wasanii

  1. Mbeya: Wasanii watoa wimbo wa Kukemea matendo Maovu ya Polisi. Wamvaa RCO Andrew Kantimbo

    Tuseme Mbeya wameamua au ndo kawaida yao? Wanasema Andrew Kantimbo atawafunga, atawanyonga, atawapiga ila ajue sio Mungu. Kwamba anacheza na Chanda cha Mungu. Nashauri IGP amhamishe Mbeya sababu inaonekana Moyoni anachukiwa sana na Wananchi anao wasimamia.
  2. Wasanii wa kibongo ombeni msamaha kwa Diamond..kabla hali haijawa mbaya

    Diamond Platnumz ndio baba wa bongofleva. Anaichezesha sanaa ya bongo anavyotaka yeye. Wasafi Festival ni tamasha alilofanikiwa sana na linazidi kuwa na nguvu. Tamasha la kiingilio kikubwa hapa bongo na linajaza watu kuliko matamasha ya bure. Akiamua sasa nitrend kwenye muziki hakuna wa...
  3. Couple hizi zitavunjika

    Hawa mastaa Hawaa zama hizi wamevurugwaa sana, ingawa wanaweza imba mashairi matamu juu ya mapenzi. Lakini, kwenye utendaji wako sifurii sana. Sio wasanii wa nje au wa bongoo wotee mahusiano yao yamekuwa ya mashaka sana. Hawa mastaa wafwatao wa bongo mahusiano yao yatavunjika na sababu za...
  4. Shetani anawaambia wasanii wanaotaka kutoka kimaisha wamsujudie, wakikubali anawapa pesa na umaarufu

    Habari za asubuhi! Shetani anamiliki pesa, Mali na umaarufu. Akikuona unatafuta umaarufu tu lazima atakufuata na kukuambia kuwa usihangahike, what you find it's belongs to me. Tulia nikupe huo umaarufu na nitakuwekea pesa juu yake. Mara nyingi mwanzoni atakuja kama malaika (mtu mwema) na...
  5. Michango kwenye misiba ya wasanii inatoa somo zito kwa serikali na wasanii

    Wakuu tangu jana baada ya kusoma taarifa za kuugua kwa msanii Haitham Kim (R.I.P) na bahati mbaya leo kufariki nimejikuta nikitafakari sana mambo mengi. Nimejitafakari mimi binafsi, familia yangu, wasanii na watanzania wote kwa ujumla kuhusu ishu za afya na kujikuta nikisononeka. Ila wakati...
  6. Mashairi: Khaligraph hajatukana Wasanii wa Bongo Bali anawakumbusha tu kuwa wamepooza sana kwenye Game ya Rap wamekimbilia Kwenye Amapiano

    KHALIGRAPH - Bongo Favour Lyrics π“π€π…π’πˆπ‘πˆ 𝐙𝐀 πŠπˆπ’π–π€π‡πˆπ‹πˆ π™πˆππŽ Tusahishane kama kuna makosa+nyongeza Yeah nafanya TZ mbogi ipaniki ᴍʙᴏɒΙͺ = α΄‹α΄œΙ΄α΄…Ιͺ, α΄κœ°α΄€Ι΄α΄ α΄‘α΄€Ι΄α΄€α΄α΄’α΄œΙ΄Ι’α΄œα΄α΄’Ιͺα΄‘α΄€ ʜᴜᴍᴜ Wakiona OG amejam, zogo! ᴑᴀᴍᴇᴀᴏɴᴀ Ι΄α΄€α΄‘α΄€α΄˜α΄€ α΄α΄€α΄‹α΄€α΄ α΄œ, ᴑᴀᴍᴇᴀɴᴒᴀ α΄‹α΄‡ΚŸα΄‡ΚŸα΄‡ Big rappers na mbona mnaplans ndogo? Na sitafuti kiki...
  7. Kweli vizuri gharama, MaDJ ni wengi kuliko Wasanii waimbaji kwenye tamasha la Simba Day 2023

    Simba day imetapakaa list ndefu ya madj kuliko wasanii, nadhani hilo linatokana na kuyumba kwa mahesabu ya kukokotoa. Hadi sasa wasanii ambao confirmed kuwa wata perform ni Ali Kiba, Tunda man, na John Makini. Wale ambao kinachowapeleka ni wasanii basi imekula kwao, kiingilio chako hakitoshi.
  8. M

    SoC03 Sanaa na wasanii: Je wasanii wetu bado ni kioo cha jamii?

    β€œMimi ni msanii, mimi ni msanii, Kioo cha jamii, kioo cha jamii, Mimi naona mbali, mimi naona mbali, Kwa darubini kali, kwa darubini kali.” Nani anakumbuka huu wimbo? Mimi ninaukumbuka sana. Enzi hizo nilikuwa nasoma pale Shule ya Msingi Zanaki, Kata ya Upanga Mashariki. Wimbo huu uliimbwa na...
  9. Yanga Staff vs Wasanii; Huyu Golikipa H. Kidiaba JR anaujua. Anatokea wapi?

