Mtangazaji maarufu wa Times FM, Didah Shaibu amejiunga na Wasafi FM na leo atatambulishwa rasmi.
Watu wengi tuliona tokea mwanzo ikiwemo me muda si mrefu Didah atatua Wasafi hii ni kwasababu Diamond amekuwa na urafiki wa karibu Sana na Didah Shaibu for a long time hata events nyingi za...
Nimekuwa nikifuatilia sana Wasafi Tv channel na radio pia nimeona ni jinsi gani hamjajipanga na mnafanya kazi kwa mazoea.
Naamini hata wafanyakazi wenu wengi hawana taaluma ya utangazaji wala uandaaji wa vipindi.
Watangazaji wenu wamekuwa na porojo nyingi na kutokuwa na taarifa sahihi...
Sijajua ni woga wa watangazaji ama mbinu za kumfanya aendelee
Kuwa vinywani
Mwa watu?ooh unamuongeleaje diamond? Vipi mchango wa diamond kwenye mziki? Unaonaje anavyowakilisha kimataifa? Waacheni huru wanaohojiwa
Mkurugenzi wa vipindi clouds media Joseph kusaga amefunguka kuhusu kudaiwa kuwa ana hisa ndani ya wasafi media kupitia mahojiano yake na jonijoo kwenye kipindi Cha bartender amesema " sina hisa zozote ndani ya wasafi na Wala sijawahi kumchangia chochote diamond zaidi ya kumpa ushauri kuhusu...
Leo saa tatu kamili usiku kutakuwa na interview ya mkurugenzi wa Clouds Media ndani ya kipindi Bartender kikiongozwa na mtu mbaya Jonijo ndani ya Wasafi TV siyakukosa leo.
Je, kupitia interview hii tunaweza tukaona bifu la Clouds na Diamond kuisha? Tusubili muda utaongea maana Jonijo pia ndio...
Jana nilikuwa naangalia kipindi chenu cha Women matters, kipindi kizuri ila kilikuwa hakina utulivu, hujui nani mgeni nani muongozaji, kila mtu anongea tu kama wako Baa, infact kiliboa sana, angalieni tv zingine.
Wasafi media imefikisha mil 1 subscribers ya watazamaji YouTube na kuwa ni media pekee ya tz yenye subcriber wengi kuliko media yoyote ikiwa imeanzishwa muda si mrefu.
Habari zilizo chini ya kapeti ni kwamba Harmonize bado yupo Wasafi ila kinachoendelea ni drama ya kuhakikisha Ali Kiba anayeyushwa kwenye gemu. Mashabiki wengi wa Kiba watavutwa kwa Konde Boy company ambayo iko chini ya WCB, mpango huu umesukwa na jopo la wakongwe wanaomsimamia Mondi akiwemo...
Please mod usiuunganishe Uzi wangu.
MTAZAMO WANGU WA SHOW YA JANA
Jana wasafi festival waliiteka dar nzima na east Africa kwa ujumla.kiukweli waliofanya vizuri ni wengi Sana siwezi kuweka wote.Hapa nitaweka list ya wasanii top 7 niliyoona wameperform vizuri
1. Diamond
Huyu ndo alikuwa ndio...
Najaribu kufuatilia show ya Wasafi Festival grand finaly, what I see jamaa bado wana long way to go.
Kuna matchup na Fiesta maana hata arrangement yao ni hovyo plus wasanii wao wengi ni wale Old School tu.
Sasa sijui wameshindwa kulipa hawa curently artsist!
Idea ya tamasha la wasafi lilianzia kupitia mashabiki wa Diamond kwenye group la WhatsApp linaloitwa Wasafi fans lenye members laki 5 ambao walitoa hiyo idea ya kwanini Wasafi wasiwe na tamasha lao likiwahusisha wasanii pekee wa label ya Wasafi tu.Hilo wazo likamfikia Diamond mwenyewe na...
Hiv karibuni Mwinyi Zahera amekuwa akifanya media tour na kuwalikwa pia na media mbalimbali sports arena wameulizwa mbona wao hawajamwita Zahera wamejibu "Zahera ameshafukuzwa na yanga na kocha anapimwa kwa matokeo au uchezaji wa timu yake hatuna sababu yakumwita studio hata ukimwita azungumzie...
Ulimwengu wa entertainment (burudani) unaenda kasi sana, vitu vinabadilika kila leo, level ya ushindani imekuwa kubwa pia, mbali na kushuhudia hamahama ya watangazaji kutoka Media House Moja kwenda Nyingine, na tulipofikia ilishakuwa jambo la kawaida sana.
Kwa wiki sasa nimekuwa nikifatilia...
Leo akiingia kuchangia 'kiuchambuzi', mchambuzi Oscar Oscar alianza kwa kutoa kicheko cha 'kinafiki' kisha akahoji, je madeni yameshalipwa? Watangazaji wenzake wote studioni wakaanza kuangua kicheko ambacho kinaonesha kabisa kuwa ni 'kijembe' kwa wale waliowakimbia.
Juzi tena kuna Mtangazaji wa...
Hii wiki imeanza kwa kishindo upande wa Kiwanda cha media baada ya Wasafi Fm kufanya utambulisho wa watangazaji wa kipindi cha michezo cha Sport Arena, utambulisho uliojaa manjonjo na mbwe huku wakiwa wameacha vilio na mapengo kwenye baadhi ya vyombo vya habari,
Biashara ni Ushindani, eeeh ndio...
Walianza na watangazaji ‘ mahiri ‘ sana wa michezo wakina Maulid Kitenge, Edward Kumwembe, Ahmed Abdallah, Yusuph Mkule, Mwanaidi Suleiman wakimjumuisha na yule mtangazaji waliyemkuta hapa wa michezo Ricardo Momo na jana tena wamemuongeza ‘ Mchambuzi ‘ wa michezo ambaye ndiyo alikuwa akiifanya...
Mchambuzi fundi wa soka ninayemkubali hapa Tanzania kwa uchambuzi wa kina wamichezo kutoka kituo Cha magic fm George ambangile rasmi amesajiliwa na wasafi media aka real Madrid wa bongo kwa kuchukua nyota wakali wa media tofautitofauti.Natoa pongezi za dhati kwa kijana mond bin laden kwa kuliona...
Habari wakuu?,I hope you do good.
Diamond platnumz leo wakati wa kutambulisha watangazaji wapya wa vipindi vya michezo pale Wasafi HQs.
Mbele ya wageni waalikwa na mgeni rasmi waziri wa michezo Mh, Dkt.Mwakyembe.
Ametangaza kuwa ndani siku chache zijazo yaani 3, Wasafi TV itakuwa inaonekana...
Waziri wa habari sanaa na michezo Dr Harrison mwakyembe ametoa pongezi zake kwa mwanamziki diamond kwa uzinduzi wa sports arena alioufanya kwa ukubwa kuanzia maandalizi pamoja na ubunifu walitumia kwa kitendo Cha kuwashusha kwa helikopta watangazaji waliowasajili lakini kuwepo kwa red carpet na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.