Mtaala wa form 5 unasitishwa kwakuwa hakuna fedha za vitabu, holi siyo jambo la ajabu kwakuwa hienda si kipaumbele cha mhusika , Waziri wa Elimu na Kaatibu mkuu. Wamelala nyumba ya seriaklai na gari ya serikali ya milioni 450 ianguruma hapo nje.
Haya, tuendele kunywa mtori, nyama zipo chini.
Idara ya elimu sekondari ni wasani. Dseo ni Afisa Elimu Sekondari wa Wilaya huyu ni msanii na mzandiki, asiyejali alijaa upendeleo. Fuatilia utaniambia.
Hamisho za wakuu wa shulni za hivi karibuni ni za upendeleo na nafasi za wakuu wa shule ni upendeleo wa wazi. Huyu mbwiga anaona walimu...
Yaani Hawa jamaa ndio WASANII ninaowasikiliza Tanzania Leo wameachia Ngoma Kali sana ya Harmonize inaitwa sherehena ya Rayvanny inaitwa namtaka.
Aisee hii weekend ni kuvibe nazo tu ni Ngoma Kali sana nafikiri mmeona wadau au nyie mmezionaje Hawa jamaa wako vizuri sana nasema ndio WASANII WANGU...
Pastor Anafunguka...
Sijawahi kuona kampuni ya vilevi kama vile pombe ambayo inamtumia mteja wake mmoja aliyelewa huku anapigana na watu baada ya kulewa kwenye tangazo lake! Au amelala mtaroni kwa kuzidiwa na pombe, au amejisaidia (amejinyea na kujikojolea) huku anaongea mwenyewe maneno...
Leo nimeulizwa na mzungu mmoja ambaye nafanya kazi naye shirika moja hapa Tanzania, hivi serikali yenu huwa akili wanazo kweli?.
Kutumia gharama kupeleka wasanii sababu ni nini? Hapa Tanzania tuna wasomi ambao wangepelekwa wangekuja na mtazamo mpya kwa walichokiona kama teknolojia, afya...
Nchini Tanzania ukiwazungumzia vijana asilimia kubwa utawakuta kwenye sekta ya utamaduni, sanaa na michezo, wengi wanashiriki katika michezo, muziki, maigizo, ucheshi na sanaa nyingine hali inayochangia ukuaji wa kasi wa sekta hii.
Kwa mwaka 2023, sekta ya sanaa imekuwa kwa asilimia 17.7% , kwa...
Bongo sidhani kama kuna msanii au wanasanii wanao weza kusimama na Wananchi, hawa ni ndio watu wanaingoza kwa uchawa nchi hii na still bado huwa tuna wapapatikia mbaya mno.kiwango cha uchawa wa wasanii hata raia wakawaida hawakifikii.
Mimi nisha acha kushabikia aina yoyote ya msanii Chawa hapa...
"Nawaomba sana hawa Wasanii wa Muziki wa Tanzania kuwa haya Mapato ambayo wanayapata wayatumie hasa katika Kuwekeza ili basi hata Wakistaafu waendelee kuishi vyema kuliko kuja kuishi Kimaskini na kutushangaza Sisi ambao Kutwa walikuwa wanaturingishia Magari yao ya Kifahari, Majumba ya Kifahari...
Tanzania ni nchi ya Kipuuzi sana fikiria kutwa nzima,vituo vya Radio na Television maada ni Mpira yaani hata Brazili sio hivyo, Brazili wanao penda mpira bado hatujawafikia.
Hakuna Maada nyingine utaisikia kwenye hivi vituo zaidi ya Yanga na Simba kutwa nzima, wanaanza kujadili mpira kuanzia...
Tanzania ni miongoni kati ya nchi zilizobahatika kuwa na wasanii wengi sana wazuri, ambao ni wasanii wakubwa na mashuhuri ndani na nje ya nchi. Lakini pia kwa asilimia kubwa ya wasanii wetu hao, wengi wamekuwa ni wasanii wenye ushawishi mkubwa sana kwenye vitu mbali mbali vingi sana ikiwemo...
salaam Jf
Katikat safari ya hivi karibuni ya "Mama kizimkazi" ya kwenda katikat moja ya mataifa yaliyoendelea kiteknolojia katikat kipind kiufupi Cha miaka 40 iliyopita south Korea, Hawa south Korea wako katika four tigers of Asia wako pamoja na Hong Kong, Singapore,and Taiwan. Hizi ni moja...
https://www.pc.go.tz/
Shilole ameonekana akitangaza hospitali hiyo hapo kwenye picha na kusisitiza wagonjwa waende na kwamba ni hospitali Bora.
Kimaadili si sawa, ni kama hospitai hiyo inataka kupata watu waumwe ili wakatibiwe huko na ni muhimu sana kujua kwamba ni kama ndvyo basi bwana...
Mkono mtupu haulambwi!
Naam, ndivyo ninavyoweza kulielezea hili.
Wikiendi iliyopita Rais alijumuika kwenye uzinduzi wa albam ya msanii wa kizazi kipya Harmonize akiwa kama mgeni rasmi pamoja na wageni waalikwa wengine ambao ni viongozi na wadau wa tasnia ya burudani.
Katika uzinduzi huo Rais...
1. Marioo
2. Harmonize
3. Jay Melody
4. Mbosso
5. Jux
6. Chino
7. D. Platnumz
8. Zuchu
9. Alikiba
10. Nandy
Hizo takwimu ni kutokana na performance zao huku mtaani ndani ya miaka mitano ya hivi karibuni kulingana na mtazamo wangu.
Nipe List yako
Habari wana-JF,
Ziara za Rais nje ya nchi zinapowajumuisha wasanii, hata bila maonesho ya sanaa, zinaweza kuleta manufaa makubwa kwa wasanii binafsi na taifa kwa ujumla. Hizi ni baadhi ya faida hizo:
Faida kwa Wasanii
Mtandao wa Kijamii na Kitaaluma:Wasanii wanapata fursa ya kukutana na wadau...
Jana lililotoka tamko kwamba kuanzia sasa Mhe. Rais akisafiri nje ataambatana na wasanii mbalimbali. Je hao wasanii lengo lao ni kwenda kufanya matamasha au watakuwa na kazi gani?
Je, nani atagahrimia safari zao kuambatana na Rais? Nchi ina utajiri mkubwa kiasi hicho wakati nchi nyingi Duniani...
Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema mara nyingi anapokwenda nje ya Nchi huwa anafuatana na jopo la Wafanyabiashara lakini kwa sasa anataka kugeuka kidogo na atakuwa anasafiri pia na Wasanii ili kuwapa nafasi ya kujifunza zaidi kutoka nje ya Nchi na kutanua wigo wa kazi zao.
Rais...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.