Ngwathra
Platinum Member
- Jul 11, 2007
- 7,258
- 14,942
Komaa na maisha yako
Kumbe ulifikiri nakomaa na yako au? njaa sinaga kijana😛 😛 😛
Komaa na maisha yako
Hajui kuwa hao wasanii maarufu ndo hao hao makampuni anayoyaamini yamewapa ubalozi wa bidhaa na huduma zao? Au anafikiri wao kuwa CCM ni kufuata tuu maagizo plus posho basiHaha..
Dogo…. Kama hina njaa, tuliza kinasa….. wa kufollow au unfollow ni mtu mwenyeweKumbe ulifikiri nakomaa na yako au? njaa sinaga kijana😛 😛 😛
Mkuu hapo unakuwa unaingilia uhuru binafsi. Kila mmoja aamue kwa utashi wake maana hatuwezi wote kupenda au kuchukia kitu fulani kwa wakati mmoja. Tofauti zetu ndizo zinazokamilisha ubinadamu wetuIvi Watanzania sisi ni mafala kiasi hiki??? Hata km mnaogopa kuandamana tarehe 29 etc Mnashindwa kuwaonesha adabu hawa wasanii kwa kuwaunfollow??? Watu km kina Diamond, Zuchu, Shilole, Nandy cjui Harmonize etc watu ambao daily wanatusaliti na kwenda kwa MaCCM na kutufanya sisi km nyumbu na hatuna akili wakati wao wanalishwa mamilioni??? Mnaweza kuona content zao bila kuwafollow au kazi zao Youtube bila kusubsribe na nyimbo zao zote mnaweza kuzipakua bure bila kwenda kwenye matamadha yao. Jamani Watanzania wanyonge asilimia 90% mnaendelea kuwafuata hawa watu for what labda???😡😡😡😡😡😡
Dogo…. Kama hina njaa, tuliza kinasa….. wa kufollow au unfollow ni mtu mwenyewe
Sawa bilionea. Shilole akipata bwana mpya na wewe benki acc itatiki. Endeleeni magenious🥲🥲🥲Halafu shilole akipata kibwana kipya utatupa wewe hizo updates ?
Kuna sehemu nimesema iwe sheria kuwa unfollow na usipowaunfollow basi uwekwe jela??? Tatizo la watu wengi TZ jaman ni ignorant hadi huruma. Nimesema kama haupendezwi na sera za ccm na mambo wanayoyafanya na wasanii wanawapromote so u can unfollow them. Km mnapendezwa nazo sawa endeleeni; wapi nimesema lazima uwaunfollow or else upugwe risasi jamani. Ivi IQ ya TZ sio 30 kweli?😡Mkuu hapo unakuwa unaingilia uhuru binafsi. Kila mmoja aamue kwa utashi wake maana hatuwezi wote kupenda au kuchukia kitu fulani kwa wakati mmoja. Tofauti zetu ndizo zinazokamilisha ubinadamu wetu
Wapi nimesema au kulazimisha um unfollow mtu yoyote??? Nimetoa maoni yangu kuwa unfollow hawa watu km hufurahishwi na mambo yao na serikali wanayoisupportwe ni snitch hivi kwa mfano unapata dili CCM utakataa hao wasanii pesa ya kuendesha maisha yao unawapa halafu mnawasema CCM ni madikteta hata nyie madikteta kumchagulia mtu wapi ashabikie
Kwa hakika hata wewe ungekuwa na weledi wala usingeanzisha thread ya kipuuzi kama hii.Kuna sehemu nimesema iwe sheria kuwa unfollow na usipowaunfollow basi uwekwe jela??? Tatizo la watu wengi TZ jaman ni ignorant hadi huruma. Nimesema kama haupendezwi na sera za ccm na mambo wanayoyafanya na wasanii wanawapromote so u can unfollow them. Km mnapendezwa nazo sawa endeleeni; wapi nimesema lazima uwaunfollow or else upugwe risasi jamani. Ivi IQ ya TZ sio 30 kweli?😡
Wengi wa ivo wanakuwa na mihemko ss anacho fikiri yy anataka watu wawe ivo ivo hakuna anaewakubali hao jamaa lkn huwez mtu na akili yako timamu uje ufungue uzi eti muanze ku unfollow yaan anawaona watu matahira mtu ka hawatak ana wa unfollow mwenyew sio uje mutandaoni hata kama kuna kundi la watu hawawatak sio uje uwaambie waunfollowKwa hakika hata wewe ungekuwa na weledi wala usingeanzisha thread ya kipuuzi kama hii.
Yaani uwachagulie watu juu ya wampende nani na wamchukie nani na bado unajinasibu kuwa wewe ni mwerevu na sio miongoni wa hao ignorant unaowataja.
Wake up Mkuu chuki humchoma anayeihifadhi. Na watanzania tunajua haya yanatokea kwakuwa ndiyo mwaka wake kwa haya kutokea na kufanyika mwakani tunarudi kuendelea na story zetu za kila siku za Simba na Yanga.
