Hivi Watanzania ndio tumeshindwa kuwaunfollow wasanii?

Hivi Watanzania ndio tumeshindwa kuwaunfollow wasanii?

Tatzo lenu maamini unyonge ndo uzalendo. Pata pesa zako mzee kwa kujipambania na njia ni nyingi, kuwa mkulima , kuwa chawa wa ccm kama hao au hustle kama punda bila kujishughulisha na mtu. USIPENDE KULALAMIKA WA KIUME WEWE
Ni shida tu, baada ya October 29 me naomba wanaharakat wote waache tu watanzania wafanywe chochote coz its such a useless populace hata cjui tumerogwa wap. Hebu ona majibu yao
 
Dalili ya umaskini ni chuki na roho mbaya
Hahahahaha ungejua naishi wap na kipato changu ni kipi? Anyway niwaachie hap wasanii wenu miungu mitu. Mitano mingine Mama anaupiga mwingi Amen🤣🤣🤣
 
Wasanii hawana nguvu hapa kwetu as a coincidence.
Hawana nguvu??? Wanalipwa mamilioni kuwapumbaza nyie na why wanalipwa coz wana followers wengi. Endeeleni kudhani haonwasanii sio part of the problem na eti hawana nguvu. Eh bora ningezaliwa Kenya tu
 
Hahahahaha ungejua naishi wap na kipato changu ni kipi? Anyway niwaachie hap wasanii wenu miungu mitu. Mitano mingine Mama anaupiga mwingi Amen🤣🤣🤣
Ctk kujua maana una akili za kipumbavuuu
Huezi leta mada ya kijinga kma hii kma unajielewa
 
Ctk kujua maana una akili za kipumbavuuu
Huezi leta mada ya kijinga kma hii kma unajielewa
Kama unaona mada ya kijinga unaweza kuiacha; why kutumia energy kubwa kubishana na mada ya kijinga. Its obv ni wewe mpumbavu tu na huna la maana. Kajambe uko kwa hao wasanii wako na hao ccm
 
Ni shida tu, baada ya October 29 me naomba wanaharakat wote waache tu watanzania wafanywe chochote coz its such a useless populace hata cjui tumerogwa wap. Hebu ona majibu yao
Shida ipo hata ufanye nini ccm inabaki kama ilivyo, kila sehemu nyeti wameweka watu wao. Fikiria TISS ni mali, polisi sisemi, mahakama, bunge pamoja vitengo vyote vikubwa wao ndo wanashikilia hata wewe unaumia ila huna la kufanya. Kwahto inapaswa tukaze upande wetu tu.
 
Wapi nimesema au kulazimisha um unfollow mtu yoyote??? Nimetoa maoni yangu kuwa unfollow hawa watu km hufurahishwi na mambo yao na serikali wanayoisupport
Kumbe ww kichwa chako hakina akili mi kwenye maelezo yangu kuna ssehemu nimesema unalazimisha
 
Uta-unfollow nchi nzima , Yanga Ccm , wasanii Ccm , matajiri mjini Ccm , waandishi wa habari Ccm sijui utakimbilia wapi usikutane na Ccm
 
Mimi sio Chadema wala wa chama chochote na sijali kuhusu chama zaidi ya haki. Kama mnapendezwa na hao wasanii wenu na ccm endeleeni kuwashobokea na hata mikundu yenu muwape. Mimi sina shida
Wana maisha yao nje ya huo usanii, wakiamua kua ccm sawa, wakiamua kutokua na chama kama wewe ni sawa pia ni maamuzi yao tu.

Na ndio demokrasia mnayoipigania kila leo.
 
Hawana nguvu??? Wanalipwa mamilioni kuwapumbaza nyie na why wanalipwa coz wana followers wengi. Endeeleni kudhani haonwasanii sio part of the problem na eti hawana nguvu. Eh bora ningezaliwa Kenya tu
Nimekosea tu uandishi but my point is "its not a coincidence wasanii hapa kwetu kuwa na influence kubwa kwenye jamii"...
Hata kabla ya hawa nakumbuka jinsi wazazi wetu walivyokuwa wakiletewa akina "Komba" kuwaburudisha,,, baada ya kampeni story ilikuwa ni nyimbo za Komba na si sera za wanasiasa..
 
Back
Top Bottom