wasanii

  1. blogger

    Kwanini kuna Wasanii hawadimu kwenye game na ni wakali sana.!?

    Je ! Ni Management zao.. Ni Fedha.. Ni kutotoa hongo ktk Media Industry!? Mawazo yako mengi sana. Najua nawe una mawazo yako.. Kwa Mfano. Benson ni nini kilimfanya asiendelee kuwa msaniii mkali kabisa!? . Au huyu LodyMusic.. kwanini wanakuja na kuondoka.. pure talents. Embu tuwasikilize hapa...
  2. Benaire

    Naomba kupata taarifa za Wasanii wa Makundi ya Bongo Fleva

    Ningependa kupata taarifa za makundi ya bongo fleva.... Yaliundwa na wasanii gani, yalianzishwa mwaka gani, na walitoa ngoma gani na pia kupata picha zao 1: Living with Purpose (LWP) 2: Big Dog Pose (BDP) 3: Waswahili by Nature 4: Manzese Crew 5: Wandago 6: Wateule 7: Watengwa 8: Daz Nundaz 9...
  3. Ricky Blair

    Persona za Wasanii wa Bongo

    Nimeona hii kitu Wasanii wa Bongo hata wa nje lakini ngoja nizungumzie wa Bongo; wanapenda kuiga kila vazi au persona fulani hata kama si wao bali wavume; Regardless of his personal life Diamond ni muimbaji mzuri kama wengi tu lakini me nashangaa hii persona yake mpya ya kuvaa micheni sijui...
  4. UKWAJU WA KITAMBO

    Ujio wa wasanii mbalimbali kutoka nje ya bongo, kuna impact yoyote imepatikana kwa wasanii wetu?

    Leo nilikuwa napenda tulizungumzie hili wadau ujio wa wasanii kutoka mataifa ya nje kuja hapa Bongo kufanya show je? Kuna impact ama faida yoyote imepatikana kwa Taifa letu nje? Ya ongezeko la mapato siku ya show hapa nazungumzia wasanii wetu je? Wamenufaika Ama hapana.. Maana kuna wimbi kubwa...
  5. Mjanja M1

    Harmonize ashutumiwa kuwabania Wasanii wake kufanikiwa kimuziki

    Msanii Anjella amemvulia uvivu boss wake wa zamani Harmonize baada ya kusema kuwa aliwabariki kiroho safi kwenda kutafuta Rizki sehemu nyingine. Kupitia ukurasa wake wa Instagram (Instastory) Anjella Amedai kuwa Harmonize ndio mtu anaeongoza kuwabania Rizki zao huku akisema anaweza kuweka hadi...
  6. Mjanja M1

    Harmonize ku-sign wasanii wengine wawili kwenye lebo yake

    Msanii Harmonize ameamua ku-sign wasanii wengine wawili kwenye lebo yake ya Konde Gang baada ya kutemana na wasanii Killy, Cheed, Country boy na Anjella ambao walijitoa kwenye lebo yake ya Konde Gang. Ameandika msanii Harmonize kwenye ukurasa wake wa mtandao wa kijamii, "Nimekaa hapa...
  7. UKWAJU WA KITAMBO

    Elimu kwa wasanii wa Bongo

    ELIMU KWA WASANII WA BONGO Hayati Mwalimu Julius K. Nyerere aliwahi kusema kipindi cha harakati ya kugombania uhuru kuwa elimu ndio ufunguo na msingi wa kila kitu. Nukuu ya Mwalimu ilisema, "Hakika vita vya sasa sio vya mashoka wala upindi na mshale... Msishangae ndugu zangu, najua mnajiuliza...
  8. G

    Orodha ya wasanii ambao bongo fleva / hiphop imewapa mafanikio makubwa

    1. DIAMOND PLATNUMZ - CEO wa wasafi fm na tv + label, msanii pekee mwenye msururu wa ndinga za kwenda mbele 2. MR NICE - Ni Diamond pekee ndie alieweza kumfikia ukwasi akiwa peak, miaka hio ya 2003 inasemekana alikuwa anamiliki ukwasi wa bilioni 1 ya enzi hizo 3. AY - Mzee wa commercial...
  9. UKWAJU WA KITAMBO

    Vyama vya wasanii na uelewa mfinyu wa wasanii juu ya haki zao

    VYAMA VYA WASANII NA UELEWA MFINYU WA WASANII JUU YA HAKI ZAO. _______________________ Katika kitendawili kinachoendelea katika tasnia ya muziki na filamu ni swala la vyama vya wasanii, Pamoja utambuzi ama uelewa Mdogo wa Haki zao kama wasanii. Kuna aina nyingi ya vyama, vya kitaaluma kama...
  10. Mshuza2

    Hawa wasanii wetu wanawezaje ku share wanawake?

