Binafsi simpendi Samia not personal but kwa vitu vyote anavyofanya kwa watanganyika.
Katoa Toto afya kadi kwa watoto watanganyika
Kaongeza mfumko wa Bei kuanzia nauli, vocha, mafuta,
Shilingi ya Tanzania inazidi kuporomoka kutoka 2200 mwaka 2021 mpaka 2700 mwaka 2024.
Kawawekea matozo ya kila...
Nimekumbuka mwaka 2018 jinsi magufuli alivyokuwa anapingwa kujenga bwawa la umeme.
Ila wazungu hao hao wa marekani na canada wao wanajenga mabwawa mapya na kuboresha mabwawa ya zamani kwenye nchi zao. Kama umeme wa maji umepitwa na wakati, kwa nini wao wanajenga mabwawa ya umeme zama hizi
Wizi umekuwa mkubwa na wazi kasi Kwamba chama sasa kinanunuka. Tuhuma na matukio ni kila mahali. Chama kimeachwa uchi wa mbuzi
Sasa kujinasua kwenye hili tope wameamua kujisafisha kwa kuwangushia jumba bovu wengine…
Wakiamua kujibu mapigo…
Napenda kusema hiki kizazi cha Sasa kinazaraulika sana,yaani wananchi badala ya kuwezeshwa au kuonyeshwa maendeleo wamekuwa wakipelekewa wasanii,hivi hii inaingia akilini kweli?
Huenda kinachompata Nay wa Mitego ndio sababu inayowaogopesha wasanii na kuamua kutangaza wao ni CCM kwani ukiwa CCM uko salama dhidi ya mkono hakuna baya litakupata.
Ila tumeoma wasanii waliokataa kuvaa kijani namna wanapelekeshwa na mkono wa dola, leo BASATA wamewaita kesho BASATA...
Hizo sauti za xxxtencion, juice world in Ai generated na ngoma kali
https://www.youtube.com/watch?v=W41Zg2sxsOc
Hata hiii ya xxtencion ni Ai generated
https://www.youtube.com/watch?v=mvQBbPReWbo
Technology iko kasi.
AFadhali tuendelee kufaidi ngoma mpya
Mhadhara - 40:
Wakati ule tulikuwa tuna idadi kubwa ya wasanii waliopeleka ujumbe mzuri kwa jamii na serikali. Hakika walikuwa ni kioo cha jamii kweli kweli. Hawakupata hela lakini walituachia kitu maishani. Hebu tuwakumbuke baadhi;
1. AFANDE SELE - aliimba NAPENDA NDUGU ZANGU: Alituhamasisha...
Wanafanya tamthilia na Filamu tunaziona ila tunaweza kuchangia mawazo yetu nini kikwazo kinachotukwamisha toa mchango wako ukiwa mdau wa Filamu Tanzania 🙏🏾
Soma mashairi ya wimbo SITAKI DEMU wa Juma Nature na ule wa Doing just fine wa Boyz II Men uone tofauti.
Title: Sitaki demu
Artist: Juma Nature
(Verse 1)
Nakuomba usije kwetu mamdogo utatia hasara
Uyo mdogo wangu mwenyewe toka atoke shule hajala
Aaah bwana eh usinifate bwana
We si ukalale...
Shalom watu wa Mungu.
Baada ya kutambua kwamba JamiiForums ni jukwaa kubwa sana la lugha ya kiswahili afrika na dunia nzima.
Ninawahasa wasanii wote na watu maarufu wajiunge humu ili kupata maarifa mengi sana kutoka kwa wadau mbali mbali, So far ninazinjua account chache sana za viongozi na...
Wasalaam,
Napenda kuchukua fursa hii kuwalaani wasanii wote wakiongozwa na rais wao stev Nyerere ambae hajamaliza hata darsa la saba kutumika kisiasa na cha chama cha mapinduzi kupotosha umma wa watanganyika kuhusu masuala muhimu ya kitaifa. Jana nimemsikiliza dula makabila ambae ameishia...
Kwa mtazamo wangu hivi ni vitu navyoamini vinawekwa siri lakini vipo.
Kala Pina alikuwa anamgwaya Dudu baya
Mr Nice hakufulia kabisa, Bado pesa anazo si haba za kustaafia muziki
Nusu ya wasanii wanavuta weed
Wasanii wengi wa bongo wanaishi kwa pesa za mishe nyingine, ni wachache sana...
Jana Zuchi alirushiwa chupa na mawe jukwaani baada ya kusifia kizimkazi na kusema mitano tena
Wasanii jifunze ulienda jukwaani Simba achana na siasa
Kila mtu ana hisia tofauti kwenye siasa, ntakuja mpigwe na raia bure
Wasanii tafuteni washauri
PIA SOMA
- Wasafi Festival Mbeya hali imekuwa...
Nimeshangaa sana wasanii bado wanapeleka burudani kwenye mji wa Mbeya uliojaa binadamu washamba kupindukia.
Acheni kupeleka burudani kwa watu wasiostaarabika kama wakati ule mlivyofanya kwa Arusha.
Watu wa Mbeya bado wapo kwenye ujanja 1980s ule usela nondo, fujo za kinyani.
Kwanza mji...
Niliwaambia na nitawaambia kuwa shetani ndiye Mungu wa Dunia hii. Na ili akupe vya Dunia hii au akupe miliki yake lazima umsujudie. Wasanii wetu wanachotaka ni aidha pesa au umaarufu na hivyo vyote ibilisi anavyo. Ukimsujudia (kukubali amri zake) anakupa pesa nyingi na umaarufu anakupa.
Hawa...
📖Mhadhara wa 21:
Wakati watanzania wenye akili timamu wanajiuliza hili swali; Tupate wapi njia za kuwanasua watoto wetu kwenye wimbi baya la ubakaji, ushoga, usagaji, na ulawiti? - lakini wanaibuka watu ambao tunawaamini ni kioo cha jamii (wasanii wa bongo fleva) wanakwenda studio kurekodi...
WANYAMWEZI 15 WALIODONDOKA NCHINI KUUPA TAFU MUZIKI WETU.
Hawa hapa wasanii wa nje waliowahi kuja nchini ni kubwa mno, lakini leo tunapenda tuangalie japo wasanii mashuhuri tu kutoka nchini Marekani, waliowahi kuja nchini na kufanya shoo kabambe katika majukwaa yetu, hivyo kwa namna moja au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.