Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
Hii sasa ni balaa kwani kawakosea nini?
Hii sasa ni balaa kwani kawakosea nini?
Wananchi wanataka wasanii wawasaidie kupaza sauti,Wamefanyaje?
Wasanii wao hayawahusu......wanakula bata tu.Wananchi wanataka wasanii wawasaidie kupaza sauti,
Wasanii wamepewa umaarufu na wananchi, ila hawataki kurudisha fadhila kwa wananchi kwa kusimama nao kwenye haki hususani kwenye Dunia hii ya utekaji na wananchi kuonewa... wasanii wamekuwa wakichagua upande wa watawala, wanasahau sisi ndio tumewafanya kuwa na mali na umaarufu walionaoHii sasa ni balaa kwani kawakosea nini?
Tatizo huwa mnarukia mambo. Faida Msanii anayoipata ccm na kwa wananchi ni tofauti. Mfano Diamond kama si JK 2010, angelikuwa domo bado. Msanii ni mtafutaji ujue.Nchi nyingine, watu maarufu na Mastaa usimama na Wannchi linapokuja swala au jambo la maslahi ya wananchi kwa ujumla. Huko South Africa, Nigeria hata hapo kwa majirani zetu Kenya wasanii wengi husimama na raia na mara zote wamekuwa mstari wa mbele kuwapigania au kuwazungumzia wananchi endapo maslahi ya wananchi yakienda ndivyo sivyo. Hii imekuwa hata kwenye mataifa makubwa kama Marekani, Ulaya na sehemu nyingi za Dunia.
Lakini kwenye hii ardhi ya Nyerere mambo uwa ni tofauti kabisa, wasanii wengi hawasimami na raia au wananchi bali wao usimama na serikali au wanasiasa linapokuja jambo linalohusu mustakabali wa taifa au maslahi ya wananchi. Ikumbukwe hawa wasanii wamekuwa maarufu kutokana na hawa wananchi ambao wamekuwa wakisalitiwa mara kwa mara.
Huko Twitter imeanzishwa Kampeni ya ku-unfollow watu wote maarufu ambao wako kimbelembele na mambo ya siasa za chama tawala au viongozi wa chama tawala, na kuwatelekeza raia ambao kimsingi wao ni waliowapatia umaarufu na si serikali. Panga hili la ku-unfollow mastaa na wasanii pia limemkuta Millard Ayo ambapo mpaka sasa kapoteza wafuasi zaidi ya 300k baada ya Kampeni hii kuanzishwa.
Kampeni hii imelenga mitandao ya Instagram, Facebook, Twitter mpaka YouTube.... unfollow msanii yoyote ambaye ni chawa na si mtu wa kutetea Raia. Wasanii Wamesahau kama followers wao ndio sisi raia ambao wamechagua kutusaliti.
Unfollow wasanii wote ikiwemo wachekeshaji na kila mtu ambaye kapata umaarufu lakini hataki kusimama na raia badala yake amechagua kuwa chawa wa siasa za chama tawala
Na yule yule, acha watu wafanye kile mioyo yao inawatumaTatizo huwa mnarukia mambo. Faida Msanii anayoipata ccm na kwa wananchi ni tofauti. Mfano Diamond kama si JK 2010, angelikuwa domo bado. Msanii ni mtafutaji ujue.
Faida ya NRNE ipo kwa wale wanaotaka kuchukua nchi ili nao watoto wao wafaidi kama Ridhuwani au sasa Abdul. Sijaona katika Tanzania mtu anayepambana aende Ikulu awakomboe mimi na wewe. Hata hawa waliopo na NRNE ni wale wale.
TutawafanyiziaWasanii kalibia wote tz ni ccm kwahiyo uchawa mwingi
NakaziaUnfollow halafu comments ni NO REFORM NO ELECTION POPOTE HADI KIELEWEKE
Wanasiasa wanawatumia sana vijana kwa maslahi yao na matumbo yao.Na yule yule, acha watu wafanye kile mioyo yao inawatuma
Wabongo hii hatuwezi.. tunaogopa virungu vya maafande, but ndo njia nzuri ambayo ikitumika inaleta output mapema.Kila njia itayoleta MABADILIKO ya Kidemokrasia,Haki na Maendeleo nchini itumike...
Napendekeza Walk to Work..wote tuwe tunashuka Magomeni,Salender, TAZARA, Bandari, Boma ,Kivukoni...tunapiga mguu to City Centre n Kariakoo huku tukisema NO REFORMS, NO ELECTION