Top 5 ya wasanii Bora wa muda wote WA nyimbo za dini tangia tupate tupate uhuru

Hidden Diamond

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2024
Posts
260
Reaction score
481
List hii hapa wakuu naomba mnote hii ni according to me najua kila mtu anamtazamo wake.mimi binafsi nimebase kwenye ujumbe na sofa.Haya tuiangalie list👇👇👇

1-Bahati Bukuku(kwa nyimbo zenye ujumbe huyu mama anatisha aisee).ngoma zake hazichuji kama wale engine

2-Ambwene Mwasongwe

3-Goodluck Gozbert

4-Rose Muhando(sema huyu mama alinivunja moyo alivyoimba Mungu bariki taifa la Kenya wakati taifa Lina matatizo kibao ila Yuko vizuri)

5-Jenifer Mgendi
 
Ok vzr nje ya mada kwangu Angela chibalonza, afu

Nampa bahati, pia ni mzuri aseeh.... Dimples plus mwaya na mapozi aseeh anajua sana

Christina shusho,

Fanuel sedekia
 
List hii hapa wakuu naomba mnote hii ni according to me najua kila mtu anamtazamo wake.mimi binafsi nimebase kwenye ujumbe na sofa.Haya tuiangalie list👇👇👇

1-Bahati Bukuku(kwa nyimbo zenye ujumbe huyu mama anatisha aisee).ngoma zake hazichuji kama wale engine

2-Ambwene Mwasongwe

3-Goodluck Gozbert

4-Rose Muhando(sema huyu mama alinivunja moyo alivyoimba Mungu bariki taifa la Kenya wakati taifa Lina matatizo kibao ila Yuko vizuri)

5-Jenifer Mgendi
Bukuku na mhando tu hapo basi
 
Hivi ni kweli Yesu na wanafunzi wake waliabudu Kwa nyimbo, na kama ndio walitumia miziki au la?. Kuna ushahidi wowote kwenye bible kuhusu haya . Mi naona Kuna Kuna ukweli tunafichwa hapa
 
Mtoa mada unataka wasanii wa nyimbo za Injili au Waimba nyimbo za Injili?
Binafsi huwa nabarikiwa zaidi na kwaya kuliko individuals.
 
List hii hapa wakuu naomba mnote hii ni according to me najua kila mtu anamtazamo wake.mimi binafsi nimebase kwenye ujumbe na sofa.Haya tuiangalie list👇👇👇

1-Bahati Bukuku(kwa nyimbo zenye ujumbe huyu mama anatisha aisee).ngoma zake hazichuji kama wale engine

2-Ambwene Mwasongwe

3-Goodluck Gozbert

4-Rose Muhando(sema huyu mama alinivunja moyo alivyoimba Mungu bariki taifa la Kenya wakati taifa Lina matatizo kibao ila Yuko vizuri)

5-Jenifer Mgendi
Una ufahamu mdogo kuhusu mziki wa injili.
 
Hivi ni kweli Yesu na wanafunzi wake waliabudu Kwa nyimbo, na kama ndio walitumia miziki au la?. Kuna ushahidi wowote kwenye bible kuhusu haya . Mi naona Kuna Kuna ukweli tunafichwa hapa
Zamani kulikuwa hakuna simu sasa hivi tunatumia
Au tunafanya dhambi au sio kiongozi ?
 
Mwanzoni ilikua tabu kuwaita wainjilisti kwa njia ya Uimbaji jina la Wasanii, 🤣🤣lakini sasa hivi tumezoea kidogo.

1. Rose Mhando
2. Fanuel Sedekia (R.i.p)
3.Wengine Wote
 
Zamani kulikuwa hakuna simu sasa hivi tunatumia
Au tunafanya dhambi au sio kiongozi ?
Kwenye suala la ibada Hilo ni agizo la mungu na halitobadilika kutokana na mda , kama vile funga na sadaka , mfumo ndio ule ule tokea miaka ya nyuma mpaka sasa. Je, Yesu na wanafunzi wake waliimba na kucheza mziki kuabudu? Turudini kwenye bible tutafute jibu
 
Hivi ni kweli Yesu na wanafunzi wake waliabudu Kwa nyimbo, na kama ndio walitumia miziki au la?. Kuna ushahidi wowote kwenye bible kuhusu haya . Mi naona Kuna Kuna ukweli tunafichwa hapa
Biblia mbona sio ngumu Wala haija complicate kama unavyoiwazisha, unahoji jinsi ya kuabudu kwa kutumia Vyombo vya miziki? Unazungumzia uhalali wa Vinanda, Vinubi, Tari? 🤣🤣🤣
 
Swali ni rahisi, hizi nyimbo tunazoimba na kucheza ndio ibada ?
 
Kwenye suala la ibada Hilo ni agizo la mungu na halitobadilika kutokana na mda , kama vile funga na sadaka , mfumo ndio ule ule tokea miaka ya nyuma mpaka sasa. Je, Yesu na wanafunzi wake waliimba na kucheza mziki kuabudu? Turudini kwenye bible tutafute jibu
Kwanza nioneshe walipokataza kutumia ndio tuendelee
 
Back
Top Bottom