wasafi

  1. MimiNiMakini

    Uwezo wa Lily Ommy umeshuka toka aingie Wasafi Media

    "Huyu jamaa anachojua saizi ni kusema "and stuff like that" basi 😁 " Nimekuta caption hii huko twitter, aisee watu wa twitter wamefunguka mambo mengi sana kuhusu Mtangazaji Lil Ommy. Kiufupi Inadaiwa kwamba uwezo wa Lil Ommy tangu aje Wasafi umeshuka sana, Jamaa akiwa Times Fm alikuwa moto...
  2. JanguKamaJangu

    Mwandishi wa Habari wa Wasafi Media - Arusha, Potte Mmanga adaiwa kuchukuliwa na watu wasiojulikana

    Mwandishi wa habari wa Wasafi Media Arusha, Potte Mmanga anadaiwa kukamatwa mchana huu nyuma ya Chuo cha Technical College na watu waliojitambulisha kwake kama askari polisi wakidai wanampeleka ofisi ya RCO kwa mahojiano. Ofisi ya RCO Arusha imesema haina taarifa za kukamatwa kwake. Chanzo...
  3. Melki Wamatukio

    Mama N'tilie kuweni wasafi, mnawaharibia wenzenu

    Nitangulize angalizo, sio wote wasiozingatia usafi, naamini ni 6% ndo wanawaharibia wenzao! Ngoja niwape story. Nyakati za alfajiri nimemsindikiza bonge wangu kuelekea ubungo kwa wifi yake akae huko ili kesho kutwa aelekee Kibaha! Wakati narejea nyumbani, muda ule nimeshuka kwenye daladala...
  4. B

    Kwanini Serikali imeweka Mawakili wake kuwatetea akina Mdee? AG akichafuka wakubwa zake watabaki wasafi?

    Tumetoka kuondoa kesi mahakamani dhidi ya Mbowe serikali ikiwa imechafuka, utaratibu wa kuondoa kesi hiyo ukiwa na maswali mengi KUHUSU uhusika wa viongozi wakubwa. Tumejisafisha lakini Bado atujatakata. Hali ikiwa Tete tumeingia Tena kwenye mgogoro wa ajabu usiohutaji kujadiliwa. Usiotoa...
  5. B

    Kama shabiki wa Wasafi, WCB, ikiwapendeza mumsaini HIDDEN

    Jamaa anajitahidi kufikiria wakati wa kutunga, ana Melody nzuri. Atawafaa sana
  6. Roving Journalist

    Mkurugenzi Mkuu wa JamiiForums anahojiwa Wasafi FM

    Mkurugenzi Mkuu wa JamiiForums, Maxence Melo yupo live wa Wasafi FM kwenye kipindi Cha Mgahawa akihojiwa mambo mbalimbali lakini pia interview hii inarushwa live Youtube kwenye channel ya Wasafi media === Updates. Melo: Nchi nyingi zinatamani kuwa na JamiiForums na tunaenda kufungua...
  7. L

    Dida Shaibu wa Wasafi FM kama Mwijaku. Upeo wao ni mdogo sana

    Hii Jinsi gani inaonesha watangazaji wetu wanna upeo mdogo. Katika kipindi cha Mashamsham ya Pwani cha Wasafi FM, Didas akiwa Arusha alipigiwa simu na mtangazaji mwenzake na kumuuliza mlima Kilimanjaro unapatikana mkoa gani, akajibu Moshi. Hapa Kuna tatizo kubwa kwa watangazaji wetu katika...
  8. L

    Wasafi Media waandaa futari Bungeni

    Jamii yetu inapotosha maana ya kuandaa na kutoa futari ktk jamii. Kwa kawaida futari inabidi itolewe kwa Waislam waliofunga wasiojiweza. Leo unasikia futari inaandaliwa kwa matajiri wenye uwezo huku wakiachwa masikini wahitaji. Mathalani jana Wasafi Media imefuturisha bungeni Dodoma huu ni...
  9. chiembe

    WASAFI ya Diamond Platnumz wamemtupia virago Paul Makonda?

    Huyu ndugu alikuwa na vyeo vingi pale, ametupiwa virago? Hasikiki tena, Kuna wakati walimuimba eti ni baba yao
  10. AbuuMaryam

    Wasafi FM Sports : Yusuph Mkule anatia aibu redio yenu.

    Kwenye hili sakata la Mtibwa Sugar na madai yao juu ya Msheri kwa Yanga... Sakata lilianza jana jioni kwenye sports Court PAUL MKAI akiwa na GEORGE AMBANGILE(Mchambuzi Bora kwa sasa)...ikiwa tumesikiliza malalamiko ya THOBIAS KIFARU(Msemaji wa MTIBWA) kuwa bado wanawadai YANGA pesa za uhamisho...
  11. Rebeca 83

    Wasafi sound system iliwaangusha usiku wa mahaba ndi ndi ndi

    Hello JF Kila mtu ali anticipate itakua show kubwa....sijui kwa ajili ya promotion/uncertainity ya uchumba kati ya Zuchu na Diamond, tukabaki macho kodooo kusubiria hii show... ilikua nzuri isipokua ilikua hamna mashamushamu....Mimi kwa upande wangu nadhani hawakuwa na sound system nzuri...
  12. M

    Hivi huyu Mtangazaji Orest Kawau niliyemjua akiwa Smart alipokuwa Magic FM ndiyo huyu wa ovyo aliyeko Wasafi FM sasa?

