wasanii

  1. B

    Uchaguzi 2020 Kwamba Watanzania wenye njaa wanahitaji tamasha la kuchambua wasanii wakupiga kampeni?

    Nchi hii watu wanaleta dharau, chama chetu tawala kinaleta dharua kubwa kwetu. Awali tuliambiwa hakuna haja ya wasanii, mara paap upepo umegeuka tumeamua kufanya tamasha la wasanii tuchuje nyimbo za kuimbwa kwetu wapiga kura? Je, ndipo mawazo na fikra zetu kuhusu kuvutia wananchi zilipoishia...
  2. TECNO Tanzania

    Hafla ya ‘tecno vimba season’ yahuhuriwa na wasanii wa tamthiliya ya huba

    Uzinduzi wa promosheni ya TECNO Vimba Season umefanyika rasmi jana huku hafla hiyo ikihudhuriwa na wasanii maarufu wa tamthiliya ya HUBA ambayo huoneshwa na king’amuzi cha Dstv. Promosheni hiyo ya ‘Vimba Season’ inalenga kuwapatia wateja wa TECNO CAMON15 na Spark5 zawadi mbalimbali ikiwemo seti...
  3. Mwamuzi wa Tanzania

    Uchaguzi 2020 Hivi upinzani ukichukua nchi Vyombo vya Habari na Wasanii wa Tanzania watakimbizia wapi nyuso zao?

    Sasa imekuwa rasmi wasanii hasa wanamuziki na tasnia karibu zote nchini wanamuunga mkono Rais. Hii sio dhambi, lakini pale msanii anapoimba nyimbo kupondea upinzani kana kwamba upinzani umeletwa nchini na shetani inashangaza sana. Vyombo vya Habari munadhani CCM itatawala milele? Kwa bahati...
  4. J

    Wasanii wa Tanzania wanaishi katika mfumo wa chama kimoja, vipaji vyaweza kudumaa

    Naelewa kuwa Wasanii wengi wanalelewa na CCM kiufadhili na kifursa lakini hiyo siyo sababu ya wao kuishi ndani ya box. Kwa sasa wasanii wote wako busy kutunga nyimbo za kuienzi CCM, hilo ni jambo jema lakini wasisahau kuwa nje ya siasa maisha ni lazima yaendelee. Wasanii wote wanapokuwa na...
  5. kavulata

    Wasanii msitunge nyimbo za kutundika darini

    Mfano, Cosmas Chidule aliimba nyimbo nzuri kuhusu makao makuu Dodoma, lakini aliiharibu kwa kuitaja CCM kwakuwa wakati anaitunga nchi ilikuwa ya chama kimoja. Ziko nyimbo za furaha, huzuni na matukio ambazo wasanii wetu wanafanya kazi kubwa ya kuzitunga lakini zinageuka big G baada ya muda...
  6. R

    Mafanikio ya Sugu na Profesa Jay yalivyowaponza Wasanii na Siasa chakavu za CCM

    Hali imekuwa ndivyo sivyo. Ni vilio na simanzi . Kila kona ni aibu tupu. Wahenga walisema Tamaa mbele mauti nyuma. Au majuto ni mjukuu. Inasemekana kuna tofauti kubwa kati ya wasanii wa tanzania, uganda a Kenya, wachambuzi wa maswala ya siasa na uchumi, utamaduni na maendeleo wanasema kundi la...
  7. Superbug

    Kwenu wasanii wa Tanzania: Uchaguzi ukiisha kila mmoja akale alipopeleka mboga

    Kwenu wasanii wa Tanzania na Bongo Fleva. Sisi Watanzania wengine tusiopendezwa na mambo ya Chama cha Mapinduzi tumeona mwenendo wenu. Tumeona hakuna shida kwa mujibu wa katiba, mko sahihi. Siasa zinapita. Sanaa yenu naamini mtapenda ibaki ikipendwa na sisi Watanzania wote. Wazungu husema...
  8. urbanthug

    Wasanii & Waandishi

    Wasanii waandishi hunufaika na nini hasa baada ya kumfanyia kazi msanii mwenzao? Yaani kwa mfano Nandy kaandikiwa na Jay Melody, Aslay na wengine huko, je hawa waandishi hunufaika nini na na kazi waliyoifanya ambayo inampa mashavu mengi msanii aliyeimba ukiachana na wao walioandika?
  9. K

    Mawazo kwa vijana mtapotoshwa kuwaangalia wasanii kwa maendeleo yenu

    Nawapa mawazo ya bure wadogo zangu wa miaka 18-35. Kwasababu wasanii wetu hasa wa musiki wanafanya vizuri jamii hasa wanasiasa watawatumia wenyewe kwa manufaa yao binafsi. Lakini kwa mawazo yangu acheni kuwafuata wasanii na kushinda mitandaoni kuangalia maisha yao na kutaka kuiga badala yake...
  10. Erythrocyte