Ni mpumbavu pekee ndiye anayeweza kuezua paa la nyumba yake kwakuwa ni msimu wa joto, wakati kuna msimu wa mvua uko njiani.
Ahsante mkuuKwa hakika hata wewe ungekuwa na weledi wala usingeanzisha thread ya kipuuzi kama hii.
Yaani uwachagulie watu juu ya wampende nani na wamchukie nani na bado unajinasibu kuwa wewe ni mwerevu na sio miongoni wa hao ignorant unaowataja.
Wake up Mkuu chuki humchoma anayeihifadhi. Na watanzania tunajua haya yanatokea kwakuwa ndiyo mwaka wake kwa haya kutokea na kufanyika mwakani tunarudi kuendelea na story zetu za kila siku za Simba na Yanga.
Ni mpumbavu pekee ndiye anayeweza kuezua paa la nyumba yake kwakuwa ni msimu wa joto, wakati kuna msimu wa mvua uko njiani.
Akili kama za mleta uzi ndio zinafanya hata niogope kuwaamini hao vyama pinzani.Lini na wapi uliweka mkataba/makubaliano na hao wasanii kwamba itikadi yao ya kisiasa iwe yako ? Hadi useme umesalitiwa
Zombie hili beat alipigagwiiiiHivi Watanzania sisi ni mafala kiasi hiki? Hata km mnaogopa kuandamana tarehe 29 etc Mnashindwa kuwaonesha adabu hawa wasanii kwa kuwaunfollow?
Watu km kina Diamond, Zuchu, Shilole, Nandy sijui Harmonize etc watu ambao daily wanatusaliti na kwenda kwa MaCCM na kutufanya sisi km nyumbu na hatuna akili wakati wao wanalishwa mamilioni?
Mnaweza kuona content zao bila kuwafollow au kazi zao Youtube bila kusubsribe na nyimbo zao zote mnaweza kuzipakua bure bila kwenda kwenye matamadha yao.
Jamani Watanzania wanyonge asilimia 90% mnaendelea kuwafuata hawa watu for what labda?😡😡😡😡😡😡
Mimi sio Chadema wala wa chama chochote na sijali kuhusu chama zaidi ya haki. Kama mnapendezwa na hao wasanii wenu na ccm endeleeni kuwashobokea na hata mikundu yenu muwape. Mimi sina shidaAkili kama za mleta uzi ndio zinafanya hata niogope kuwaamini hao vyama pinzani.
Wao mtu akiwa tofauti na wao ni adui, ataombewa kila aina ya baya. Na ndio haohao wanataka demokrasia, sasa kama wao wanashindwa kuheshimu maamuzi ya wengine wakiongoza nchi si wataua ccm wote.
Juhud za kuinua wasanii unapingaSisi kenge tu tunaitwa na masisiemu, hatujui hata tunatakaga nini ndo maana wanafanya wanavyotaka, ni kama simba kwenye kundi la nyumbu anaamua tu kuchagua nani mnono na kujichukulia wengine wanatazama tu
Kuleta wasanii kwa mikutano sisiemuni ni jambo la kimkakati sana ujue hawakosei na wanajua kenge akili zao zimeishia wapi, na yanga na simba ni tool nyingine! Nasibu ana jeuri sana kwa kuwa anajua hamna wa kumfanya lolote na wasanii wengine na kumuweka FA pale ni mkakati wa kuhakikisha wasanii wote wanakua loyal tena kuna mikopo yao maalum, wanakopa na hawalipi na maisha yanaendelea wkt kenge mwingine hata kukopa used bodaboda hana sifa
Dalili ya umaskini ni chuki na roho mbayaKuwashawishi nini labda when kila kitu kinaonekana. Sikiliza we ****** cjakulazimisha umunfollow mtu yoyote km unafurahishwa na mambo wanayoyafanya. Mkirudi kw umaskini mkalie kwa hao hao wasanii wenu
Tatzo lenu maamini unyonge ndo uzalendo. Pata pesa zako mzee kwa kujipambania na njia ni nyingi, kuwa mkulima , kuwa chawa wa ccm kama hao au hustle kama punda bila kujishughulisha na mtu. USIPENDE KULALAMIKA WA KIUME WEWEHivi Watanzania sisi ni mafala kiasi hiki? Hata km mnaogopa kuandamana tarehe 29 etc Mnashindwa kuwaonesha adabu hawa wasanii kwa kuwaunfollow?
Watu km kina Diamond, Zuchu, Shilole, Nandy sijui Harmonize etc watu ambao daily wanatusaliti na kwenda kwa MaCCM na kutufanya sisi km nyumbu na hatuna akili wakati wao wanalishwa mamilioni?
Mnaweza kuona content zao bila kuwafollow au kazi zao Youtube bila kusubsribe na nyimbo zao zote mnaweza kuzipakua bure bila kwenda kwenye matamadha yao.
Jamani Watanzania wanyonge asilimia 90% mnaendelea kuwafuata hawa watu for what labda?😡😡😡😡😡😡