wasanii

  1. Tuanze na Wasanii maana asilimia kubwa yao wanapotosha Jamii na serikali inatoa macho

    Iko wapi maana ya Msanii kuwa ni kioo cha jamii, Wasanii wa kileo ndo basi tena tena hawa wabana pua ndo kabisa. Ndo maana wabana pua sijaona hata mmoja ambaye anaweza kuingia hata kwenye siasa maana wakiingia kwa siasa muda wote ni kuzungumzia mapenzi. Serikali mbali na kuweka wizara ya...
  2. BASATA mnakula hela za wasanii bure, hakuna mnachokifanya

    Baraza la sanaa Tanzania sijaona kazi yenu kama madudu ndo haya mnamefeli. Jaribu kujipanga upya. Diamondplatnumz ,alikataa kushiriki tuzo zenu afu mkampa tuzo ya heshima😁 mko sawa na utendaji kazi wenu kweli. Umeandaa Tuzo za (TMA) ila kinachoendelea mnakijua nyie sijui mmelogwa au nini...
  3. Hii hapa orodha kamili ya wasanii wenye mkwanja mrefu Afrika Mashariki

    Habari mwenye kujua forbes wanaangalia nini naomba ufafanuziii hiii habari sijaelewa kabisa Jarida la Forbes imetoa orodha ya Wasanii wa muziki wenye utajiri mkubwa Afrika Mashariki (East Africa) kwa mwaka 2023. 1. Bobi Wine (Uganda) : Dola milioni (9) 2. Diamond Platinumz (Tanzania): Dola...
  4. Roma, Wakazi na Linex ni mfano wa watu waliopishana na vipaji vyao!

    Awa ni watu walio kwenye muziki muda mrefu lakini kiuhalisia sio wasanii. Wanaupenda sana muziki lakini hawakuzaliwa kuwa wanamuziki. 1. Roma Huyu jamaa ana kipaji chake ambacho uwa nikimsoma twitter nakiona. Mshikaji ni content creator wa level kubwa sana alafu ni ile natural sio wa darasani...
  5. List ya wasanii wa Bongo ambao walipata umaarufu na mafanikio makubwa, lakini leo wako juu ya mawe

    1) Mr Nice - huyu Afrika mashariki nzima na baadhi ya nchi za kusini kama vile Malawi, Msumbiji na Zambia hakuna mtu ambae alikuwa hamjui. Mpaka watoto wadogo huko vijijini Malawi walikuwa wanaimba kidali poo. Miaka ya 2002 mpaka 2005 alipiga hela sana lakini akaishia kushusha zipu, leo hii...
  6. U

    Dawa za gym/steroids Kwa wasanii na mabaunsa zina hatari za ushoga

    Kwa kuanza kabisa naomba tutambue wasanii wa bongo fleva wanaotumia dawa za kuchochea misuli gym wanaziita steroids/poda ni pamoja na Diamond, harmonize, jux, calisa, ney wa mitego Hawa ni baadhi ya wasanii wanaotumia dawa za kukuza misuli, ukinywa dawa hizi gym unajazia misuli haraka kwakuwa...
  7. Majibu Kwanini Wasanii Wetu Hawaitwi Kwenye Steji Kubwa Duniani

    Naandika huu uzi baada ya kumsoma kamikaze kwenye uzi wake: Mafanikio ya mwanamuziki Burna Boy, Nini tunajifunza! If anything wasanii wabongo inabidi walalamikie ufinyu wa watanzania wengine nje ya nchi hususani in the boardrooms. Nigerians wapo wengi ndani na nje ya nchi yao. Unaposikia...
  8. R-Square wasanii chipukizi kutoka Bagamoyo Tanzania

  9. Wasanii wa kike wote waliotoka wako na skendo za picha za ngono/ video za ngono na serikali inafumbia macho

    • WemaSepetu • Aunt Ezekiel • Nandy • Lulu diva • Amber lulu • Amber Ruty • Gigy money • Divadeboss • Jackline Wolper • ....... 📌 Msanii ni kioo cha jamii, ila sio kwa sanaa ya kipindi hichi aisee. Asilimia kubwa wasanii wengi wanapotosha jamii na kwakuwa wao ni maarufu ndo kizazi kinazidi...
  10. Mwana FA atakuwa Naibu Waziri mbovu kuwahi kutokea Tanzania. Hatatoa msaada kwa wasanii zaidi ya kuwagawa

    Huyu amepewa uwaziri na Mama Samia naona watu wengi wameipokea hii habari kama ni habari njema kwenye michezo sanaa na burudani. Kwa tunaomjua Mwana FA hapa hakuna kitu kipya atafanya kusaidia wasanii na wanamichezo. Huyu i mbinafsi, ana roho mbaya, anaringa ile kuringa sio kitoto, ana dharau...
  11. Wasanii wa Bongo badilikeni, jifunzeni kwa wenzenu namna nzuri ya kufanya show