    Kwema Wakuu? Hii mada kila nikipost jana iliikua inakataa. Jana siku ya Wananchi nilikua naangalia matukio mbalimbali na washikaji wa kitaa ambao tunakuaga nao pamoja siku zote kwenye michezo (mipira, ndondi etc). Sasa mojawapo ya mechi za jana kwenye siku ya Wananchi ni mechi kati ya Staff wa...
  10. Uhaba wa wasanii wa Reggae nchini

    Tasnia ya reggae imebaki mkiwa. Huku kila msanii akikimbilia kubana pua. Imekaaje hii wadau. Masela reggae inakufa na mmetulia tu. Wako wapi wazee wa Reggae 1. Innocent Galinoma, 2. Justine Kalikawe, 3.
  11. Kama ni kweli hawa wasanii wanapelekwa Dubai kwa mission maalum Dubai Port, hakika inafikirisha!

    Watanzania wenzangu hatima ya ustawi wa Taifa letu upo mikononi mwetu. Ni wajibu wetu kama Watanzania tujizuie kwa namna yeyote ima kununuliwa ama kushawishiwa kwa namna yeyote ile ilmradi tuligawe Taifa na rasilimali zetu. Safari za namna hiyo za watu maarufu na wasanii wetu kwenda huko Dubai...
  12. Hii tabia ya maneno tata ya wasanii wa Singeli sio sawa

    Kumekuwa na tabia ya wasanii wa singeli kuimba kauli tata na watu kuchukulia poa. Mfano unakuta mwanaume anaimba β€œmume wa mtu sumu ila kwangu mtamu” hivi hii iko sawa kweli? Kwanini mamlaka husika wasikemee hili?
  13. SoC03 Kupitia wasanii wa sasa, je tunaenda kutengeneza kizazi cha aina gani hapo baadae na nani awajibike?

    β€ŠUTANGULIZI Msanii ni mtu anayetumia lugha kufikisha ujumbe( kazi zake za sanaa) kwa jamii. kwa lengo la kuburudisha na elimisha. Katika kutoa maana halisi ya fasihi simulizi kwenye kipengele cha msanii (mwanafasihi) kuna mtazamo unasema 'Msanii ni kioo cha jamii'. Kioo kazi yake kubwa ni...
  14. B

    Top 5 Wasanii bora wa kuimba wa muda wote Tanzania

    Moja kwa moja kwenye mada. 5. Matonya Kwenye ubora wake huu jamaa alikuwa moto, msikie kwenye nyimbo kama Tax bubu, Vailet, Dunia mapito n.k nadhan wasanii wa sasa wana kitu cha kujifunza kwake. 4. Jay dee Msikilize kwenye nyimbo Mawazo, na nyingine kibao 3. Q chilla Msikilize kwenye nyimbo...
  15. B

    Nina Milioni moja: Shindano Nyimbo za Hamasa Katiba Mpya kwa wasanii chipukizi na Kongwe

    Mimi kama Mtanzania Mzalendo ninayependa Nchi yangu hii inayoongozwa na Mh Dr Rais Samia kwa sasa najitolea 1M cash kama mkulima tu wa mahindi hapa Dumila. Nawiwa kufanya hivyo ili kuvuta attention na hamasa kwa wananchi kuhusu ujio wa Katiba Mpya. Kwa kutambua umuhimu wa jambo lenyewe madai...
  16. Ikatokea wanagawa tuzo kwa wasanii / watangazaji bora. Ungempendekeza yupi?

    Ungempendekeza msanii yupi wa bongo flaver, hip hop au muziki wa injili? Pia presenter (mtangazaji), mwanamitindo, msimulizi, muigizaji ama mchekeshaji yupi?
  17. Tamaduni Music tuwape maua yao kwa kuchangia pakubwa hawa madogo wanaofanya vizuri kwenye game hivi sasa

    Hiki ndio chuo kikuu cha hiphop hapa bongo kwani tangu waanze harakati zao wanatoa vichwa vinavyofanya kweli kwenye kila angle. Hawa ni baadhi ya waliopitia University of tamaduni music wakatoka na bachelor degree inayowasaidia kupata mkate wa kila siku, *Kontawa *Maarifa *Toxic *Pmawenge...
  18. Nimependa ubunifu wa video hii na uhalisia wa wasanii hawa.. 100%

    Leo nimeamkia huku finland wakati najiandaa kwenda kwenye mitaa kadhaa kwa ajili ya mapumziko ya wikiendi.. nikiwa kwenye YouTube nikaona hii video nikapendweza nayo sana kwa ubunifu na uhalisi wa matukio yalipopangiliwa kwa urahisi na ufanisi mkubwa.. napenda kuchukua nafasi hii kutoa credits...
  19. Virefu vya majina ya wasanii

    VIREFU VYA MAJINA 1. K.R. _ KAKA RASHID 2. J.O.S.E.P.H. - JIFUNZE, ONA, SEMA, ELIMIKA, PITIA, HAMASIKA 3. LANGA - LYRICAL AND NATURALLY GIFTED AFRICAN 4. RAF MC - REALITY AND FEELING MC 5. BINAMU - BILA IMANI NA AKILI MAISHANI UTAFELI 6. MAFIA - MSANII AMBAYE FANI IMELALA ASILIA 7. MAWENGE -...
  20. H

    Diamond na Davido wametajwa kuwa wasanii walioongoza kutafutwa na kumzungumzia kwa 2023

    Hivi karibuni kumetoka report ya google kuwa msanii kutoka Tanzania Diamond Platnumz na Davido kutoka Nigeria ndio Wasanii walioongoza kufuatiliwa na kuzungumziwa kwa mwaka Huu kwa barani Africa.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…