Top 5 ya wasanii Bora wa muda wote WA nyimbo za dini tangia tupate tupate uhuru

Top 5 ya wasanii Bora wa muda wote WA nyimbo za dini tangia tupate tupate uhuru

Swali ni rahisi, hizi nyimbo tunazoimba na kucheza ndio ibada ?
Ibada/Kuabudu ni unganisho la kiroho binafsi na Unapo/cho abudu. Sasa kwa tafsiri hiyo Linganisha na linganua sentensi yako bila kufanya hasty Generalization, Utapata kitu.
 
Ambwene Mwasongwe, Japhet Zabroni, Fanuel Sedekia, Wiliam Yilima, Zabron Singers na wimbo wa niondolee majivuno wa danybless minister
 
Wakati wa Yesu ulikuwepo ?
Hatukuepo lakini tunafuata maandiko ya bible, kwenye bible imeelezwa vipi Yesu alisali/ kuabudu? Tusifuate matakwa ya nafsi zetu. Twende kwenye maandiko.
 
Hatukuepo lakini tunafuata maandiko ya bible, kwenye bible imeelezwa vipi Yesu alisali/ kuabudu? Tusifuate matakwa ya nafsi zetu. Twende kwenye maandiko.
Kama umesoma hayo maandiko yanasemaje ?
 
1. Mch Abiudi Misholi
2. Fanuel Sedekia
3. Rose Muhando
4. Ambwene Mwasogwe
5. Christopher Mwahangila
6. Boaz Danken
7. Bahati Bukuku
8. Bonny Mwaitege
9. Paul Clement
10. John Lissu
Hii imekaa sawa ila hapo ukiweka na mchungaji jangalason alikuwa vizuri
Jackson Benti
 
Kwenye suala la ibada Hilo ni agizo la mungu na halitobadilika kutokana na mda , kama vile funga na sadaka , mfumo ndio ule ule tokea miaka ya nyuma mpaka sasa. Je, Yesu na wanafunzi wake waliimba na kucheza mziki kuabudu? Turudini kwenye bible tutafute jibu
Hebu kasome ile zaburi ya mwisho afu ukuje hapa,utwambie tutaikamilisha vipi ile mistari bila kucheza ..........
 
  • Thanks
Reactions: K11
Hii imekaa sawa ila hapo ukiweka na mchungaji jangalason alikuwa vizuri
Jackson Benti
Jangalasoni anasitahili pia, hata Jackson Benty mwimbaji wa wimbo wangu bora wa muda wote uitwao "Baba yangu" anasitahili japo kazi zake nyingi hazijaifikia hadhira ipasavyo
 
Mtoa mada unataka wasanii wa nyimbo za Injili au Waimba nyimbo za Injili?
Binafsi huwa nabarikiwa zaidi na kwaya kuliko individuals.
Kwenye vikundi vya kwaya kuna kikundi kiliitwa Ulyankulu barabara ya 13.... ilikuwa ni moto. Kwa mwimbaji mmoja mmoja, Faustine Munishi naye alitingisha mno.
 
Hebu kasome ile zaburi ya mwisho afu ukuje hapa,utwambie tutaikamilisha vipi ile mistari bila kucheza ..........
Bado hakuna jibu ulilonipa mkuu, Kuna mstari wowote kwenye bible unaoeleza Yesu kaimba na kucheza kama ibada/ Sala ?
 
Bado hakuna jibu ulilonipa mkuu, Kuna mstari wowote kwenye bible unaoeleza Yesu kaimba na kucheza kama ibada/ Sala ?
 

Attachments

  • Screenshot_20250813-205621.jpg
    Screenshot_20250813-205621.jpg
    145.3 KB · Views: 30
Bado hakuna jibu ulilonipa mkuu, Kuna mstari wowote kwenye bible unaoeleza Yesu kaimba na kucheza kama ibada/ Sala ?
mkuu biblia usisome kwa kuokota okota bwan na kutafuta mahali pa kushikilia,,haya tutasifu vipi bila kuimba na kucheza,na ni sehemu ya ibada pia,,haya nambie wapi Yesu alioa!?,, ingawa biblia hio hio inatutaka tuoe na kuolewa...... aaaah
 
Back
Top Bottom