wasafi

  1. Kiranja Mkuu

    Wasafi TV, Yesu kawakosea nini? Kwanini mnamdhalilisha?

    TCRA naomba muone ===== UPDATES: ====== Wasafi FM waomba radhi kutokana na hii Video inayosambaa mitandaoni. Zaidi, soma: Thread 'Wasafi FM waomba radhi kwa habari yao ya "Hata Yesu alifuata wenye pesa, msituite matapeli"' Wasafi FM waomba radhi kwa habari yao ya "Hata Yesu alifuata wenye...
  2. Mario Kempes

    App gani nitapata radio ya Wasafi Fm?

    Achana na youtube, ni app gani ya radio naweza nikapata matangazo ya radio ya Wasafi Fm? Maan sisi wa huku mikoani tunateseka sana kumsikiliza George Ambangile
  3. kidadari

    Scratch kwenye Wasafi Tv ni swaga au ubovu wa mitambo

    Nimekua nafuatilia Wasafi Tv kunakuwepo na scratching kwenye picha kitu ambacho sio kizur kwa watazamaji. Cha ajabu sioni kama jambo linalochukuliwa kwa uzito na Wasafi media. Mpaka najiuliza lile ni tatizo la kiufundi au swagga tuu?
  4. K

    Sports Arena WASAFI Redio: Kipindi kimepoteza weledi baada ya kuondoka kwa Maulid Kitenge

    Niimekuwa nikifuatilia kipindi cha michezo cha Wasafi redio baada ya kuondoka kwa Mkuu wa idara ya michezo ya WASAFI Redio Maulid wa Kitenge kutokana na mapenzi niliyokuwa nayo na Redio hiyo hasa kutokana na kuleta hamasa za kufa mtu kwa redio nyingine za zamani lakini ninachoambulia sasa ni...
  5. M

    Huku Haji Manara ukiendelea Kubwabwaja Wasafi FM kuhusu Sakata la Kocha Gomez, hatimaye mwana Yanga Maulid Kitenge amemgeuka

    Huku akiwa kaomba Interview na Wasafi FM katika Kipindi cha Michezo cha Sports Arena ili aizungumzie Yanga SC yake Haji Manara umejikuta unatumia muda mwingi Kuiongelea Simba SC isiyomhusu badala ya Yanga SC yake. Wakati akiendelea Kubwabwaja kutokana na Uwendawazimu unaomsumbua huku akiwa hana...
  6. Akili ya kubeti

    Jamal Mustafa wa Wasafi Media ni moto wa kuotea mbali

    Jamaa kiukweli anajua kwenye masimulizi creativity ya hali ya juu niliacha kusikiliza The Story book hasa baada ya Mtiga kuondoka ila kwa Sasa jamaa Ni Moto wa Kuotea Mbali Professor
  7. kindikinyer leborosier

    Ushauri wangu kwa Wasafi Media

    Assalam wanajamvi! Niende moja kwa moja kwenye hoja, kwa wiki kadhaa sasa nimekua nikifuatilia media ya Wasafi hasa TV kiukweli bado vipindi vyao havijakaa sawa. Mwanzo walipokuja watangazaji nguli nilijua content za pale zitabadilika, lakini kumbe na mimi nilikuwa na mawazo ambayo hayakuwa...
  8. Francis fares Maro

    Rayvanny nimekunyanyulia mikono

    Wakati mwengine ukweli usemwe, nilikua nadhani mziki wetu umepoteza dira kwasababu ya kiki, skendo na mambo mengine yasiokua na maana na tena yanaharibu kabisa watoto wetu huko uswahilini. Tokea Jana nimekua nasikiliza nyimbo nzuri sana za kijana huyu, tungo zake aisee, nimeangalia videos duh...
  9. kavulata

    Nimeacha kusikiliza Wasafi Fm kwa sababu ya Zembwela

    Zimbwela bwana. Amenifanya nimeacha kusikiliza Redio ya Wasafi asubuhi. Huyu jamaa anafanya comedy hata kwenye serious issues, anatengeneza kelele masikioni na kupoteza muda wa wasikilizaji wake akidhani kuwa wasikilizaji wako tayari kusikiliza kila kitu anachosema na kufanya kwenye studio...
  10. Dong Jin

    Hawa ndio wamiliki halali wa WASAFI LIMITED

    Kumekuwa na mijadala mingi ambayo inazungumzia kuhusu mmiliki halali wa wasafi na wengi wakiihusisha wasafi na Kusaga kuwa ni mali yake Hii ni document toka brela ikionesha ni nani hasa wanaimjliki wasafi limited... Hii document inaweza kumaliza kabisa yale maneno kuwa dogo Mond hana...
  11. C

