Zoezi la Mange Kimambi la Unfollow Wasanii: limewaongezea followers badala ya kuwapunguzia

Ni mitaamo tofauti na kila mmoja ana mtazamo wake.
Chukulia mfano mtu anaingia nchi ambayo imejaa ujinga (labda watu wake hawajui hata kusoma na kuandika), na baada ya kujitahidi zaidi ya miaka 10 kuwafundisha labda kati ya million 6 anaambulia watu wasiozidi elfu moja wwaliomuelewa. Alafu hawa waliobaki wanamzomea na kumbeza kuwa 'ameshindwa maana tumebaki na ujinga wetu'. Here we are
Uelewa anapewa mtu mwenye utimamu, ila mitazamo ya watumwa inabadilishwa na maumivu. So muda maumivu yatakapokuwa makali ndo watumwa wataamua hatma yao ila hao akina Chadema na Mange Kimavi wanaponda maji kwenye kinu...
 
Watanzania wapi unawasemea? Kuna Mtanzania mwenye Akili Timanu anahangaika na chawaccm? Ebu nyinyi ibiris wa ccm punguzeni propaganda kwani wapenda haki hawataki Utekaji kubambikiwa kesi za uongo kufunga makanisa na matendo haramu ya kishetani
pole pole mkuu maisha ni haya haya
 
Sasa hapo kati ya mange kimambi anayewaambia watanzania wafanye mambo yenye faida kwao na hao watanzania wanaowafollow wasanii wasio na faida yoyote kwao nani mpumbavu
yaaani wewe umekaa zako ruvuma sokoni unamskiliza mtu alieopo new york, au mpaka fimbo zirudishwe ukubwan
 
Huyo mtu aliyeko huko new york anayoyaongea ni ya ukweli au uwongo, shida ni yeye kuwa new york au shida ni yeye kuongea ukweli, mnapenda sana kutulazimisha tuwadharau hebu ficheni upumbavu wenu
 
Sasa kuna faida gan ya kua na akili kama yeye ndo anakwambia cha kufanya? au ndo wanasema kapu la kuhifadhi meno
 
Yani kwahiyo watanzania hawajui matatizo yanayoisumbua hii nchi, miaka na miaka chini ya utawala wa ccm kwamba kwa mujibu wako mange ndio anayewaambia, aise watu kama ninyi ni hasara kwa taifa mnatakiwa mfungwe mawe makubwa kisha mtupwe baharini
 
lissu akipata uraisi kupitia ccm utasema ccm ni tatizo? tafuta ela umaskini unakusumbua
 
Nimeongelea ccm kwa ujumla kwa sababu haijawahi na haiwezi kuwa na mtu kama lissu, kwanza siyo lissu tu mtu yeyote yule ili mradi ni mzalendo hata akiwa ccm tutamuunga mkono ila kwa sasa ccm ndio tatizo, kuwa makini na watu usiowafahamu unaweza kujikuta wewe ndio masikini mshakariri kwamba kila mtu ni hadi maisha yamchape ndio aanze kupigania nchi
 
Hebu tembea uone acha kubwabwaja Marekani na nchi za EU ukiwa homeless ni uvivu wako tu mwenyewe na wala siyo kosa la serikali, usifananishe na hizi shithole african countries ambazo chanzo kikubwa cha umasikini wa wananchi ni serikali, wewe ndio hujielewi unajiandikia tu kulingana na uwezo wako finyu wa kufikiri badala ya kuandika uhalisia
Kimsingi umekubali kuwa kina watu homeless US na EU. Suala la kuwa ni kosa la wao binafsi au serikali hikuwa hoja ya mjadala.
 
Mange hajawashauri watu waunfollow celebrities, aliwashauri wakinukishe kwa kucomment ujumbe wa no reforms no election.
Acha uwongo. Wewe umeikutia katikati. Alipogundua kuwa mwitikio wa "UNFOLLOW" siyo mzuri, ndiyo akasema waanze kuingia kwenye hizo pages na kuandika No Reforms No Elections. Ukitaka ushahidi nitakuletea
 
Huyo mtu aliyeko huko new york anayoyaongea ni ya ukweli au uwongo, shida ni yeye kuwa new york au shida ni yeye kuongea ukweli, mnapenda sana kutulazimisha tuwadharau hebu ficheni upumbavu wenu
Wewe ndiyo mpumbavu ambaye huoni juhudi kwa kazi ambazo Serikali inafanya. Ndiyo maana tunasema hata USA haijamaliza kujenga nchi yao pamoja na kwamba taifa lao lina miaka karibu 300
 
