Top 5 ya wasanii Bora wa muda wote WA nyimbo za dini tangia tupate tupate uhuru

Top 5 ya wasanii Bora wa muda wote WA nyimbo za dini tangia tupate tupate uhuru

Jangalasoni anasitahili pia, hata Jackson Benty mwimbaji wa wimbo wangu bora wa muda wote uitwao "Baba yangu" anasitahili japo kazi zake nyingi hazijaifikia hadhira ipasavyo
Yah ila ni Moja ya waanzilishi wa hii modern gospel ila shida ilikuwa wakati "kijito Cha utakaso"niliuelewa sana
 
Bado hakuna jibu ulilonipa mkuu, Kuna mstari wowote kwenye bible unaoeleza Yesu kaimba na kucheza kama ibada/ Sala ?
Kuna msitari unaeleza Yesu alitoa zaka?
 
List hii hapa wakuu naomba mnote hii ni according to me najua kila mtu anamtazamo wake.mimi binafsi nimebase kwenye ujumbe na sofa.Haya tuiangalie list👇👇👇

1-Bahati Bukuku(kwa nyimbo zenye ujumbe huyu mama anatisha aisee).ngoma zake hazichuji kama wale engine

2-Ambwene Mwasongwe

3-Goodluck Gozbert

4-Rose Muhando(sema huyu mama alinivunja moyo alivyoimba Mungu bariki taifa la Kenya wakati taifa Lina matatizo kibao ila Yuko vizuri)

5-Jenifer Mgendi
Ina maana ni Mimi pekeyake ninaye mkubali jamaa aliye imba malebo!

Mchungaji Munisi alikuwa next levo 90's, shida hadhara ni ya wa 2000.
 
Kwamba?! Tangu tupate Uhuru?! Ulikuepo?! Wapi Faustin Munishi?!
 
List hii hapa wakuu naomba mnote hii ni according to me najua kila mtu anamtazamo wake.mimi binafsi nimebase kwenye ujumbe na sofa.Haya tuiangalie list👇👇👇

1-Bahati Bukuku(kwa nyimbo zenye ujumbe huyu mama anatisha aisee).ngoma zake hazichuji kama wale engine

2-Ambwene Mwasongwe

3-Goodluck Gozbert

4-Rose Muhando(sema huyu mama alinivunja moyo alivyoimba Mungu bariki taifa la Kenya wakati taifa Lina matatizo kibao ila Yuko vizuri)

5-Jenifer Mgendi
Hujui gospel
 
Rose Mhando
Bahati Bukuku
Abiudi Misholi
Boniface Mwaitege
Fanuel Sedekia
John Lissu
Pastor Munishi,Pastor Mwaisumbe
 
Ana mkono mzurii na guu zuri sana by then she's smart and beautiful Christina
Ahahah... Ni kweli meku kumbe unalijua hilo ee..
Basi alikuja church kwetu akaperfom aisee, alinikosha sana. Na sauti yake hata akiimba Live ni mulemule
 
Ahahah... Ni kweli meku kumbe unalijua hilo ee..
Basi alikuja church kwetu akaperfom aisee, alinikosha sana. Na sauti yake hata akiimba Live ni mulemule
Nasema nawe uliyekata tamaa,

Kila jambo jema unalofikiri, mbona awape wengine,

Kama bwana aweza kutumia kila kitu mwambie akutumie Leo,

Wema wako na maisha yako yote na wala si nusu, akutumie vile apendavyo,

Mwambie nitumie Leo na wala sii kesho Leo Leo hii Leo hii
 
Back
Top Bottom