Habari,
Naombeni mnitajie nyimbo za Juma Nature zote alizoimba na kushirikishwa. Najua nyimbo zake hizi tu.
Mtoto Idd
Mikikimikiki
Sitaki demu
Mgambo
Kwa mlionazo kama itawezekana naombeni mniwekee hapa nizipakue.
Nyongeza.
Naombeni pia nyimbo za Twanga pepepeta/Banza Stone na Mwinjuma...
Hii beat inazidi kuwa maarufu na wasanii wakubwakubwa East Africa wanaendelea itumia, nilianza kuisikia kwa Atilo ft Jovial such kind of love, akaitumia Diamond naanzaje, ameitumia Rayvanny I miss you.
Na wengine wanaendelea itumia.
Beat hizi hutokea wapi!? Nani ana copyrights!? Je, huwa ni...
Rapa na muigizaji wa Marekani Kanye West amelalamika kuhusu majukwaa ya kusambaza muziki yanavyotesa wasanii kwa kuwalipa malipo duni kutokana na kazi zao.
Kulingana naye, majukwaa ya muziki yamekuwa yakiwadhulumu wasanii kwa muda mrefu kwa kuwalipa pesa kidogo kutokana na kazi zao za sanaa...
Wasanii wanatengeneza mapambo kwa kutumia siagi za rangi (butter sculptures) katika mji mkongwe, Lhasa. Huu ni usanii wa jadi wa utengenezaji wa sanamu mkoani Tibet kwa kutumia siagi.
MwanaJf hivi unajua kama Emma Mkono aka Nareal na mwenzie Haika wanamiliki Football Academy? Mimi sikujua, mpaka leo nilipokuwa natazama Azam Tv nikaona akihojiwa.
Mbali na kufanya vizuri kimziki hawa watu wamewekeza kwenye soka. Wameuza vijana Azam, Kagera nk. Hawa ni watu wa kutazama kwa...
Nitoe rai kukagua uraia na passport za watu wote mashuhuri na wasanii kwenye list wasikosekane;
1. Petit Man wakuache
2. Wasanii wote wa bolingo
3. Dancers wote
4. Alistote
5. Wamiliki wote wa maduka ya nguo Kinondoni
Mtanishukuru baadae lakini mnaweza kuamua kupuuza pia.
Kutoka kwenye insta story ya Rapa Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ ameandika; “Yani kujifanyaga mnawapa magari ooh label kubwa alau mkishindwana mna wapokonya magari yenyewe tena wasanii kwa wasanii.
“Ndio mjifunze wasanii wapenda magari ya bure wakati mna vipaji na wakati mkikomaa mnaweza...
Kwenye muziki wa hiphop bongo hakujawahi kutokea msanii mwenye nguvu kama Juma Nature.
Juma Nature aliingia kwenye muziki akaukuta umejaa umarekani mwingi na akaubadilisha mchezo kabisa. Silaha yake kubwa ilikuwa ni storytelling.
Ipo wazi Juma Nature ndio bingwa wa storytelling kibongobongo...
Ni wasanii wachache sana bongo waliofanikiwa kutengeneza nyimbo ambazo ni classic. Classic ni zile nyimbo zenye uhai mrefu na uzuri wake uwa haupotei miaka na miaka. Sio kila hit song ni classic.
Billie Jean ya Wacko jacko ni classic, happy birthday ya Steve Wonder ni classic.
Wasanii wa bongo...
Miongoni mwa sintofahamu inayoendelea ni kutojulikana alipo aliyekuwa staa wa Bongo Movies, Mikalla aliyeng’ara kwenye Filamu ya The Lost Twins akitumia jina la Anita; filamu iliyoandaliwa na aliyekuwa kinara wa tasnia hiyo, marehemu Steven Kanumba chini ya Kampuni ya Mtitu First Game Quality...
Matangazo mengi ya beer za TBL wanapewa watu wa Arusha. Hii kitu imekua inaendelea kwa muda sasa. Castle Lite wanawapo deals Weusi (wasanii kutoka Arusha). G-nako alifanya nyimbo kufanya promotion ya beer ya Kilimanjaro na pia alipewa ubalozi wa beer ya Kilimanjaro. Castle Lite Unlocks ya South...
Awali ya yote nianze kwa Kukupongeza sana na kwa Furaha mno 'Poti' wangu wa Kizanaki kutoka Mkoani Mara na Mkurugenzi Mwenza wa Gazeti la JAMHURI Kaka Manyerere Jackton kwa kupata Masters Degree yako ya Mass Communication kutoka Chuo Kikuu changu 'pendwa' Tanzania nzima cha SAUT Mwanza.
Kwa...
Nawasalimu kwa jina la JMT.
Juzi kwenye mkesha wa Christmas, dunia imeshuhudia magwiji wa muziki Nigeria, Wizkid, Davido, na Komredi Burna Boy, wakiungana kufanya show pamoja iliyoandaliwa na Tony Olumelu wa BOA bank. Iliashiria umoja na upendo miongoni mwa wasanii huko Nigeria. Kwa pamoja...
Heshima kwenu wakuu.
Hivi, unaweza ukakuta Wimbo umewekwa You Tube lakini sio video, utakuta kama CD Inazunguka hivi halafu kuna jina la Wimbo pembeni na jina la Msanii husika huku Equalizer zinapanda na kushuka.
Huwa wanatumia program gani wadau? Na pia je, huwa ni kwa kutumia simu, computer...
Wadau
Majuzi nilikuwa naangalia Tanzania Film Festival 20202021 kule Tughimbe Hotel Mbeya ....Kwa kweli nilishangazwa sana na wengi ya wasanii wakiume waliochukua Tuzo walikuwa wanalia lia hovyo na kuishiwa nguvu kabisa na kuanza kulilia mama zao pale jukwaani....
Mi ninavyoelewa machozi...
Mondi azidi kuonyesha kwamba yeye ndiye mfalme wa East africa 🌍 kutokana na kuwa namba moja kwenye list ya watu walioangaliwa zaidi mjini YouTube .......
Ushauri wangu watanzania tuhamasishe wasanii wetu wafanye muziki na sio kulia lia kwenye media
Wakali wa hit Amapiano ya John vuli gate (Mapara A Jazz) kwa mtazamo wa kiutafiti yawezekana wakawa ndio kundi cheap na rahisi kupatikana compared na makundi yenye mfanano na wao kutoka bondeni kwa Madiba.
Thamani ya vitu au watu upimwa kwa Sifa mbalimbali ila kubwa ni upekee na upatikanaji...
Nianze kwa kukiri wazi kuwa, Tangu Nianze kufuatilia Matamasha ya Wasanii wanayo yafanya kwenye Jamii, Nimeona WASANII WA KITANZANIA wanaongoza Sana Kufanya PERFORMANCE zao Kwenye Matamasha/Mikutano Ya Kiserikali Kuliko Nchi Yoyote Ile Duniani.
Mbaya Zaidi na Zaidi, Nimeona WASANII WENGI WA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.