    Muangalie mtu kama Marioo,pamoja na umaarufu alionao angeweza kupata mwanamke mzuri tu popote,lakini ilikuaje akaangukia kwa yule binti? Tena nasikia anataka kuoa kabisa.. Mifano ni mingi,unakuta kuna slay queen anajulika kabisa analiwa na fulani lakini ghafla mwingine naye anabeba hawana...
  11. Mjanja M1

    Master Jay: Wasanii wa Kenya wanajua kuimba kuliko wasanii wa Tanzania

    Producer mkali kuwahi kutokea na Jaji wa mashindano ya kuimba Tanzania Master Jay, amesema kuwa wasanii wa Tanzania ni waburudishaji na sio waimbaji wazuri kama wasanii wa nchini Kenya. Akiwa anafanya mahojiano na East Africa Radio Master Jay amesema, “Kitu ninachojivunia ni kwamba...
  12. Mjanja M1

    Chino alalamika kubaguliwa na Wasanii wenzake

    Msanii anaefanya vizuri kwenye mziki wa Amapiano nchini Chino Kidd, amelalamika kukosa ushirikiano toka kwa wasanii wenzake kwenye Tamasha lake la Wanaman Experience. Kupitia ukurasa wake wa Instagram (Instastory), Chino amesema kuna baadhi ya wasanii wenzake wamemnyima ushirikiano kuelekea...
  13. Mjanja M1

    Orodha ya Wasanii wa Kiafrika walioingiza Mashabiki wengi kwenye Matamasha yao

    Achana na Orodha ya Wasanii wenye mkwanja mrefu Afrika, leo Mjanja M1 nakuletea Orodha ya Wasanii wa Kiafrika walioingiza mashabiki wengi hadi kufikia mwaka 2023 kwenye matamasha yao. HII NDIO ORODHA YENYEWE! 1. Ferre Gola Aliingiza Watu 150,000 Show yake ilifanyika DRC Congo Mwaka 2023. 2...
  14. Mhafidhina07

    Wahindi waliharibu kizazi cha 90-2000, ila kuanzia kizazi cha sasa lawama tuwatupie serikali au wasanii kwa ujumla wao

    TAMADUNI ni msingi na nguzo ya Taifa hatutaweza kuwa jamii endelevu ikiwa tamaduni zetu tumezitupa kabisa kama Taifa tutapoteza kitambulisho kwenye makutano ya nchi nyengine ila ubaya siyo kupoteza utambulisho tu! bali kupotea kwa misingi ya tamaduni ambazo kimsingi ndiyo nyenzo ya maadili kuna...
  15. Suzy Elias

    Pre GE2025 Makonda: Iwe mwisho CCM kutegemea wasanii kujaza watu kwenye mikutano

    "...ifikie hatua CCM kisitegemee wasanii kuleta watu wa kukisikiliza kwenye mikutano yake. Kusema hivyo si kwamba CCM hakiwahitaji wasanii tena bali ni muhimu sasa CCM kitimize wajibu wake wa kutekeleza sera na kwalo itawavutia Wananchi kuja kuwasikiliza Viongozi wa chama. NDIYO MAANA MIMI...
  16. blogger

    Kuna Wasanii wapo Tanzania ila huwajui hadi uwasikie Radioni na ni wakali sana. Mmoja wao ni huyu...

    Anaitwa Bruce Africa.. Nimeusikia wimbo wake hapa. Ukaniamsha usingizini.. fasta nikasema. Nimshazam.. Wimbo wake huu My love ni mkali. Sasa nikajiuliza mbona ha hit ana ana ngoma kadhaa . Kweli game ngumu.
  17. sky soldier

    vijana msome mjaribu bahati ya ajira, mjiajiajiri / biashara, kuwa msanii au mwamichezo ni kundi halizidi watu elf 1 nchi nzima waliofanikiwa.

    >> MOVED <<
  18. Allen Kilewella

    Nani huchukua mirabaha ya wasanii waliofariki?

    Punde nilikuwa nasikiliza Wimbo wa Sam Wa ukweli uitwao "Sina Raha" kama njia ya utafiti niliokuwa nafanya. Kwenye "YouTube" wote waliouweka Wimbo huo, kulikuwa na matangazo mbalimbali kwenye channel hizo za YouTube. Likanijia wazo kuwa wasanii waliokufa kazi zao zinapotumiwa na watu...
  19. Mama Edina

    Kwaya za utumishi ni usanii. Mh rais iwe makini na wasanii. Ni wale funka kombe mwana apite.

    Mh rais naomba uelewe kuwa utumishi kwaya sio kila kitu wanafanya usanii
  20. Mhaya

    Wasanii wa Nchini Ghana 🇬🇭waja juu na kutaka Nchi yao ipige mziki ya Ghana pekee

    Katika kikao kilichofanyika huko Jijini Accra, Nchini Ghana, kilichoandaliwa na wasanii wa Afro beat kutokea Nchini gani, kimezua taharuki baada ya wasanii hao kuchachamaa na kutaka Sehemu zote za burudani na maeneo ya Starehe pomoja na vituo vya burudani vya TV na Radio vipige mziki wa Ghana...
Back
Top Bottom