Kupitia ukurasa wake wa instagram diamond kawakashifu Forbes kutokana na list zinazosambaa mitandaoni zikionesha wasanii tajiri Afrika.
Unawaponda forbes wakati hakuna mahali popote forbes wametoa list ya wasanii tajiri Afrika zaidi ya page zisizo rasmi!!!
Naona pia wasafi tv na radio wanali...
Huko mwanzo nilipokuwa nikiwasikia nikadhani labda mtajirekebisha nayo kwani hata Clouds FM na Clouds tv 360 walikuwa na 'Upuuzi' huu ila sasa naona nanyi mmeuiga 'Utamaduni' huu.
Hii Nguvu ambayo Watangazaji wa Kipindi cha Asubuhi cha Wasafi FM mnaitumia kwa Kujikomba ( Kujipendekeza ) kwa...
Habari Wakuu,
Ninaomba msaada kwa wenye uelewa kwenye Masuala ya Ufunguzi wa kituo cha Radio.
Nina ndoto ya siku nyingi ya kuweza kumiliki kituo cha Radio ila kwa sasa ninataka nijipange ili itapofika Mwishoni mwa mwaka 2022 kama mungu akinijaalia uhai niwe nishafungua hii Radio Station...
Mchambuzi nambari moja wa soka hapa Tanzania, George Ambangile PhD amezawadiwa gari kwa mtindo wa surprise.
Ambangile ambaye amefanikiwa kuzima vipindi vyote vya uchambuzi wa soka bongo, amekuwa kipenzi cha wanakandanda kwa ustadi wake mkubwa wa kuifundisha soka redioni maana anachofanya ni...
Wakati Watangazaji wenzake Wanaojitambua, wenye Elimu Kubwa kwa Fani aliyopo na waliomzidi Akili wakipongeza 'Merchandise and Events Deal' ya Kampuni ya VUNJA BEI na Simba SC Mtangazaji wa Wasafi FM Maulid Kitenge (Mwana Yanga SC lia lia) kaja na 'Majungu' yake yale yale.
"Kwanini Simba SC...
Habari za hasubuhi wanajamii. It's very clear kwamba kwasasa Vita ya muziki Kati ya wasafi na kondegang imepamba Moto. Ukifatlia kwa umakini utagundua wasafi wanapambana kadri wawezavyo kumsusha Kondeboy of which haitowezekana sababu njia zote za kufanikiwa kimuziki Harmonize anazijua. Anaijua...
Vita Kali Kati ya nyota wa Mziki wa bongo fleva na mmiliki wa label ya Konde Gang Harmonize na Mkali wa bongo fleva na mmiliki wa label ya Next level music Rayvanny au Vannboy mtu mbaya mtu mbadi imechukua Sura mpya.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram , Vannboy amemuwakia vibaya Harmonize Kwa...
Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG) imeeleza kuwa Sh140 milioni ambazo Wizara ya Maliasili na Utalii iliilipa kampuni ya Wasafi hazikuwa na mkataba wowote uliosainiwa.
Wizara hiyo ililipa fedha hizo kwa ajili ya wasanii ambao wangetangaza utalii wa ndani katika mikoa sita...
Mpaka sasa naona nyimbo zilizotolewa na maomboleza ni nyingi ila hii ya Rosa Ree Kigodo inilize walahi, ya Wasafi sijaelewa sana japo imesheheni wasaniii kibao
Unaionaje Mtu wangu, hii hapa chini:
Kumekuwapo na sakata siku mbili hizi kati ya msemaji wa Simba, Haji Manara na mtangazaji wa Wasafi FM, Maulid Kitenge.
Hii ni baada ya Kitenge kupost kwenye page zake kwamba kuna ugomvi kati ya Morrison na kocha wake Gomes, na ndio maana Morrison aliachwa Dar safari ya Khartoum, madai ambayo...
Hili pindi la mangoma ya kisauzi kila J2 Wasafi FM kwangu ni balaa sana, kiufupi wasauzi wanamabiti mazito na ya maana sana ila sijui why ngoma zao hazivumi.
Ukiangalia hata biti za wimbo wa mama amina wa marioo na sho madjozi ni biti za kisauzi, hata huu wa harmonize wa anajikosha katembea na...
Ni taarifa ambayo bado ya moto moto kabisa ya kama dakika 15 tu zilizopita
Tumekuvumilia mara nyingi sana lakini kwa sasa uvumilivu umetushinda,
Kwanini kila siku ni ww tu kuiongopea Simba mambo ya uongo?
Unaitumia mara kadhaa @wasafifm kuelezea migogoro hewa kuhusu Simba na kutaka kuichafua...
Umeniangusha mno leo ambapo hapo Studioni Kwako ulikuwa na Wageni (Wazungu) Wawili akiwemo Mjerumani Mr. Alvaro ambaye ni Mkufunzi wa Soka la Vijana na Wanawake.
Kiingereza chako cha Kumkaribisha Mjerumani Mr. Alvaro kwa Kumwambia ' Welcome Tanzania ' badala ya kusema (Kumwambia) ' Welcome to...
Siku za hivi karibuni kumekuwa na wimbi kubwa sana la viongozi wa kiserikali kushiriki mahojiano mbalimbali pale Wasafi FM. Yaani ni kama wanapishana vile, ukiangalia namba ya viongozi hawa hawa kwenda TBC FM ni kama haiko kabisa.
Je, huku si kukosa uzalendo?
Huyu Dj anapiga ngoma kali za dancehall na ragga ila anaboa anaongea muda wote hata kipindi kinakosa ladha kabisa aisee hebu mwambieni mnaomfaham aisee aache mambo ya kizamani apandanishe mangoma kuongea iwe kidogo sana.
Wakati akiweka pini kituo cha polisi, msanii Harmonize amekataa kukubali yaishe kweli uchungu wa mwana aujuaye mzazi.
Harmonize akishirikiana na mwanadada mtetezi wa haki za wanawake na watoto Rebeka Gyumi wameanza kutuma jumbe za kuwaalika watu muhimu katika na wananchi kwa ujumla kushiriki...
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania imefanya mapitio ya adhabu iliyotoa kwa Wasafi TV baada ya Wasafi kupeleka ombi la kufanya hivyo.
Baada ya mapitio TCRA imeakuja na uamuzi wa Wasafi kuendelea kutumikia adhabu hiyo mpaka tarehe 28 Februari 2020.
UAMUZI WA TCRA DHIDI YA WASAFI
1. WASAFI TV...
Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo Innocent Lugha Bashungwa ameeleza kuhusu kufungiwa kwa Vyombo vya Habari na Wasanii na kuzungumzia kuhusu Wasafi Tv.
Akiongea katika kipindi cha Clouds Fm Waziri ameeleza haya.
“Kama Wizara jukumu letu la kwanza ni kusimamia nidhamu, inapotokea...
Sasa imekuwa ni kawaida kila ambapo Mtangazaji huyu Maulid Kitenge akiwa katika Kipindi tegemea kusikia Habari mbaya (negative) tu ya Kuihusu Simba SC.
Na hata kwa wale mliobobea vyema katika Saikolojia hasa ya Kimwonekano (Body Language) tu ukimuangalia Maulid Kitenge kupitia YouTube utaona...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.