    Aliyedai anaweza kuunga mfupa uliovunjika bila upasuaji amsaidie Gerald Mdamu

    Kuna siku nilisikiliza Wasafi FM kuna jamaa alihojiwa nasema anaunga mfupa uliovunjika bila kupasua tena akasema hata Mapinduzi Balama angeenda kwake angemtibu within a month. Sasa kuna huyu kijana aliyetelekezwa na timu ya Polisi huu si ndiyo wakati wa kumtibu? Hebu mchukue kama ni pesa ya...
  12. Suley2019

    VIDEO: Dkt. Doroth Gwajima aupiga mwingi Wasafi FM leo, amfunika Kitenge

  13. Leak

    Diamond Platnumz na Wasafi hununua viewers? Wasafi wakubali kuwa wasanii wananua viewers, wahaha kuona wanunuzi wapya

    Wasafi Fm kupitia ukurasa wao wa instagram waliweka maneno ya msanii kutoka Nigeria ambaye alikuwa anasema kuwa wasanii waache kununua viewers wa youtube na akasisitiza kuwa anawambia wasanii wengine sio wanigeria maana wa uko Nigeria awawezi kununua viewers wa Youtube. Kwenye hili sikubaliani...
  14. M

    Naulizia frequency za Wasafi fm Morogoro

    Wadau mwenye kujua frequency za Wasafi Fm kwa mkoa wa Morogoro anisaidie
  15. Slowly

    WCB Wasafi kiwanda Bora cha mziki mjini

    Watanzania tumejaaliwa majungu chuki na wivu , hzo ndizo zawadi Bora kabisa tulizoachiwa, na Kwa kweli tupo vizur na tunazitendea haki,.....thus why Sisi ni moja kati ya nchi kumi zenye umaskini wa kutupwa duniani, .... hata hvyo katika sekta ya burdani Tanzania, WCB isifananishwe na utopolo...
  16. J

    Ushauri kwa Sports Arena ya Wasafi FM

    Habari Wadau, Mimi ni mfatiliaji mkubwa sana wa Sports Arena. Ninaamini ni kipindi kuzuri sana cha michezo na kina wachambuzi wazuri sana kama kina George Ambangile, Edo Kumwembe. Tatizo liko kwenye watangazaji wao wakiongozwa na Maulid Kitenge na Yusuf Mkule: 1. Kuwa Biased Wako biased sana...
  17. Kibosho1

    Wasafi FM hususa mtangazaji Mwanaidi mnapaswa kuomba radhi wasikilizaji wenu, kudanganya C. Eriksen amefarikifa

    Hii imekaaje, mtangazaji kudanganya? Atasema mdomo uliteleza kwanini hakuwa na subira mpaka ripoti ya daktari itoke? Ni aibu kwa kituo na kwa mtangazaji mwenyewe. Unachukua habari za mitandaoni unazitangaza? Mnaanza kututia wasi wasi kusikiliza vipindi vyenu.
  18. sinza pazuri

    Tundu Lissu, vita na Wasafi hutoiweza, utagalagazwa wewe na chama chako

    Kaka Goodluck mapenzi hayalazimishwi & uzalendo sio kuunga mkono kila kitu cha nchi yako hata kama hakistahili. @Diamondplatinumz sio Roma Mkatoliki au Ney wa Mitego au mrithi wa Bob Marley. Hajawahi kusimama kwenye haki, au kupinga maovu ya nchi hii. Mimi binafsi simuungi mkono! Lissu...
  19. GENTAMYCINE

    Kumekucha: Mchambuzi wa Michezo anayekuja kwa kasi nchini George Ambangile wa Wasafi FM asema Ukweli huu Mchungu

    " Kwa Kikosi hiki cha Simba SC kilichoishia hatua ya Robo Fainali juzi na jinsi kilivyo Imara na Wachezaji mahiri hakuna Mchezaji yoyote wa Yanga SC hii ya sasa anayeweza si tu Kucheza bali hata Kuanzia Benchi " Ushahidi Kamili wa Kauli yake hii ipo YouTube Kipindi cha Sports Arena cha Wasafi...
  20. GENTAMYCINE

    Ungekuwa Wewe ndiyo Mtangazaji mahiri na mweledi wa Michezo Kipindi cha Sports Arena Wasafi FM, mada ipi kati ya hizi ingekuwa ni ya Muhimu zaidi?

    Hatimaye Simba SC yaweka rekodi kwa Kuingiza Wachezaji Wanne katika Kikosi bora cha Wiki cha CAF akina Chama, Boko, Miquissone na Tshabalala? Au Twiti ya Kiutani wa Kimchezo ya Mwekezaji wa Simba SC Mo Dewji kwa Kuwaita Kaizer Chiefs FC ni Mediocre ( Wajinga ) baada ya Kufungwa Juzi Goli 3...
Back
Top Bottom