafi media chini ya CEO wao diamond platnumz wanatarajiwa kufanya tukio kubwa la kulouch kipindi kipya Cha michezo pamoja na mambo mengine Kama suprise kwa mashabiki wao na mgeni rasmi atakuwa waziri wa sanaa na michezo Harrison mwakiembe.ukiachana kuuzulia kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.