    Uchaguzi 2020 MC PiliPili ajitokeza kuchukua fomu ya kugombea Ubunge Bahi kupitia CCM

    Emmanuel Mathias (MC PiliPili) naye ajitokeza kuchukua fomu ya kugombea Ubunge BAHI kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM)
  11. J

    Nafasi ya John Komba imezibwa na wasanii zaidi ya 100 kuhamasisha uchaguzi CCM

    Kiukweli msanii John Komba rip mchango wake ndani ya CCM katika siasa na nyimbo za uhamasishaji hautasahaulika. Nimewafuatilia waimbaji wa sasa zaidi ya 100 bado sijamuona wa kuvaa viatu vyake japo kuwa Mrisho Mpoto anajitahidi. Kazi iliyokuwa inafanywa na Komba sasa inafanywa na wasanii wa...
  12. K

    Kuhamasisha watu wavae Barakoa kujikinga na Corona wakati wewe huvai si sahihi

    Dalili mojawapo ya binadamu mpumbavu ni pale anapokuwa anafanya matendo kinyume na uhalisia wake akiwa na hofu dhidi ya mtu mwingine au kujipendekeza kwa Mtawala wake. Nimetumia neno mpumbavu na sio mjinga kwani mjinga ni yule mtu asiye na uelewa juu ya jambo fulani lakini akieleweshwa...
  13. Mkogoti

    Wasanii hii sasa imekuwa too much. Muimbe basi na upande wa pili

    Wakuu habari za humu! Wasanii sasa hasa wa Muziki imekuwa sasa sifa ata kama ndo hivyo lakini mfanye kwa kipimo. Nyimbo za kukisifu chama cha CCM zimekuwa nyingi Mno hizo zote kitu gani? Mnatafuta au mmeambiwa mnalipwa, mbona sioni msanii yoyote akiwa amewatungia nyimbo Upande wa pili CHADEMA...
  14. V

    Wasanii ni njaa imetawala au mnalazimishwa kumuimba Rais Magufuli na CCM

    Kuelekea Uchaguzi Mkuu naona imekuwa fashion kwa wasanii kila mmoja anatoa nyimbo za kumsifu Magufuli na CCM. Hii si bure lazima kuna kitu kinaendelea nyuma ya pazia. Inawezekana kabisa njaa imetawala kwa wanamuziki labda kutokana na janga la Covid-19 lililotukumba hapo nyuma. Au wanamuziki...
  15. Yoyo Zhou

    Uchaguzi 2020 Wasanii wasiwe na uchu wa madaraka kwa kutaka kila mmoja kugombea kwenye Uchaguzi

    Ni miezi michache tu imesalia kwa Tanzania kushuhudia wananchi wake wakijitosa kwenda kwenye vituo vya kupiga kura na kutumia demkorasia yao halali ya kuwachagua viongozi wanaowataka. Kwa wananchi wengi, uchaguzi ni hatua moja kubwa ya kuchagua viongozi ambao watakuja kulijenga au kuliporomosha...
  16. Analogia Malenga

    Serikali kuja na tuzo kwa wasanii

    Serikali kupitia Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo imeanza mchakato wa kuandaa tuzo kwa wasanii ambazo zitajumuisha sekta zote ndani ya wizara hiyo ikiwemo habari, utamaduni, sanaa na michezo. Akizungumza na TBC katika kipindi cha Serebuka, Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya...
  17. Yoranda

    Vituo vya redio vinapowaajiri wasanii/wachekeshaji viheshimu michango yao

    Habari za asubuhi Watanganyika wenzangu. Lengo la kuwapa ajira wasanii bila shaka inalenga kuwapata wasikilizaji, kuwagombea audience kutengeneza base. Zembwela hata mie amenivutia kumsikiliza, zaidi yake zembwela ana iq nzuri anapambanua mambo, Masoud Kipanya ni mmojawapo wanajua kuchambua...
  18. Mkogoti

    Msanii Harmonize: Wasanii wanaitaji Tuzo ili kuleta heshima kwenye "Music wa Tanzania"

    Akiwa mmeposti kwenye ukurasa Wake Wa Instagram kasema " Trust Me kutokuwepo kwa Tuzo kwenye Muziki Inapunguza Thamani ya Muziki Tanzania Maana sasa hivi tumebaki kushindania YouTube tu ngoma yako isipofikisha Million 1 (views) ndani ya siku mbili basi hiyo ngoma sio bora" "Kushindania views...
  19. R

    Think tanks wa Tanzania ni wasanii

    Think tanks: a body of experts providing advice and ideas on specific political or economic problems of a nation. Hawa ndio Bunge lijalo ndio watajaa maana kila moja anataka kwenda bungeni! sijui Mdee, Harmonise, Steve , Master J ...you mention them! and many many others! Our Think Tanks!
Back
Top Bottom