Operesheni Unfollow Wasanii wote Mitandaoni ambao hawasimami na Wananchi kwenye Haki

Mhaya

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2023
Posts
2,818
Reaction score
7,940
Nchi nyingine, watu maarufu na Mastaa usimama na Wannchi linapokuja swala au jambo la maslahi ya wananchi kwa ujumla. Huko South Africa, Nigeria hata hapo kwa majirani zetu Kenya wasanii wengi husimama na raia na mara zote wamekuwa mstari wa mbele kuwapigania au kuwazungumzia wananchi endapo maslahi ya wananchi yakienda ndivyo sivyo. Hii imekuwa hata kwenye mataifa makubwa kama Marekani, Ulaya na sehemu nyingi za Dunia.

Lakini kwenye hii ardhi ya Nyerere mambo uwa ni tofauti kabisa, wasanii wengi hawasimami na raia au wananchi bali wao usimama na serikali au wanasiasa linapokuja jambo linalohusu mustakabali wa taifa au maslahi ya wananchi. Ikumbukwe hawa wasanii wamekuwa maarufu kutokana na hawa wananchi ambao wamekuwa wakisalitiwa mara kwa mara.

Huko Twitter imeanzishwa Kampeni ya ku-unfollow watu wote maarufu ambao wako kimbelembele na mambo ya siasa za chama tawala au viongozi wa chama tawala, na kuwatelekeza raia ambao kimsingi wao ni waliowapatia umaarufu na si serikali. Panga hili la ku-unfollow mastaa na wasanii pia limemkuta Millard Ayo ambapo mpaka sasa kapoteza wafuasi zaidi ya 300k baada ya Kampeni hii kuanzishwa.

Kampeni hii imelenga mitandao ya Instagram, Facebook, Twitter mpaka YouTube.... unfollow msanii yoyote ambaye ni chawa na si mtu wa kutetea Raia. Wasanii Wamesahau kama followers wao ndio sisi raia ambao wamechagua kutusaliti.

Unfollow wasanii wote ikiwemo wachekeshaji na kila mtu ambaye kapata umaarufu lakini hataki kusimama na raia badala yake amechagua kuwa chawa wa siasa za chama tawala
 
Superb👏🏾👏🏾👏🏾...Unfollow wote kasoro Nay mitego,roma,
Then follow Lema,mwabukusi,heche,sugu,lisu,kibatala,kigogo,sativa,mange(kapumzika umbea mpaka election)
Huu mwaka wa moto sana ngoja tuone.
 
Kampeni hii imelenga mitandao ya Instagram, Facebook, Twitter mpaka YouTube.... unfollow msanii yoyote ambaye ni chawa na si mtu wa kutetea Raia. Wasanii Wamesahau kama followers wao ndio sisi raia ambao wamechagua kutusaliti.📌🔨
 
Kampeni hii imelenga mitandao ya Instagram, Facebook, Twitter mpaka YouTube.... unfollow msanii yoyote ambaye ni chawa na si mtu wa kutetea Raia. Wasanii Wamesahau kama followers wao ndio sisi raia ambao wamechagua kutusaliti.
 
Nchi nyingine, watu maarufu na Mastaa usimama na Wannchi linapokuja swala au jambo la maslahi ya wananchi kwa ujumla. Huko South Africa, Nigeria hata hapo kwa majirani zetu Kenya wasanii wengi husimama na raia na mara zote wamekuwa mstari wa mbele kuwapigania au kuwazungumzia wananchi endapo maslahi ya wananchi yakienda ndivyo sivyo. Hii imekuwa hata kwenye mataifa makubwa kama Marekani, Ulaya na sehemu nyingi za Dunia.

Lakini kwenye hii ardhi ya Nyerere mambo uwa ni tofauti kabisa, wasanii wengi hawasimami na raia au wananchi bali wao usimama na serikali au wanasiasa linapokuja jambo linalohusu mustakabali wa taifa au maslahi ya wananchi. Ikumbukwe hawa wasanii wamekuwa maarufu kutokana na hawa wananchi ambao wamekuwa wakisalitiwa mara kwa mara.

Huko Twitter imeanzishwa Kampeni ya ku-unfollow watu wote maarufu ambao wako kimbelembele na mambo ya siasa za chama tawala au viongozi wa chama tawala, na kuwatelekeza raia ambao kimsingi wao ni waliowapatia umaarufu na si serikali. Panga hili la ku-unfollow mastaa na wasanii pia limemkuta Millard Ayo ambapo mpaka sasa kapoteza wafuasi zaidi ya 300k baada ya Kampeni hii kuanzishwa.

Kampeni hii imelenga mitandao ya Instagram, Facebook, Twitter mpaka YouTube.... unfollow msanii yoyote ambaye ni chawa na si mtu wa kutetea Raia. Wasanii Wamesahau kama followers wao ndio sisi raia ambao wamechagua kutusaliti.

Unfollow wasanii wote ikiwemo wachekeshaji na kila mtu ambaye kapata umaarufu lakini hataki kusimama na raia badala yake amechagua kuwa chawa wa siasa za chama tawala
Nay wa Mitego ndiye Msanii aliyepaswa kuwa na followed na watanzania wengi zaidi, ila ndiyo vile tena nchi yenyewe na watu wake ni bahati mbaya
 
MilardAyo mmsamehe siku hizi anaposti no reform no election. Tofauti na zamani. Ameshtuka.

Kwa sasa Youtube media line hupatu views kama huna clip za chadema
 
Cheki Post ya Mwisho ya Diamond

Screenshot_20250607-001303.png
 
Kampeni hii imelenga mitandao ya Instagram, Facebook, Twitter mpaka YouTube.... unfollow msanii yoyote ambaye ni chawa na si mtu wa kutetea Raia. Wasanii Wamesahau kama followers wao ndio sisi raia ambao wamechagua kutusaliti.
YOutube channel za wasanii simjui hata mmoja
 
Kampeni hii imelenga mitandao ya Instagram, Facebook, Twitter mpaka YouTube.... unfollow msanii yoyote ambaye ni chawa na si mtu wa kutetea Raia. Wasanii Wamesahau kama followers wao ndio sisi raia ambao wamechagua kutusaliti.
Zamani wasanii walitumia ubunifu wao kuchochea
1. Uzalendo
2. Kuchapa kazi kwa bidii
3. Kufundisha stadi za kazi
4. Kupongeza wapambanaji, TMK, East Coast, Wagosi wa kaya, etc
5. Kuhamasisha watu kujikinga maradhi ya zinaa kama kaswende na ukimwa, gono.
6. Kilimo
7. Biashara, umachinga

Siku hizi sasa
1. Ngono inahamasishwa wazi wazi.
2. Wanahamasisha ngono za kinyume na maumbile.......utasikia zama mtaroni, choo-toilet, Ukipata danga lipe kwa mpalange, temea mate iteleze kama nyoka.
3. Wasanii wa leo ni vichocheo vya ulevi, madawa, pombe, viroba utasikia Ntaka kulewa, Wacha nilewe, nijipe raha na gambe,

Wasanii wa sasa wabadilikex wahimize Uzalendo kwa Nchi na wananchi, wahimize uchapa kazi na sio udangaji na uvivu wa kutaka maisha mazuri.

Tuwaunge mkono lakini wasidumaze akili za vijana ambao ndio nguvu kazi ya kesho.
 
Back
Top Bottom