wasafi

  1. Meena Ally wa Clouds media na Aaliyah Mohammed wa Wasafi media yupi ni Presenter Mkali?

    Tasnia ya habari hasa upande wa Ma-presenter wa kike naona bado hakuna wale wa kukiwasha sana atleast hawa wawili wamejitahidi sana pia wana-knowlegde ya mambo mengi tofauti na wengi Mwana Jamiiforums yapii maoni yako kwenye ili yupi ni mkali hapa 🎤 🎙️ Meena Ally(Clouds FM) Aaliyah...
  2. Kwanini nikimuangalia Diamond naiona Sura ya Umiliki wake wa Wasafi Media, ila kila nikimuangalia Ali Kiba siioni Sura ya Umiliki wa Crown Media?

    Kwa tuliosoma vyema Psychology hasa ile ya Communication naomba tutafute Clips za Interviews za Diamond kuhusu Umiliki wake wa Wasafi Media kisha naomba tuchukue na Clips za Interviews za Ali Kiba na Umiliki wake wa Crown Media ( halafu zingatieni pia katika Body Languages zao ) na mkimaliza...
  3. D

    Ricardo Momo anaondoka Wasafi Sports Arena? Watu tunasikiliza kipindi hicho kisa 'Zandanii'. Tafadhari kaeni mezani

    I know I might be the one who stimulate Ricardo Momo to improve his presence in the show. But not him to resign. I believe wasafi can reach a deal with him. We depend on him to give us more accurate informationsℹ️ that media doesn’t have. The moment he resign especially near signing season...
  4. Mpaka sasa WASAFI TV na FM sijui wapo kundi gani upande wa tasnia ya habari

    Ni jambo zuri kuwa na ongezeko la vyombo vya habari ila kuongezeka kuna takiwa kuwe na utofauti sana ili ukiangalia au kusiliza unajua kilichokupeleka. Wasafi Tv na FM bado wanashida kwenye kujitofautisha yani uwezi kuelewa wanataka nini kama ni kwa ajili ya burudani,michezo,habari au mambo...
  5. G

    Vita ya Wasafi na kampuni ya usambazaji wa Muziki 'ZIIKI MEDIA' imefika pabaya, ZIIKI wazuia utoaji wa wimbo wa Lavalava, Diamond awachana

    Ziiki Media kampuni kutoka Kenya inasimamia usambazaji wa muziki kidijitali, Ziiki inashirikiana na kampuni zaidi ya 200 za ku-stream muziki online, wao wanakusambazia muziki kwenye platforms online kisha hukusanya mapato ya kwenye hizo platforms kwa niaba ya msanii. Pichani ni boss wa ziiki...
  6. Serikali imdhibiti Maulid Kitenge na kundi lake la wahuni wanaojiita Wasafi Jogging Group

    Huyu jamaa Kwa kutambua kwamba nchi Sasa Ina mbululaz wengi wanaojipendekeza Kwa watu maarufu huku wakijiita machawa akaanzisha kundi la kukimbia mchakamchaka barabarani. Mazoezi ni muhimu Kwa afya ya mwili na akili, lakini yasifanywe kihuni, yafanywe mahali sahihi na salama Kwa wafanya mazoezi...
  7. Rais Hussein Ali Mwinyi akipokea salamu za pole kutoka kwa viongozi na taasisi mbalimbali baada ya kufiwa na Baba yake Hayati Ali Hassan Mwinyi

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi amepokea salamu za pole nyumbani kwake Migombani kutoka kwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (CDF) Jenerali John Jacob Mkunda kufuatia kifo cha Baba Mzazi, Rais Mstaafu wa Zanzibar na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
  8. L

    Mwina Kaduguda: Simba wakitaka kuifunga Al Ahly ni lazima washirikishe watu wengine

    Mwina Seif Kaduguda, a socio- scientist cum Journalist anaijua Simba nje na ndani hivyo haiitaji saana kumuelezea. Leo akiongea na Wasaf Fm huku akichagizwa na Mnazi wa Yanga Maulid Kitenge amediriki kusema kuwa Yanga ina umoja sana kuliko Simba. Alisema Yanga inacheza mpira mkubwa sasa...
  9. Wasafi Media Mtegoni. Diamond, Kusaga wavurugana

    Wakurugenzi wa Wasafi Media, Joseph Kusaga na Naseeb Abdul ‘Diamond Platinumz’ wanaripotiwa kukosa maelewano kati yao juu ya uendeshaji wa media hiyo inayomilikiwa na wawili hao. Chanzo ni TRA Diamond ambaye amekuwa akitafutwa na maafisa kodi kwa muda mrefu, huku yeye akitumia 'janja janja'...
  10. TCRA na TCU wachukue hatua kali kwa Wasafi TV kutokana na 'kiki' ya mapacha kufanyiana mtihani

    Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha. Kuna hiki kipande cha video kinachobamba mtandaoni kuhusu mapacha wawili ‘wanaokiri’ hadhrani kufanyiani mtihani ‘chuoni’. Ukisikiliza kwa makini na kwa utulivu wa hali ya juu, utagundua kuwa hawa watu wanaigiza tu. Haiingii akilini watu...
  11. P

