Wasajili wa hati wasaidizi waapa kulinda maadili ya utumishi wa umma

Wizara ya Ardhi

Govt Institution
Joined
May 14, 2024
Posts
306
Reaction score
165
IMG_7975.png

Wasajili wa Hati Wasaidizi kutoka mikoa mbalimbali nchini wameapa kuzingatia Maadili ya Utumishi wa Umma, tarehe 10 Oktoba 2026, mkoani Arusha, katika kikao kazi cha siku mbili kilicholenga kutathmini utekelezaji wa majukumu na kuweka mikakati ya kuboresha utoaji wa huduma.

Kiapo hicho kimeshuhudiwa na Mkurugenzi wa Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Bi. Salome Cyril Kessy, pamoja na Msajili wa Hati wa Wizara hiyo, Bw. David Mushendwa.
 
Nafikir Sasa iwe ni lazima kwa Taasisi za Serikali kuwa na Kurasa za mitandao ya Kijamii hasa Jamii Forum.Ili kuongeza ushirikishaji wa wananchi.Hongereni wizara ya ardhi kwa kuwepo.Humu
 
Asante Masokotz endelea kufuatilia ukurasa wetu hapa Jamii forums na mitandao mingine ya kijamii kwa jina la wizara ya ardhi ili kuendelea kupata habari na taarifa zinazohusiana na masuala ya sekta ya ardhi, nyumba na makazi.
 
Hongereni.Sasa Leteni Uzi Maalum wa mawasiliano ya Hao Wasajili Hti Wasaidizi kwa kila eneo.Wekeni Simu,anuani na Email zao.Naamini Mods wa JF wataufanya Pin Ila uweze kufikika kwa Urahisi.Mnaweza Pia weka uzi Maalum kwa ajili ya Taratibu za kupata HATI miliki ya Ardhi pamoja na Gharama zake.Kazi njema
 
View attachment 3689879

Wasajili wa Hati Wasaidizi kutoka mikoa mbalimbali nchini wameapa kuzingatia Maadili ya Utumishi wa Umma, tarehe 10 Oktoba 2026, mkoani Arusha, katika kikao kazi cha siku mbili kilicholenga kutathmini utekelezaji wa majukumu na kuweka mikakati ya kuboresha utoaji wa huduma.

Kiapo hicho kimeshuhudiwa na Mkurugenzi wa Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Bi. Salome Cyril Kessy, pamoja na Msajili wa Hati wa Wizara hiyo, Bw. David Mushendwa.
Keshokutwa tu wanaanza kula rushwa....
 
Back
Top Bottom