Hivi Watanzania ndio tumeshindwa kuwaunfollow wasanii?

Ricky Blair

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2023
Posts
562
Reaction score
1,148
Hivi Watanzania sisi ni mafala kiasi hiki? Hata km mnaogopa kuandamana tarehe 29 etc Mnashindwa kuwaonesha adabu hawa wasanii kwa kuwaunfollow?

Watu km kina Diamond, Zuchu, Shilole, Nandy sijui Harmonize etc watu ambao daily wanatusaliti na kwenda kwa MaCCM na kutufanya sisi km nyumbu na hatuna akili wakati wao wanalishwa mamilioni?

Mnaweza kuona content zao bila kuwafollow au kazi zao Youtube bila kusubsribe na nyimbo zao zote mnaweza kuzipakua bure bila kwenda kwenye matamadha yao.

Jamani Watanzania wanyonge asilimia 90% mnaendelea kuwafuata hawa watu for what labda?😡😡😡😡😡😡
 
Ivi Watanzania sisi ni mafala kiasi hiki??? Hata km mnaogopa kuandamana tarehe 29 etc Mnashindwa kuwaonesha adabu hawa wasanii kwa kuwaunfollow??? Watu km kina Diamond, Zuchu, Shilole, Nandy cjui Harmonize etc watu ambao daily wanatusaliti na kwenda kwa MaCCM na kutufanya sisi km nyumbu na hatuna akili wakati wao wanalishwa mamilioni??? Mnaweza kuona content zao bila kuwafollow au kazi zao Youtube bila kusubsribe na nyimbo zao zote mnaweza kuzipakua bure bila kwenda kwenye matamadha yao. Jamani Watanzania wanyonge asilimia 90% mnaendelea kuwafuata hawa watu for what labda???😡😡😡😡😡😡
Lini na wapi uliweka mkataba/makubaliano na hao wasanii kwamba itikadi yao ya kisiasa iwe yako ? Hadi useme umesalitiwa
 
Ivi Watanzania sisi ni mafala kiasi hiki??? Hata km mnaogopa kuandamana tarehe 29 etc Mnashindwa kuwaonesha adabu hawa wasanii kwa kuwaunfollow??? Watu km kina Diamond, Zuchu, Shilole, Nandy cjui Harmonize etc watu ambao daily wanatusaliti na kwenda kwa MaCCM na kutufanya sisi km nyumbu na hatuna akili wakati wao wanalishwa mamilioni??? Mnaweza kuona content zao bila kuwafollow au kazi zao Youtube bila kusubsribe na nyimbo zao zote mnaweza kuzipakua bure bila kwenda kwenye matamadha yao. Jamani Watanzania wanyonge asilimia 90% mnaendelea kuwafuata hawa watu for what labda???😡😡😡😡😡😡

Sisi kenge tu tunaitwa na masisiemu, hatujui hata tunatakaga nini ndo maana wanafanya wanavyotaka, ni kama simba kwenye kundi la nyumbu anaamua tu kuchagua nani mnono na kujichukulia wengine wanatazama tu

Kuleta wasanii kwa mikutano sisiemuni ni jambo la kimkakati sana ujue hawakosei na wanajua kenge akili zao zimeishia wapi, na yanga na simba ni tool nyingine! Nasibu ana jeuri sana kwa kuwa anajua hamna wa kumfanya lolote na wasanii wengine na kumuweka FA pale ni mkakati wa kuhakikisha wasanii wote wanakua loyal tena kuna mikopo yao maalum, wanakopa na hawalipi na maisha yanaendelea wkt kenge mwingine hata kukopa used bodaboda hana sifa
 
Ivi Watanzania sisi ni mafala kiasi hiki??? Hata km mnaogopa kuandamana tarehe 29 etc Mnashindwa kuwaonesha adabu hawa wasanii kwa kuwaunfollow??? Watu km kina Diamond, Zuchu, Shilole, Nandy cjui Harmonize etc watu ambao daily wanatusaliti na kwenda kwa MaCCM na kutufanya sisi km nyumbu na hatuna akili wakati wao wanalishwa mamilioni??? Mnaweza kuona content zao bila kuwafollow au kazi zao Youtube bila kusubsribe na nyimbo zao zote mnaweza kuzipakua bure bila kwenda kwenye matamadha yao. Jamani Watanzania wanyonge asilimia 90% mnaendelea kuwafuata hawa watu for what labda???😡😡😡😡😡😡
Komaa na maisha yako
 