    Wakuu hii shoo ya badgirl Riri ni noma kwanza mipangilio imepangika mavazi, madensa sound, lights. Yaan ni noma shoo imetulia ina ladha huumii masikio na wala huchoki tazama. Wasanii badilikeni sio kutupigia kelele stejini. Kushoto kulia mara washa light ya simu yako Mara tuimbe woote hata...
  12. N

    Boomplay kusherehekea wasanii wa Afrika waliochaguliwa kwenye Tuzo za Grammy kwa kutoa ‘free subscription’

    Sekta ya muziki duniani inajitayarisha kwaajili ya usiku mkubwa wa mwaka kupitia tuzo za 65 za Grammy. Huku wasanii wa Kiafrika wakipokea teuzi za kihistoria katika kategori tofauti mwaka huu, App inayokua kwa kasi katika utoaji huduma ya kupakua na kusikiliza muziki barani Afrika, Boomplay...
  13. Tangu mabando yapande bei, Diamond pekee kaweza kupata views milioni kwa siku, kahamia muziki unaoweza kusikika na kila mtu ila ni wachache wanauimba

    Tangu mwaka 2021 mwezi wa 11 tulipopata kilio cha mabando kupanda bei hakuna msanii yoyote hapa bongo alieweza kugonga views milioni 1 ndani ya masaa 24, ipo lebo flani ilikuwa inamwagia views milioni 1 chini ya dakika 1 kwa kila msanii lakini wakaja kuumbuka. Diamond kaweka rekodi ya ngoma ya...
  14. R

    Joti na Katiba Mpya; Wasanii na uteuzi, kilio cha maslahi

    Joti amebeza mchakato wa katiba mpya kwamba hauna tija; nimejiuliza msanii wa Tanzania anawezaje kuwatukana mashabiki zake Bila aibu? Kwamba Joti anajionaa anafaa kuwa DC? Anaona uchawa unalipa? Na kwamba hapo alipofiko ndo mwisho? Mhe. Rais anataka watu wanaosema ukweli siyo wanafiki; wasanii...
  15. Wasanii, Chukueni Tahadhari Hii Katika Mikataba ya Matangazo

    Ni muhimu sana kwa wasanii kuhakikisha mnajidhatiti kwa kuwa na uwakilishi madhubuti wa kisheria katika usimamizi wa masuala yenu ya sanaa. Ikiwa mwaka bado ni mchanga na ikiwa tunaendelea kushiriki katika wiki ya sheria, nimelazimika kutumia kalamu na taaluma yangu kutoa rai hii kwa wasanii...
  16. N

    Wasanii kukopeshwa bila riba

    Ujumbe wa Mbunge wa Muheza, Tanga na msanii MwanaFA akimshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan na Waziri wa Michezo, Sanaa na Utamaduni Mohamed Mchengerwa kuhusu suala la mfuko wa utamaduni na sanaa ya Tanzania. Sanaa imeajiri watu wengi kuna familia zinakula...
  17. WASANII WA TZ SIO WABUNIFU

    Leo nikiwa kwenye daladala nimeshangaa kila ngoma zinazopigwa zipo muelekeo na miondoko ya Nitongoze ya Diamond na Kwani tsh ngapi/ Huna hela ya Vannyboy , inaonekana baada ya izo ngoma kuhit kila msanii sa hivi anataka kutoa ngoma zenye mwelekeo huo , ina maana ubunifu hawana wamebaki kama...
  18. Diamond anaongoza katika orodha ya wasanii waliotazamwa zaidi 2022

    WCB for life!
  19. Siyo bangi tu, hata video za utupu ni shida kubwa

    Wazee wamecharuka. Wamekasirika. Kifupi wamenuna. Wamefura. Hawataki tena kusikia masela wakiimba na kusifia ganja. Yes! Ni ganja pekee ndio dawa za kulevya zenye promo kubwa kwenye ngoma za Bongofleva. Kuanzia enzi za mikasi mpaka kikohozi cha Konde. Mtu mwenye akili yeyote ataunga mkono hilo...
  20. F

    Wapenzi wa muziki wa bongo fleva, wimbo wa lonely wa Mario unaupa rank namba ngapi kwa ngoma kali za kufunga mwaka 2022?

    Wadau wa bongo fleva, Kila mara anaongelewa. Diamond, ali kiba, Harmonize, Rayvanny, Nandy na Zuchu. Huyu dogo mario haongelewi sana. Leo nimepata nafasi ya kusikiliza nyimbo zake za album yake mpya. Nimegundua dogo kazi anaweza. Mojawapo ya nyimbo yake iitwayo lonely aliyoshirikiana na Abba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…