Mcheshi asiyepungukiwa na utata maishani Eric Omondi kupitia ukurasa wake wa Instagram siku ya Jumapili alitoa wito kwa wanamuziki wa Kenya watie bidii zaidi kazini huku akidai kuwa sekta ya burudani hapa nchini imekufa.
Omondi aliwashinikiza wasanii waamke huku akidai kuwa wengi wao wameisha...
Baaada ya hii post nimeona wasanii wa Kenya wamemjia juu na kumtukana sana,binafsi naona kaongea ukweli Muziki wa Kenya wa siku hizi ni Dead beast, sio kama miaka ile 2000s wakina Prezoo, Nonini, Jua Kali, Nameless, Wahuu, Nazizi, P Unit, Meja etc ambao kidogo walikua wanaleta Chalenji kwa bongo...
Mamlaka ya Mapato nchini Kenya (KRA) inawafuatilia watu wanaochapisha vitu vya anasa kwenye mitandao ya kijamii ikiwa ni sehemu ya mkakati wa kuwabaini watu wanaokwepa kodi.
Mchapisho yanayoonesha magari ya anasa, majumba ya kifahari, na sherehe (parties) wanafuatiliwa na maafisa wa KRA...
Katika dunia ya sasa, views ni kipengere mojawapo muhimu sana cha kuitrendisha sanaa ya nchi fulani katika uso wa dunia.
Hali imekua tete baada ya mabando kupanda bei saizi youtube watu wanaingia kwa machale,
Views chache pia zinawapunguzia mapato wasanii, youtube wanalipa kwa kigezo...
Hii Ndio List Ya Wasanii Waliotazamwa Zaidi Katika Mtandao Wa Youtube Kwa Mwezi Wa Kumi Kwa Mujibu Wa @chartdatatz
1. Diamond Platnumz - 33.6M
2. Rayvanny 20.9M
3. Alikiba 13.6M
4. Harmonize 11.8M
5. Zuchu 11.4M
6. Mbosso 11.3M
7. Lavalava 4.77M
8. Nandy 4.73M
9. Macvoice 3.1M
10. Marioo 2.9M
Ni wazo tu, Wasanii wengi wameshatangulia mbele ya haki! Hawa waliobaki wangejiunda wakafanya tamasha la kuwakumbuka/kuwaenzi kwa kazi zao.
Pesa itakayopatikana isaidie familia zenye uhitaji za wasanii au wasanii waliobaki na wenye changamoto za kimaisha kama akina Paulina Zongo, Chid Benzi na...
TUNAFAHAMU kwamba katika ukanda wa Afrika, nchi ya Tanzania ndio ilikuwa inaongoza kwa kuwa na bei rahisi za mabando ya simu kuliko nchi yoyote hapa Afrika (Sub Saharan).
Jambo hili liligeuka kuwa silaha kwa tasnia yetu ya muziki wa Bongo Fleva katika sura ya Bara la Afrika, ilikuwa rahisi...
Sote tunajua katika ukanda wa Afrika, Nchi yetu ndio ilikuwa na mabando ya bei rahisi kuliko nchi yoyote hapa afrika (sub saharan)
Hii iligeuka kuwa silaha kwa tasnia yetu ya muziki wa bongo flava katika sura ya bara la Afrika, Ilikuwa rahisi sana msaga sumu kupata views milioni kuliko msanii...
Ilikuwa ni kawaida msanii wa bongo kupata views milioni hata kwa wasanii wa level za kati tukiachana na zile lebo 3. Ilikuwa ni kawaida msanii akiweka video intagram basi hakosi kutazamwa walau na watu laki
Ilikuwa kawaida msani kupata streams kibao huko boomplay, audio mack, n.k. Yote hii...
Duniani hakuishi vituko
Japani watu wanalipwa madola kibao kwa kufanya mtu alie machozi kuondoa stress wanaamini mtu akilia stress zinaondoka.Wasanii Muwezao kuliza watu mpo? Asipolia hulipwi
Jionee video mwenyewe
Rais Samia amewapigia simu Wasanii wa Dance, Waigizaji na wengine kuzungumza nao live kupitia Mwigizaji @SteveNyerere2 usiku Dar es Salaam kwenye kusanyiko la ‘Ongea na Mama’ na kuwaahidi kujumuika nao siku moja kwa ajili ya chakula cha jioni.
Katika wiki hii naweza kusema ndio kipindi kilichopata utulivu mno kweye game la muziki tangu mwaka uanze.
Yani katika kipicha hiki chote kulikuwa na vurugu kubwa sana huko youtube, huyu hata hajatrende vizuri mwengine ashaachia jiwe.
Nadhani kwa sasa hu utulivu uwe fursa kwa wasanii.
Goli...
Kana huyu jamaa dullvani kwa mtindo huu basi kila mtu angeweza kuwa msanii.
Watu wanajua sanaa ni kitu cha kawaida tu.
Ndio maana sanaa ni kipaji na kwa sasa tanzania hawa wanajiita wasanii hawna vipaji.
Kila siku kuteletea mambo ya ajabu.
Kuna wale jana wa futui walikuwa wanatoa vichekesho...
Tazama nchi inaenda ikiwa imepoteza uelekeo kabisa. Tazama dreva ameendelea kubaki kwenye usukani wakati gari imekata sukani na shokapu. Tazama raia na upinzani wamedhurumiwa huku wasanii wetu wakiwa kimya kwamba hayawahusu.
Lakini ukimya huu umeshawishi watesi wanafikiria ukusanyaji wa kodi na...
Sasa BASATA mnafanya kazi nzuri kuzuia au kupunguza unyonyaji wa wasanii, Sasa Kuna inshu kubwa ya hao mnaowatetea pia hao ni wanyonyaji wakubwa Sana wa Maproducer, yaani producer wamebaki chawa, ifwatwe Sheria biti ibaki Mali ya producer na Kama diamond akiuza stream mil 10 basi na lizer apate...
Naona sasa imekua ndo kawaida kwa wasanii wetu kila wimbo unaotoka ni Amapiano sijui amopiano yaani zinafanana kwa kila kitu,binafsi naona ni upuuzi mtupu!!
Hivi ndivyo Diamond na Rayvanny walivyowaachia gap kubwa la kuuza muziki wao duniani.
Siku zote kelele hazishindani na number. Namba hazidanganyi.
Uwa tunawaambia Diamond na Ray ni level nyingine wanapoachia muziki wanajua target yao. Watu mkaiponda sana album ya Ray kwa sababu hamjui...
Hii Ndio List Ya Wasanii Wenye Wafuasi (Subscribers) Wengi Zaidi Kwenye Mtandao Wa YouTube
1. #DIAMOND 5.44M
2. #RAYVANNY 3.03
3. #HARMONIZE 2.68M
4. #MBOSSO 1.71M
5. #ZUCHU 1.44M
6. #ALIKIBA 1.03M
7. #LAVALAVA 1.01M
8. #NANDY 847K
9.#ASLAY 805K
10. #ROMA 442K
CC @chartdatatz
Wengi tunakumbuka miaka ya nyuma Diamond ndie alikuwa msanii pekee aliekuwa ana promote video zake kwenye mitandao ya kijamii kwa kulipia, hiii ikapelekea kuongezeka kwa umaarufu mpaka sasa imefikia hatua kaacha ku promote kwa malipo maana kwa sasa anafaidi mavuno ya mashabiki wapya aliowapata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.