Huko nje hutokea watu wakasema ingawa chama chao ni ABC lakini watapigia kura chama XYX kama ishara ya kutoridhishwa na mambo ya chama chao. Wanaita "protest vote "

Sisi vyama vyetu hata viboronge kiasi gani tunaviunga mkono tu.
 
Kwan ubaya wa wao kuwa ccm ni nini kama baba au mama ako akiwa ccm ndo utamkataa si kila mtu na maoni yake we kama chadema lia lia wa unfollow ww sasa usiwaambie watu wote kwan watu wote wana akili sw na ww
Me nawasemea wale ambao wataendelea kulialia tena kuhusu hao hao CCM; ila km wataridhika na maisha yao sawa
 
Kwahiyo unadhani kila mtu anayo mawazo kama yako? Kweli wewe kenge🚮
Soma nilichoandika wewe mbwa usikurupuke km kinyago cha mpapule. Nimesema ambao hawafurahishwi na mambo ya CCM na wapo wengi; ila km wanaridhika nazo sawa endeleeni kuwafuata
 
Ivi Watanzania sisi ni mafala kiasi hiki??? Hata km mnaogopa kuandamana tarehe 29 etc Mnashindwa kuwaonesha adabu hawa wasanii kwa kuwaunfollow??? Watu km kina Diamond, Zuchu, Shilole, Nandy cjui Harmonize etc watu ambao daily wanatusaliti na kwenda kwa MaCCM na kutufanya sisi km nyumbu na hatuna akili wakati wao wanalishwa mamilioni??? Mnaweza kuona content zao bila kuwafollow au kazi zao Youtube bila kusubsribe na nyimbo zao zote mnaweza kuzipakua bure bila kwenda kwenye matamadha yao. Jamani Watanzania wanyonge asilimia 90% mnaendelea kuwafuata hawa watu for what labda???😡😡😡😡😡😡
Alafu ndio maisha yatakuwa rahisi?
 
Kwani wao kuwa Ccm wamevunja wapi katiba? Mbona hawajakupangia wewe uwe chama gani au ndo mnaanza kufanya rehearsal ya udikteta ?
 
Ivi Watanzania sisi ni mafala kiasi hiki??? Hata km mnaogopa kuandamana tarehe 29 etc Mnashindwa kuwaonesha adabu hawa wasanii kwa kuwaunfollow??? Watu km kina Diamond, Zuchu, Shilole, Nandy cjui Harmonize etc watu ambao daily wanatusaliti na kwenda kwa MaCCM na kutufanya sisi km nyumbu na hatuna akili wakati wao wanalishwa mamilioni??? Mnaweza kuona content zao bila kuwafollow au kazi zao Youtube bila kusubsribe na nyimbo zao zote mnaweza kuzipakua bure bila kwenda kwenye matamadha yao. Jamani Watanzania wanyonge asilimia 90% mnaendelea kuwafuata hawa watu for what labda???😡😡😡😡😡😡
Sio Kila mtu atatumikia ujinga wako
 
Kuna sehem nliona mtu kasema ukiwa mpumbavu Tanzania utaishi kwa raha sana, natamani kua hivo nipuuzie mambo ya siasa niishi raha mustarehe, lakini nashindwa naumia tu na la kufanya sina.
 
To make a statement; kwani ukimfollow unapata milioni kila mwezi??? Na ukimfollow figo inafeli???
Huo muda napata wapi wa kufuatilia maisha ya wasanii!! Ya kwangu nitafuatilia sa ngapi?
 
Naungana na mtoa maada ni kuwatenga kwa njia yoyote wanaokiunga hiki chama
 
Back
Top Bottom