Mbosso ameingia kwenye orodha ya wasanii wenye album bora za muda wote kwenye bongofleva

Mbosso ameingia kwenye orodha ya wasanii wenye album bora za muda wote kwenye bongofleva

sinza pazuri

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2014
Posts
3,704
Reaction score
9,932
20250613_161136.jpg

Album 5 bora za muda wote ni

1. Mapinduzi Halisi - Prof Jay
2. Aka Mimi - Mangwea
3. A boy from Tandale - Diamond
4. Binti - Lady Jaydee
5. Room Number 3 - Mbosso

Mbosso amefanikiwa kuingiza kwenye hii orodha EP yake baada ya kumuangusha Jay Moe n album yake y Ulimwengu ndio Mama.

Hongera sana Mbosso kwa kupitishwa na mitaaa.
 
Kigezo gani kimetumika kuonyesha hizi ni album bora za muda wote kuanzia hiyo namba moja hadi namba tano?
 
Kigezo Gani kimetumika kuzipa ubora wa muda wote hizo album ulizotaja
 
Back
Top Bottom