    Na kama ni Yeye je, kabla ya ile Segment yao ya Magazeti Kuanza pale Wasafi FM kila Asubuhi huwa Kwanza anavuta Bange au huwa anakunywa labda Gongo kidogo? Simzungumzii Mtangazaji Mwenzake wa Usomaji Magazeti Hillary Daud ( Zembwela ) kwakuwa tangia alipokuwa Comedian na Marehemu Max nilijua...
  13. sinza pazuri

    Harmonize aendelea kutumia mgongo wa Wasafi ku-survive kwenye game

    Bado anaendelea kutoa video akiwa-tag wababe wa muziki wa bongo WCB ili iwe rahisi kuwafikia watu wengi. Kiukweli kufanya muziki bongo bila support ya WCB hauwezi kutoboa.
  14. Last Seen

    Kwanini biashara nyingi za Wasafi/Diamond hazidumu sokoni?

    Mambo vipi wanajamvi? Nimewaza Mara kadhaa kuhusu bidhaa zinazoletwa sokoni na Bwana Chibu Dangote kwa nini hazidumu katika soko? Chibu ni kijana mpambanaji mwenye uchu wa mafanikio makubwa na amethubutu kuwekeza ndani na nje ya Muziki wake, ametoa ajira kwa vijana kadhaa. Lakini swali moja...
  15. Replica

    Wasafi yalambwa rungu jingine, Zuchu asababisha kupewa onyo kali na kutakiwa kuomba radhi pia kipindi chawekwa chini ya uangalizi

    Wasafi wakiwa bado na kidonda cha Nabii Shilla kuudhihaki ukristo na kupigwa faini, TCRA bado wanawalia timing na leo wametakiwa kuomba radhi kutokana na interview ya Zuchu kutumia 'lugha chafu ya matusi ya nguoni isiyo na staha' kwenye kipindi cha 'Refresh'. Pia kipindi hicho kimewekwa chini ya...
  16. reymage

    New couple in town

    Hatimaye tetesi zimekuwa kweli! Diva wa music Bongo Sukari, Zuchu anatoka na boss wake aliyemtoa kimuziki yaani Diamond Platnumz. Jana wamenaswa Hyatt Regency wakijiachia full mahaba kiss and touch everywhere. Yasemekana anataka kumuoa[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848] Kabla ya kuwa na...
  17. Inside10

    TCRA waipa onyo wasafi Tv kwa kukashifu dini ya kikristo.

    Kamati ya Maudhui ya TCRA, leo Jumatano imeipa onyo Wasafi Televisheni, pamoja na kuitaka iombe radhi mara tatu kwa siku, kuanzia kesho Alhamisi hadi Jumamosi, huku ikiiamuru ilipe faini ya Sh. 2 Mil., baada ya kukutwa na hatia katika kosa la kurusha maudhui yenye kukashifu dini ya Kikristo...
  18. Teko Modise

    Wasafi TV chaneli yenu inaboa

    Yaani chaneli ya Wasafi Tv inachenga za kutosha utasema enzi zile za analogi. Unakuta unaangalia kipindi lakini watu huwaoni wanazibwa na chengachenga unabaki kusikia sauti tu🚮🚮🚮 Mjifunze basi kwa wenzenu tatizo hili ni la muda mrefu sasa, hamna mafundi huko??
  19. sky soldier

    Mwekezaji inabidi ampe Diamond takriban nusu ya faida ili kutumia jina la WASAFI lasivyo apambane kivyake

    Diamond sio mmiliki mkuu wa makampuni kama wasafi tv, wasafi radio, wasafi bet, Diamond karanga (r.i.p), yeye nafasi yake huwa ni co-owner, anachofanya ni kuwekeza tu jina lake na kuchukua asilimia zake kwenye faida. Uhakika wa 40%-49% ya umiliki na faida upo chini yake kwa kutoa tu jina wasafi...
  20. sinza pazuri

    Diamond afanya uwekezaji mkubwa kwenye betting...Atambulisha rasmi Wasafi betting

    Diamond Platnumz msanii namba moja Africa ameendelea kuonyesha ubabe wake kwenye kila kona kuanzia muziki mpaka uwekezaji. Ametambulisha rasmi biashara yake mpya ya Wasafi betting. Ama kwa hakika vijana wapambanaji tuna mengi ya kujifunza kwa huyu living legend. Tunakiwa tupate hamasa kwa...
Back
Top Bottom