Zoezi la Mange Kimambi la Unfollow Wasanii: limewaongezea followers badala ya kuwapunguzia

Zoezi la Mange Kimambi la Unfollow Wasanii: limewaongezea followers badala ya kuwapunguzia

Stuxnet

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2011
Posts
18,875
Reaction score
29,427
Zoezi lilianza June 3 2025. Hapa ninaleta summary ya kudikia leo 18/06/ 2025 kutoka mtandao wa www.hyperAuditor.com

Screenshot_20250618_134228_ChatGPT.jpg

Screenshot_20250618_134250_ChatGPT.jpg

Mwambieni Mange Kimambi afanye yake, aachane na Watanzania. Maana badala ya kupunguza followers, hawa wasanii/ watu maarufu wote wameongeza idadi ya followers.
 
Zoezi lilianza June 3 2025. Hapa ninaleta summary ya kudikia leo 18/06/ 2025 kutoka mtandao wa www.hyperAuditor.com

View attachment 3374543
View attachment 3374544

Mwambieni Mange Kimambi afanye yake, aachane na Watanzania. Maana badala ya kupunguza followers, hawa wasanii/ watu maarufu wote wameongeza idadi ya followers.
Watanzania wapi unawasemea? Kuna Mtanzania mwenye Akili Timanu anahangaika na chawaccm? Ebu nyinyi ibiris wa ccm punguzeni propaganda kwani wapenda haki hawataki Utekaji kubambikiwa kesi za uongo kufunga makanisa na matendo haramu ya kishetani
 
Nawwongelea waTanzania wa kwenye Instagram waliohamasishwa na Mange Kimambi kuwa UNFOLLOW wasanii wa Tanzania
 
Ndugu zako wamefunga comment Kama wanajiamini kwanini wasifungue

Mpaka account ya Rais inablock watu uliona wapi hii?
Nime zero in kwenye wasanii 5 maarufu katika instagram pekee. Hiyo ilikuwa kama sample yangu. Kama ulisoma statistics au quantitative methods utanielewa, ila kama ulikimbia umande utaendelea kubishana
 
aaaaahhhhhhhhh , sawa na kumpiga chura teke unamwongezea mwendo
MangeKimambi kawafanyia promo kubwa sana hawa wasanii. Wakati anaagiza wa UNFOLLOW, wengine wanakuwa curious, wanaamua kuingia kwenye hizo page kuangalia kuna nini? Kisha wanavutiwa na wanaendelea kuwa new followers.
 
Haya leta hata hiyo No Reforms No Elections tuone imeleta athari au mafanikio gani kuzuia uchaguzi wa Oktoba 2025.
Chadema wanapenda kufurahisha nafsi zao. Kama walisema wasanii watapoteza followers halafu hawakupoteza ukiwauliza kulikoni watatafuta kajambo kingine kakulaumu ili wapoze nafsi zao.

Ilimradi nafsi zao ziridhike kosa sio lao ni la serikali , CCM au wasanii wanaounga mkono CCM.
 
Walikuwa na kampeni dhidi ya wasanii na ilifeli bado tu hawajajifunza
 
Sasa hapo kati ya mange kimambi anayewaambia watanzania wafanye mambo yenye faida kwao na hao watanzania wanaowafollow wasanii wasio na faida yoyote kwao nani mpumbavu
 
Back
Top Bottom