𝑵𝒂. 𝑱𝒐𝒉𝒏-𝑩𝒂𝒑𝒕𝒊𝒔𝒕 𝑴. 𝑵𝒈𝒂𝒕𝒖𝒏𝒈𝒂
____________________________
Nimekuwa mfuatiliaji sana wa maneno yaliyokuwa yakisemwa na baadhi ya Waimbaji wa Kike wa Nyimbo za Injili hasa baada yaWanawake hao kuachana na Waume zao, kutoka kwenye Ndoa zao baada ya Ndoa zao kuvunjika.
Nilifuatilia zilipovunjika...
Chidy benzi amesema nusu ya wasanii wa Bongo wa kiume wanalika akimaanisha kwamba ni "mashoga"
Chidy benz angetaja list kabisa
Video hii hapa👇🏻
https://www.facebook.com/ISHEBOO/videos/1154680399214487/?app=fbl
hizi ndiyo albam zangu bora kabisa za hiphop zilizofanywa na wasanii wa Tanzania
(1) PROF JAY, albam yake inayoitwa MACHOZI, DAMU NA JASHO hii albamu huwa siichoki kuisikiliza ina kila kitu elimu,kufurahisha na kusisimua jamii mwamba ukimsikiliza katika hii albamu unajua kabisa he is a geneus...
Kwa mimi binafsi naona
1. Nikki Mbishi wa Tamaduni Muzik
2. Leonardo wa Cheka Tu
Wote ni wasomi wenye taaluma zao ambazo, zinahitajika kichwa Cha hesabu Nikki ana degree ya computer science huku Leonard yeye ana bachelor ya water resources engineering.
Kwenye interview zao utagundua wako smart...
Nimejaribu kufatilia kuna uchafu mwingi sana kwenye industry, na zama hizi mpaka msanii aonekane lazma labda adandie record label. Na ukidandia ndo hivyo tena unakua kama wakina rich mavoko, siku mambo yakienda kombo unapotea kwenye game.
Talent na uwezo sio kigezo cha msanii kutoka pamoja na...
Habari zenu Wakuu,
Kwa hizi siasa zinavyoendelea nchini sidhani kama raia wanaojaa kwenye mikutano ya kiasiasa wanakuwa wanaenda kweli kusikiliza sera, hasa wale wanaojaza wasanii kibao utafikiri wanafanya tamasha.
Kila mtu sasa hivi ni chawa, viongozi ni chawa ili kubakia kwenye nafasi zao...
Kumekuwa na makundi mengi kama Tmk wanaume, wakali kwanza, solid ground, gangwe mob, watu pori, n.k. lakini wasanii wengi waa hayo mkundi wameyumba kiuchumi hasa baada ya kuacha muziki.
Hii ni tofauti na kundi la east cost team, members wake wengi wanadunda mpaka sasa
GK - Lecturer katika...
Muziki wa Tanzania una wanamuziki wenye uwezo mkubwa lakini muziki wetu hauendelei mbele kwenye mataifa mengine kwa sabau hakuna ushirikiano baina ya wasanii. Naamini wasanii wa kishirikiana wanweza kusaidiana kuupeleka muziki wa Tanzania level za kimataifa.
Je, Wasanii gani wa Tanzania ambao...
Wasanii wa muziki na vyombo vya habari vimefanya mkesha wa Mwenge kuwa kama FIESTA. Wakuu wa wilaya na Mkoa wanatoa wapi fedha za kuwalipa wasanii wakubwa kwenda kutoa burudani usiku kucha kwenye mkesha wa Mwenge?
Je hizi fedha za kuwalipa zinatokana na bajeti inayopitishwa na bunge? Mbona...
Hii ni kuhofia aibu ambayo ingewapata, ndioo, Wamejua kwamba hawatajaza watu, wanajua hawakubaliki, hawana ushawishi, Sasa wamekuja na GIA ya kufanya Ziara za Mikutano ya Ndani tuu, yaan kwenye Viukumbi vyenye kubeba wanachama tu na sio Raia ,tena wanachama wapatao 100 !!.
Hofu yao ni kuona...
Twende nami taratibu.
Baada ya kuwatazama Marais wa wakataa ndoa duniani sasa ni zamu ya watu maarufu walio nje ya ulingo wa siasa😎
1. Oprah Winfrey
Ukurasa unafunguliwa na huyu ajuza vijana wa kisasa wanasema shangazi.
Huyu legend wa kike ni mwanaharakati haswa wa wazee wa kataa ndoa.
Huyu...
Msanii wa Comedy kutoka Kenya, amekuwa akifanya vitu ambavyo kikawaida tumezoea kuona vikifanywa na wanasiasa kwa lengo la kutafuta huruma za wananchi waje kumpigia kura wakati wa uchaguzi. Ingawa pia, inaweza kuwa ni pia mipango ya Erico, you never know.
Lakini kitendo cha kufanya tu hivyo...
Ikulu ya Magogoni imewakarimu sana viongozi wa dini na wasanii wakiambatana na CHAWA. Nadhani hiki ni kipindi ambacho kila mwezi hata makundi lazima yawe Ikulu.
Je, huu ni ukarimu? Na ukarimu huu unamchango wowote kwa wananchi maskini? Lengo la huu ukarimu ni nini kitaifa?
Maskini waliopo...
Mimi msanii wa kiume anayevaa hereni, aliyeweka kipini puani na mwenye tabia ambazo hakupaswa kuwa nazo mwanaume huyo siwezi kutazama video yake, siwezi hata kusikiliza nyimbo zake.
Nahisi uchafu na kichefuchefu, ngoja niishie hapa.
Binafsi kuna collab natamani zingetokea sio kwa bongo tu mpaka mbele, kwa mfano;
1. Jay Melody ft Mbosso
2 Diamond Platinumz ft Yemi Alade(najua wamewahi fanya ila ilikuwa ni zamani wakati mond hana umaarufu)
3. Kaligraph Jones ft Darassa
4. Ruger ft Rema
5. Jason Derulo ft Chriss Brown
6...
SUPPORT YA MSANII
SOGGY DOGGY ANTER KWA WASANII WA MUZIKI WA BONGO FLEVA MKOANI MWANZA..
____________________
✍🏾 Bila shaka jina la Msanii Anselm Tryphone Ngaiza a.k.a soggy doggy anter sio jina jipya masikioni mwa watu Hasa Kwa wadau na mashabiki wa Muziki wa Bongo fleva Nchini Tanzania...
Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania wa Chama Cha Mapinduzi (UWT) Ikiongozwa na Mwenyekiti wake Mary Chatanda , kupitia Katibu Mkuu Ndugu. Jokate Mwegelo amezindua kundi la SAMIA QUEENS ambalo ni muunganiko wa Wasanii wote wa Kike wa Sanaa ya Muziki na Uigizaji.
Lengo la kundi hilo ni kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.