Wasajili wa Hati Wasaidizi kutoka mikoa mbalimbali nchini wameapa kuzingatia Maadili ya Utumishi wa Umma, tarehe 10 Oktoba 2026, mkoani Arusha, katika kikao kazi cha siku mbili kilicholenga kutathmini utekelezaji wa majukumu na kuweka mikakati ya kuboresha utoaji wa huduma.
Kiapo hicho...
ARUSHA
Wasajili wa Hati Wasaidizi kutoka mikoa mbalimbali nchini wametakiwa kutumia mifumo ya kielektroniki ikiwemo e-Ardhi na e-Office katika utekelezaji wa majukumu yao ili kuongeza ufanisi, kuondoa urasimu na kuboresha utoaji wa huduma kwa wananchi.
Wito huo umetolewa na Mkurugenzi wa...
ARUSHA: Wasajili wa Hati Wasaidizi kutoka mikoa mbalimbali nchini wametakiwa kuzingatia maadili ya Utumishi wa Umma, kuimarisha weledi na kuongeza ufanisi katika utoaji wa huduma kwa wananchi ili kuhakikisha usimamizi na usajili wa hati za ardhi unafanyika kwa kuzingatia sheria, kanuni na...
Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kupitia Kitengo cha Hati, imeendesha kikao kazi cha siku mbili kilichowakutanisha Wasajili wa Hati Wasaidizi kutoka mikoa mbalimbali nchini, kwa lengo la kujadili na kujipanga kwa matumizi ya TEHAMA katika shughuli za usajili.
Aidha, kikao hicho...
DODOMA
Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Geophrey Pinda amewahimiza wasajili wa Hati na Nyaraka Wasaidizi katika ofisi za Ardhi za Mikoa kuhakikisha wanatoa hati milki za ardhi kwa wakati kwa wananchi walioomba kupatiwa hati hizo.
Mhe Pinda ametoa kauli hiyo leo tarehe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.