Msanii ni kioo cha jamii na jamii ina watu wenye uwelewa tofauti na hupokea ujumbe katika mapokea tofauti. Mfano tamdhilia ina kipengele cha mama wa kambo mtesi wa watoto. Nia ya sanaa ni kuweka wazi matendo yanayoendelea katika jamii lakini kuna watakao pokea na kumchukia yule msanii hasa...
Huu ndio utaratibu mpya wa recording label namba moja Africa.
Japo hauwezi kuzuia watu wabaya kuwarushia maneno ila utapunguza wachimba chumvi kutema nyongo zao.
Kwa sasa kupata nafasi WCB Wasafi linakuwa ni jambo la kitaifa.
WCB for life baby!
===
Alichoandika Babu Tale.... Hivi karibuni...
Haiwezekani bana yaani tupo group moya, alafu nyinyi mnaenda kulala kitanda kimoja, huu ni usengenyaji wa wazi wazi.
Group la kwanza walikuwa Pah One, embu vuta picha jinsi ambavyo wale member wengine walivyokuwa wakijisikia, yaani tupo kufanya kazi alafu nyinyi mnaleta mapenzi!
Hili group la...
Kupanda kwa bei ya mafuta nchini…
WASANII, MADAKTARI ‘WAIANGUKIA’ SERIKALI, WAISHAURI
JUZI, Serikali kupitia Ewura, imetangaza bei mpya ya mafuta ya Petroli, Dizeli na Mafuta ya Taa ambapo mbali na mikoa mingine, Mkoa wa Dar es Salaam, Lita 1 ya Petroli imekuwa Shilingi 3,400 (ongezeko la...
Baada ya sakata linaloendelea mitandaoni kuwa lebo ya WCB inakandamiza wasanii, mkurugenzi wa lebo hiyo, Diamond Platnumz amesema, haoni tatizo kuchukua asilimia 60 ya mapato ya msanii wake.
Amesema anafanya hivyo kwani mziki ni biashara inayohitaji uwekezaji mkubwa na mpaka msanii awe mkubwa...
Aisee mambo ya kuwa na mwili na Misuli ya kuvutia imepelekea wasanii wengi wajitoe muhanga kula dawa Ili waweze kupata Misuli mikubwa na inayoonekana ilinkuimarisha brand zao.
Niwekee wazi tu SI rahisi Kwa mtu yeyote kubeba vyuma na kuwa na mwili wenye Misuli, hata magwiji kama Anorld, Rambo...
Bila kumung'unya maneno,
Hii trend ya hawa wasanii wetu hasa wa muziki wa kizazi kipya kupush hili suala la ushoga lionekane la kawaida tusipolipigia kelele itafika siku jamii nzima itaharibika na tutakosa wa kumlaumu. Najua kwa wasanii sometimes mnalazimika kusukuma hizi ajenda pasipo wenyewe...
Kama una marafiki/rafiki msanii utakubaliana na mimi hawa jamaa ni wanafiki sana na wana ubinafsi
Wao kazi yao kubwa kukutumia links za kazo zao uwasaidie kushare na kuview ili waingize pesa na wanakurushia picha uwapost ila wao hawafanyi hivyo na hawajishugulishi na jambo lolote la kijamii...
Wasanii wamebadilisha vifaa barabarani kuwa kazi za sanaa huko Basingstoke, Hants nchini Uingereza chini ya mradi mmoja wa kisanii uitwao “Streets Alive” unaoungwa mkono na bunge. Wasanii hao wamechora picha ya ndege, katuni na mandhari kwa rangi inayong’ara kwenye madawati, vyungu vya miche na...
Hiyo show ya legends wasaniii wa zamani ni a very good idea na list ni kubwa sana hadi inafurahisha ila ukweli ni kwamba hawa ndugu zetu wengi wao wamepoteza ramani vibaya mnooo
wanalewa kupita kiasi na wana stress sana tutarajie nusu ya PAFOMAZI kuimba wakiwa bwax yaani itakuwa mikoromo...
Kumekuwa na ongezo la account youtube kusemekana zimedukuliwa , hii inatokana na kuwa.
Wasanii wanashare logins zao na website za boosters, na ndipo Hao jamaa at the end wanapodai wanadeliver hiyo service, wao wanashare contents zao kama streaming za crypto.
Ndio mwisho wa siku account...
nimechelewa kuskiliza hii interview ya Kondeboy kwa ambao ni outdated news samahanini.
Hatuhitaji vijana wenye roho kama ya huyu jamaa, no wonder why our music is not doing well internationally . I do understand that competition exists in the world of business but not the extent of...
Nimefikiria nimefikiriaaa nimekosa jibu. Kuna hawa watu hasa wa instagram wakipata tu habari ya mtu maarufu au msanii amekufa wanaanza kufollow account yake ya instagram.
Hivi hua mnawatakia nini marehemu? Unajua kabisa amekufa hata ukimfollow inakuwa haina maana tena, hatopost tena na hata...
Steve Nyerere anazungumza na waandishi wa habari leo Jumanne Machi 22, 2022
“Nawashukuru wasanii wenzangu na Watanzania wote kwa mchakato ambao ulikuwa unaendelea na bado utaendelea.
“Muungano na ushirikiano wetu ndiyo utatutoa na kutufikisha mbali, kama tukishikamana tukatoa mioyo yetu chuki...
Niwapongeze wasanii wachache wenye upeo wa kutambua kuwa wao wanafanya kazi za sanaa lakini wanahitaji watu makini wa kusimamia shughuli zao. watu ambao watawaletea mabadiriko ya kimaendeleo.
Wapo wasanii wachache wenye upeo wanaotaka kutafuta watu wa ku " compliment" madhaifu nayo na...
Kwema Wakuu
Verbal intelligence -VI, ni ule uwezo wa mtu kuweza kupokea, kuchambua, kuchanganua, kutafsiri na kuelezea mambo Kwa lugha inayoeleweka. Uwezo wa kuitumia lugha vizuri.
Nimeona watu wengi wakimshambulia Fid Q Kwa kile walichokiita ametia aibu na kuharibu Heshima yake aliyoiweka...
Akihojiwa kwenye kipindi cha the Switch, Wasafi FM, alisikika akisema "huyo (yaani Ali Kiba) yupo kwenye game muda sana, mbona sasa hana media yake?"
Diamond akaendelea "mimi kunilinganisha na wasanii wa Tanzania ni kuwaonea hao wasanii, kwa maana hawaniwezi, sababu mimi kwanza nna talent...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.