Mkapa alitusaidia Kama nchi kupata Raisi Safi Magufuli sababu alikuwa na mafaili ya wezi, mafisadi na vibaka ndani ya CCM na serikali. Angekuwa hai angesaidia mno mchakato wa kuchuja watia Nia ubunge na udiwani sababu aliwajua wengi in and out
Mkapa ndie alisaidia nchi kupata Raisi Magufuli...
Labda niweke wazi kuwa sina chuki hata chembe na hiki kituo cha redio na wala sina utimu mimi....ila ukweli lazima usemwe ili ikiwezekana mabadiliko yafanyike.
Awali kipindi hiki kilipoanzishwa niliahidi kuwa mdau mkubwa wa kipindi hiki cha michezo lakini kadri siku zinavyozidi kwenda nilianza...
Jana nimebahatika kutazama kipindi cha Big Sunday Live kinachoongozwa na Lil Ommy. Nikiri wazi kuwa nimependa show yake, kuanzia ukumbi wamejitahidi sana maana hadi magari bajaji bodaboda zinazama mpaka kwa stage.
Pia kina segments nyingi za kuvutia ikiwemo vichekesho, michezo, performance...
Nina uhakika kuanzia Sheria za nchi na hata za Utangazaji hadi zenu nyie TCRA haziruhusu Kituo chochote kile cha Redio kupiga Wimbo ambao / Nyimbo ambazo ndani yake kuna Matusi makubwa makubwa yanatajwa hata kama hayatajwi kwa Lugha ya Kiswahili na yanatajwa kwa Lugha ya Kiingereza ambayo bahati...
Mkurugenzi na CEO wa Wasafi media Diamond Platnumz amethibitisha leo kutakuwa na press pale Wasafi head quarter kwa kampeni inaitwa " Chuma kimeingia" .Tukio Hilo litarushwa kuanzia saa 5 Asubuhi wasafi tv, Wasafi FM na Channel yao ya YouTube Wasafi media haijulikani nikutambulisha mtangazaji...
Salamu kwenu.
Kupitia Wasafai FM 89.9 Mh. Makonda ameongoza ukemeaji kwa njia ya maombi dhidi ya corona.
Ameendelea kutoa tafakari/mahubiri ya mistari kadhaa kutoka ktk biblia. Mf. Isaya 18:1.
Hakika Dar tunakiongozi mwenye kipaji kama ambavyo daima amethubutu katika maamuzi mbali mbali...
Inasemekana etiii WCB Wasafi wanampango wa kumnyakuwa Rapper wa Kike Rosa Ree, Ngoma waliofanya na rayvanny ni kuanza kuandaa mashabiki kwa ujio huo mpya ndani ya WCB Wasafi
Ngoma yake mpya iliyokaa number moja trending kwa siku kadhaa youtube akiwa na rayvanny nimekuwekea hapa chini:
Mtoto wa Tandale kwa namna mambo yalivo pale Wasafi Media naona kama wiki mbili zilizopita mpaka Clouds Media wakapata mtikisiko na wakaja na visegment vya hovyo sijui eti wanavunja sheria mjengoni, yote hiyo walikuogopa kwa ujio wako kwenye media ila fanya haya kama utaona yana tija ili tuzidi...
Mkurugenzi Mkuu na CEO wa Wasafi Media Diamond Platnumz kupitia interview aliyoifanya kwenye Sports Arena amefunguka baada ya kuulizwa na Maulidi Kitenge kuhusu Wasafi Media kwenda mikoani.
Amefunguka "Mwanzo tulikuwa hatujapa leseni ya Serikali kurushwa redio nchi nzima ila kwa mwaka huu...
Ni muda kipindi cha Block 89, mimi hukiita kipindi mama cha Wasafi FM, yeah its true ndio kilichoanza, hakiruki hewani.
Kuanzishwa kwa kipindi kipya cha The switch kulipelekea kipindi hiko kisiruke kwa sababu Maudhui yanafanana, nilishaleta uzi humu.
Kulikuwa na majadiliano kabla ya The Switch...
Diamond atakuwa kesho kwenye kipindi Cha good morning Cha Wasafi FM kinachorushwa kuanzia saa 11 mpaka saa 2 na nusu Asubuhi kutoa muongozo katika namna ya kupata msaada wake wakulipia Kodi ya miezi 3 kwa familia 500 so stay turned.
Wanabodi,
Heri ya Pasaka.
Naangalia Live ya Pasaka kwe Wasafi TV, kipindi kinaendeshwa na Mtangazaji mahiri Lilian Mwasha ila kiukweli somo la social distancing bado halijaeleweka. Kama hii ndio media iliyopaswa kuonyesha mfano wa social distancing, lakini wao ka Studio kadogo wanarundikana watu...
Ninaweka kama kumbukumbu tu !!
Kwa wale wasanii wengine wanaotegemea kuweka tu video zao YouTube na kutegemea kila kitu kiende basi ndio hivyo wenzenu wanalipia !!!
Kutokana na teaser ilianza kusambaa tangu wiki ilioisha huko kwenye mitandao ya kijamii "FUNDI BORA KWAKO NI NANI" Hatimae leo mida ya saa nane majira ya mchana fumbo litaenda kufumbuliwa,
Je ni Lil Ommy, Sam Misago, Ammy Gal na Dj Mafuvu kutambulishwa rasmi Wasafi..? mimi sijui yetu macho na...
Huyu mtoto ana sauti moja mashalaah , tena ya kibabe na mi mrembo kweli kweli, naskia Mbosso anatafuna pale, kwa mara ya Kwanza namuonea wivu Mbosso aisee.
Namkubali Sana huyu bi_dada popote alipo mpeni salam zangu, msimu huu wa Corona
Hizi habari za kila siku kusikia connection, connection ya kupata picha chafu hasa za watanzania na watu maarufu zinatujenga kidogo kidogo kuwa watumwa wa hizi mambo.
Sote tunajua watanzania sio wacheza picha chafu na hiyo tabia haikuwepo, Ila Sasa hata wale ambao walikuwa hawana utamaduni wa...
Wasafi wameanzisha michuano ya mpira inayohusisha team za mitaani ambayo inaitwa kivumbi cup kwa lengo la kupata vijana wenye uwezo lakini pia ni sehemu ya vijana kujipatia kipato.Mshindi wa mashindano hayo atapata mil 20 wa pili mil 10 na watatu atapata mil 5, man of the match, mashabiki Bora...
Wasafi Media a.k.a Real Madrid wa media wamemsaini rasmi mtangazaji aliyekuwa anatangaza TBC Salma Dakota baada ya kufikiana makubaliano kwa pande zote mbili.
Jana Salma Dakota ameaga uongozi wa TBC na wafanyakazi wote nakutoa shukrani zake zote kwa kipindi chake chote alichokuwa anafanya kazi...
Nimependa Sana huu ubunifu wa Sport Arena walikuja nalo la kuwa na mtu mwenye takwimu kwenye kipindi.Mtu huyo anahusika na kuchukua takwimu za mchezo pamoja na mchezaji mmoja mmoja kwa kuangalia pass alizopiga, interception alizofanya, loss pass na maeneo mengine.
Hili litasaidia kukuza soka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.