Yani kwahiyo watanzania hawajui matatizo yanayoisumbua hii nchi, miaka na miaka chini ya utawala wa ccm kwamba kwa mujibu wako mange ndio anayewaambia, aise watu kama ninyi ni hasara kwa taifa mnatakiwa mfungwe mawe makubwa kisha mtupwe baharini
Matatizo yetu tunayafahamu na tunaona juhudi za serikali, hatuhitaji malaya mmoja anayeuza mwili wake California kutuelezea
 
Nimeongelea ccm kwa ujumla kwa sababu haijawahi na haiwezi kuwa na mtu kama lissu, kwanza siyo lissu tu mtu yeyote yule ili mradi ni mzalendo hata akiwa ccm tutamuunga mkono ila kwa sasa ccm ndio tatizo, kuwa makini na watu usiowafahamu unaweza kujikuta wewe ndio masikini mshakariri kwamba kila mtu ni hadi maisha yamchape ndio aanze kupigania nchi
dogo tafuta ela njaa itakunyonga huelewi unachosimamia, we sio mke wa lisu kusema asiende ccm
 
Kimsingi umekubali kuwa kina watu homeless US na EU. Suala la kuwa ni kosa la wao binafsi au serikali hikuwa hoja ya mjadala.
Si unaona sasa upumbavu wenu baada ya kuona umebanwa na kuishiwa hoja umeamua kukwepa mada, wewe si uliamua kutolea mfano us ndio nimekupa sasa hali halisi ya masikini wa us na masikini wa tz sasa mbona tena unakimbilia kusema haikuwa hoja, msipende kukurupuka kujadili mambo msiyoyajua ndio mnaishia kudhalilika kama hivi mbwa nyie
 
Wewe ndiyo mpumbavu ambaye huoni juhudi kwa kazi ambazo Serikali inafanya. Ndiyo maana tunasema hata USA haijamaliza kujenga nchi yao pamoja na kwamba taifa lao lina miaka karibu 300
Hiyo serikali imefanya kazi gani hadi sasa ikiwa mambo muhimu kama maji, umeme, afya, elimu, uchumi, ajira tu bado ni janga unataka waongoze miaka mingapi ili nchi ipate hayo maendeleo bila kusuasua, haya wewe unayejua uchumi wa marekani na siasa zao tuambie hawajamaliza kujenga nchi yao kwenye masuala yepi
Matatizo yetu tunayafahamu na tunaona juhudi za serikali, hatuhitaji malaya mmoja anayeuza mwili wake California kutuelezea
Huyo malaya ana akili kuliko wapumbavu wote mlioko huko ccm, eti tunaona juhudi hizo juhudi unaziona wewe peke yako fisi wewe, watu kama ninyi mnatakiwa mpigwe risasi hadharani mkiwa uchi
dogo tafuta ela njaa itakunyonga huelewi unachosimamia, we sio mke wa lisu kusema asiende ccm
We naye hebu nitolee upumbavu wako hapa next time ukinijibu uwe na hoja, kamuambie babaako atafute hizo hela akusomeshe, ili uwe na uwezo walau kidogo wa kuchambua mambo kama haya
 
Hiyo serikali imefanya kazi gani hadi sasa ikiwa mambo muhimu kama maji, umeme, afya, elimu, uchumi, ajira tu bado ni janga unataka waongoze miaka mingapi ili nchi ipate hayo maendeleo bila kusuasua, haya wewe unayejua uchumi wa marekani na siasa zao tuambie hawajamaliza kujenga nchi yao kwenye masuala yepi

Huyo malaya ana akili kuliko wapumbavu wote mlioko huko ccm, eti tunaona juhudi hizo juhudi unaziona wewe peke yako fisi wewe, watu kama ninyi mnatakiwa mpigwe risasi hadharani mkiwa uchi

We naye hebu nitolee upumbavu wako hapa next time ukinijibu uwe na hoja, kamuambie babaako atafute hizo hela akusomeshe, ili uwe na uwezo walau kidogo wa kuchambua mambo kama haya
huna hela acha kelele
 
Back
Top Bottom