    Mapacha waliokiri kufanyiana mtihani chuo matatani, Chuo cha Ardhi wasema wanachunguza suala hilo

    Hivi unakiri vipi kwenye kweye TV inayotazamwa na watu wengi hivyo jambo linaloweza kukuingiza matatani? Haya sasa mambo yameharibika! Chuo Kikuu Ardhi kimepata taarifa kupitia Wasafi FM, chaneli ya YouTube ya mahojiano kati ya waandishi wa habari na mapacha wawili wanaofanana. Mahojiano hayo...
  12. Adela Tillya wa Wasafi mwanamke huyu ananikosha sana

    Adela Tilly wa WASAFI Kama huko hukuu tafadhalii okoa moyo wangu unakufaaaa ganzii Njoo DM najua uko hukuu Sifa zako 1. Mcha Mungu tena unasali. KKKT kijitonyamaa. 2. Mzuri asee. 3. Unajielewaa sana. 4. Machaga Njoo PM sasa hivi twende Moshi Adellah bado nakutafutaaa Adellah Wana jamvi...
  13. Makonda, ukimalizana na GSM, kaisambaratishe kampuni ya WASAFI ya Diamond, ulikuwa mlezi wao, ulipokosa madaraka wakakufukuza

    Makonda alikuwa mlezi wa kampuni ya wasafi inayomilikiwa na mwanamuziki Diamond. Mara kadhaa alisikika akimkemea Harmonise asivute misokoto yake. Lakini tangu aukose ukuu wa Mkoa, Wasafi waliona kama wametua zigo la misumari, wakampiga chini. Nashauri Makonda asiwaache salama kwenye orodha yake...
  14. S

    Tetesi: Chalamila adaiwa kuhusika na ufutaji wa kipindi Wasafi FM

    Dakika chache baada ya waziri Nape kukanusha kuwa serikali ya rais Samia haihusiki na kukifuta kipindi cha mahojiano kilichopaswa kuruka leo asubuhi pale Wasafi FM, kuna tetesi kuwa Chalamila anahusika. Habari kutoka ndani ya Wasafi Media zinadai RC Chalamila ndiye aliyewapigia simu majira ya...
  15. Nape Nnauye: Hatujazuia mahojiano ya Tundu Lissu, Wasafi FM

    Serikali imeona kupitia vyombo mbalimbali vya habari ikiwemo mitandao ya kijamii kuhusu taarifa za Wasafi FM kuzuia mahojiano kati ya Makamu Mwenyekiti, wa CHADEMA na kutoa taarifa kuwa maamuzi hayo yametokana na maelekezo kutoka juu. Tangu kuingia kwa Serikali ya Awamu ya Sita kazini, jambo la...
  16. Ushauri: Tundu Lissu usihudhurie Interview nyingine itakayopangwa na WASAFI FM

    Baada ya leo kushindikana kwa Mahojiano yaliyopangwa kufanyika kwenye Studio za Wasafi FM , Baina ya Watangazaji wa kituo hicho na Tundu Lissu , imekubaliwa kwamba itapangwa siku nyingine kwa ajili ya jambo hilo Ukweli ni kwamba Sababu zilizotolewa na Wasafi media kama utetezi wa mkanganyiko...
  17. Interview ya Tundu Lissu yasitishwa Wasafi FM. Mwenyewe ang'ang'ania ofisi za Wasafi. Wakubaliana kuifanya wakati mwingine

    Habari zilizonifikia hivi punde ni kwamba interview ya Mh. Tundu Lissu pale Wasafi FM imefutwa. Awali ilielezwa kwamba Tundu Lissu angefanya mahojiano katika kituo cha Wasafi. Taarifa zisizowekwa wazi ni kwamba mahojiano hayo yamefutwa kufuatia maelekezo ya CCM --- Taarifa kutoka ukurasa rasmi...
  18. Tundu Lissu atakuwepo kwenye good Morning ya Wasafi FM kesho asubuhi

    Taarifa kwa wadau wote kesho asubuhi kwenye kipindi Cha Good morning Cha wasafi FM Kuanzia saa 11 asubuhi Hadi saa 2 asubuhi, atakuwa akihojiwa na kituo hicho. Tutarajie siasa za hoja, na sio za kujipendekeza kwa yoyote. Huenda akatoa ufafanuzi wa maridhiano, miswaada ya Sheria za uchaguzi...
  19. Nabii wa Wasafi TV atoa Utabiri wa Mwaka 2024

    Nabii Clear Exaud Malisa ambao urusha matangazo ya kanisa lake kupitia Televisheni na Radio ya Wasafi, amekuja na utabiri wa mwaka huu 2024. Clear Malisa amesema mwaka huu 2024 umegubikwa na matukio makubwa sana ambayo ameorodhesha kama ifuatavyo. 1. Natural Disasters (Majanga ya kiasili)...
  20. Tetesi: Kitenge hana furaha Wasafi, ataka kutimkia EFM

    Habari za uhakika kabisa zinasema gwiji la kusoma magazeti nchini aka zee la viearphones halina furaha Wasafi redio. Kitenge yuko kwenye mazungumzo ya awali akijiandaa kuhamia EFM huku ongezeko la mshahara na idadi ya safari za nje zikitajwa kama sababu kubwa kumshawishi kukimbilia EFM.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…