Habarini Wana Jf
Niende moja kwa moja kwenye topic, kiukweli label kuoperate sio Lele mama Kama wengi wao wanavyozania maana inahitaji moyo wa Chuma Kama alio nao Rayvanny na Diamond platinumz maana wao ndio wameikamata hii industry kwa kuonesha Ni jinsi gani Wana core values za music and...
Harmonize kasema hakuna msanii wa Tanzania alie mkubwa Afrika ila tunadanganyana tu, akabezwa.
List ya wasanii wanaomiliki mkwanja mrefu imetoka na msanii wetu tunaemuita mkubwa ametoka kapa hata kwenye 15 hayupo.
Hii ina maana vile vyanzo vya mapato vyote inavosemekana vyake havimuingizii...
Ushauri wangu kwa Basata ni huu kazi za wasanii sio za Tanzania pekee na hamuwezi kukaa vikao bila kuelewa hilo. Usanii ni biashara ambayo serikali inanufaika kwa ubunifu sasa cha ajabu ni watu kuwa katikati na kutaka kuwaeleza wabunifu etu wabuni vipi!. Dhana ya hiki chama ni kusaidia kusiwepo...
Habari za kushinda wakuu.
Uzi huu nataka tujuzane je, ni mkoa gani wenye wasanii wengi hapa Tanzania? Hapa naongelea wasanii wote kuanzia waigizaji, waimbaji na wachekeshaji. Je, itakuwa mkoa gani unaongoza hapa Tanzania. Tunaweza saidia kutaja wasanii na mikoa watokayo ili tufahamu zaidi.
Kwa...
Kuanzia tarehe 1 Mei 2021 BASATA wanaanza kutumia rasmi kanuni ya kuzipitia/kuchuja nyimbo mpya za Wasanii wote Tanzania kabla ya kupelekwa kwenye vituo vya Radio/TV
“hii sio sheria mpya, ilikuwepo kabla ila haikua imeanza kutekelezwa, wimbo ukipitishwa Msanii anapewa cheti”
Chanzo...
WASANII MNAOIBUKIA KULIKONI? KWANI YOUTUBE NI HIVYO SASA 😨
Sikatai kuwa hata mchicha na mbuyu vilianza sawa, lakini Huu mtindo wakuomba sub 4 sub au kuomba views Na subscribe inbox kama utawafikisha pahali! Niukweli mchungu lakini muupekee hivyo hivyo. Kuna madhara makubwa yakumwomba mtu...
Baraza la Kiswahili Tanzania (Bakita) limesema litaanza kuwashughulikia wasanii wanaotumia vibaya Kiswahili katika kazi zao huku likiwatolea mfano wasanii wa Bongofleva.
Hayo yameelezwa leo Alhamisi Aprili 29, 2021 na mhariri lugha wa baraza hilo, Oni Sigala katika jukwaa la sanaa lililofanyika...
Huko vijijini kuna kesi za masikini kuwarubuni watoto wa shule kingono na huamuliwa ili iwe fundisho kwa jamii.
Huko vijijini kuna kesi za walimu kuwatongoza wanafunzi kwa tuhuma ya kuwakonyeza au kuchat nao tu na huamuliwa jera ili fundisho kwa jamii.
Je, Serikali haioni kuwa kuna umhimu wa...
Nimekuwa nikijiuliza kwa muda mrefu kwanini wasanii wetu maarufu hapa Tanzania huwezi kupata taarifa zao kwenye mitandao kama Wikipedia ili angalau ujue historia zao.
Ni ajabu kwamba hata wanamuziki wetu wakongwe huwezi kupata taarifa zao zote hasa kwenye mtandao maarufu wa Wikipedia. Mitandao...
Wasanii muachege kutumika vibaya aisee.
Haswa nyie wachafu sijui wachafu wa nafsi na team yenu.
Yaani mnapewa pesa na maagizo ya watu fulani fulani hivi mtengeneze kiki ili mutoe watu kwenye reli ya kujadili report ya CAG kwa manufaa ya kikundi fulani hii haikubaliki.
Nyie wasanii ndo maana...
Wasanii wabongo wasipofungua akili wataishia kwenda mahakamani kuvunja ndoa nakugawa riziki kidogo waliyojaaliwa
Nimemwona Ben Pol, nakumbuka kisa Cha Kiba, Hawa ni baadhi ya watu walioa kabla yakufungua macho kuona Nini Tafsiri ya ndoa
Naomba wasanii msikurupuke kuoa, wanawake wanawaza...
Ni kweli sina mpenzi na sipo kwenye mahusiano, mimi ni binti mdogo nina miaka 19 sitakiwi kujihusisha na hayo mambo, siwezi ku-control mapenzi na kazi kwa wakati mmoja kwa hiyo itabidi nipige kazi, nilishaapa sitaki kufa masikini lazima nipambane" - Msanii Anjella wa Konde Gang
Chanzo...
Ukizisikiliza kwa makini nyimbo nyingi zilizotungwa baada ya Rais Magufuli kufariki huwezi kuacha kuwaza ni kweli na kwa dhati ya mioyo yao hawa wasanii wanamaanisha?
Au kuna kitu wanakinyemelea nyuma ya pazia! Inavyoonekana ni kama baada ya kifo hiki wengi watashindwa kuendelea kuitumikia...
Msanii wa Bongo Fleva Diamond Platnumz amepiga hatua nyingine kubwa katika kazi yake ya muziki.
Diamond kwa jina halisi Naseeb Abdul amekuwa mwanamuziki wa kwanza kusini mwa jangwa la sahara kupata subscriber milioni tano katika mtandao wa Youtube, kupitia chaneli yake ya youtube.
Mbali na...
Wakuu nataka kufahamu net worth za wasanii wa bongo.
Nikimtazama mwanamuziki jux naona msanii mkubwa ndani yake. mwenye kipaji.
Ana pesa kiasi gani na anazipata je, kwa kuimba tu au ana vyanzo vingine halali?
Karibuni.
Msanii wa muziki wa Bongo Fleva Madee ameleza namna alivyowaza mbali kuimba wimbo wa hadithi ambao umeelezea mambo aliyofanya hayati Magufuli, huku akienda mbali zaidi aikisema kuwa atatunga kitabu kwa ajili ya huo wimbo.
Baada ya Ibada ya kuuombea na kuuaga mwili wa aliyekuwa Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli kufanyika katika kanisa la St Peters Jiji Dar es Salaam sasa ni muda wa uwanja wa Uhuru Dar Es Salaam. Wananchi wamekusanyika kwa wingi kuuaga mwili wa aliyekuwa rais wa Tanzania
WAKAZI WA DAR...
Yaani nowdays wasanii wengi wamekuwa wakitoa nyimbo za maombolezo zinazofanan halafu mashairi cheap sana hayagusi
Nimeskia country boy anaimba eti "your my super girl my president"
Hivi kama sio bange ni nini?
Na Mwandishi wetu,
Katika kuadhimisha kusherehekea siku ya Wanawake Duniani 2021, wasanii mbalimbali wa muziki wa kizazi kipya hapa nchini wamekipongeza kinywaji cha Konyagi kwa kuwapa fursa ya kuthamini ujasiri, ushupavu na uthubutu wa wanawake ambao wamejitoa katika mafanikio ya kazi zao za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.