Simba na yanga pamoja na wasanii wanachelewesha mabadiliko nchii hii

Mshuza2

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2010
Posts
11,568
Reaction score
17,992
Nimeona Leo niseme ukweli kama Kuna maadui na hawasemwi katika taifa hili basi ni hawa watatu,Simba,yanga na wasanii( muziki na filamu).

Wamekua wakitumika kama silaha ya kuhamisha ajenda muhimu za kitaifa..na mbaya zaidi watanzania wengi wameingia kwenye mfumo.
Serikali inawatumia Hawa kuchomeka propaganda za kutuhamisha kujadili mambo ya msingi na watu wamekua busy kujadili mpira,na umbea wa wasanii pamoja na tamthilia.
Naona kule IG Kuna kampeni inaendelea Toka kwa dada wa taifa ya "No reform no election" na ku unfollow wasanii..ngoja tuone kama itafanikiwa ukizingatia watanzania wanapenda sana umbea.
Hata kijani wanajua bila wasanii ni weupe kama pamba..
Ogopa sana watu wakichoka...Kuna dalili ziko wazi page nyingi za serikali wanafungia comments..spana zimezidi!

Nawasilisha.
 
Mabadiliko yanacheleweshwa na sisi wenyewe… tumebugia masiasa ya vyama badala ya masiasa ya utaifa na uchumi
 
Nimeona Leo niseme ukweli kama Kuna maadui na hawasemwi katika taifa hili basi ni hawa watatu,Simba,yanga na wasanii( muziki na filamu).

Wamekua wakitumika kama silaha ya kuhamisha ajenda muhimu za kitaifa..na mbaya zaidi watanzania wengi wameingia kwenye mfumo.
Serikali inawatumia Hawa kuchomeka propaganda za kutuhamisha kujadili mambo ya msingi na watu wamekua busy kujadili mpira,na umbea wa wasanii pamoja na tamthilia.
Naona kule IG Kuna kampeni inaendelea Toka kwa dada wa taifa ya "No reform no election" na ku unfollow wasanii..ngoja tuone kama itafanikiwa ukizingatia watanzania wanapenda sana umbea.
Hata kijani wanajua bila wasanii ni weupe kama pamba..
Ogopa sana watu wakichoka...Kuna dalili ziko wazi page nyingi za serikali wanafungia comments..spana zimezidi!

Nawasilisha.
NO REFORMS, NO ELECTION. Siasa ni maisha, Maisha ya Mtu ni yana thamani sana kuliko Mpira. (TANZANIA MPYA BILA UTEKAJI INAWEZEKANA.)
 
Nimeona Leo niseme ukweli kama Kuna maadui na hawasemwi katika taifa hili basi ni hawa watatu,Simba,yanga na wasanii( muziki na filamu).

Wamekua wakitumika kama silaha ya kuhamisha ajenda muhimu za kitaifa..na mbaya zaidi watanzania wengi wameingia kwenye mfumo.
Serikali inawatumia Hawa kuchomeka propaganda za kutuhamisha kujadili mambo ya msingi na watu wamekua busy kujadili mpira,na umbea wa wasanii pamoja na tamthilia.
Naona kule IG Kuna kampeni inaendelea Toka kwa dada wa taifa ya "No reform no election" na ku unfollow wasanii..ngoja tuone kama itafanikiwa ukizingatia watanzania wanapenda sana umbea.
Hata kijani wanajua bila wasanii ni weupe kama pamba..
Ogopa sana watu wakichoka...Kuna dalili ziko wazi page nyingi za serikali wanafungia comments..spana zimezidi!

Nawasilisha.
HATUCHEZI NG'OO.
 
Nadhani kabla ya kuwalaumu wasanii na hizo timu, nyie wnyw watu mnatakiwa mjilaumu Kwa kuwa na akili za kipumbavu mpaka kukubali kuondolewa kwenye reli.

Kama mngekuwa na akili timamu bc mngepuuzia hayo mambo ya timu na wasanii.

Mjue sio kila mtu anafatilia siasa hvy kila mtu aishi maisha yake mana binafsi siwezi kuahirisha kufanya mambo yangu au wasanii na hizo timu zishindwe kufanya mambo yao ety kisa kwenye siasa kuna jambo fulani.
 
Muwafungie msiwafungie, Oktoba kiti tunachukua asubuhi na mapema. Mama mitano tena
 
Nadhani kabla ya kuwalaumu wasanii na hizo timu, nyie wnyw watu mnatakiwa mjilaumu Kwa kuwa na akili za kipumbavu mpaka kukubali kuondolewa kwenye reli.

Kama mngekuwa na akili timamu bc mngepuuzia hayo mambo ya timu na wasanii.

Mjue sio kila mtu anafatilia siasa hvy kila mtu aishi maisha yake mana binafsi siwezi kuahirisha kufanya mambo yangu au wasanii na hizo timu zishindwe kufanya mambo yao ety kisa kwenye siasa kuna jambo fulani.
Siasa ni maisha Yako, siasa ndio zinakupangia kila kitu ktk maisha Yako..usiitazane siasa Kwa angle ya majukwaani tu...
 
Sawa endeleeni kufatilia hy siasa na kuwalaumu watu wengine kufanya mambo yao
 
Back
Top Bottom