Tanzania ina wasanii wengi mno lakini cha kusikitisha ubinafsi umewapiga kiasi cha kuua kabisa ubunifu wao. Wazee wenzangu tunakumbuka tamthiliya ya tausi ilivyokuwa na mashiko wakati ule.
Hivi inaingi akilini nchi ya uchumi wa kati tunaangalia tamthiliya za wenzetu zilizofasiriwa kwa Kiswahili...
Dar es Salaam. Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Abdallah Ulega amesema watawapa wasanii misamiati mipya kwa ajili ya kuitumia kwenye nyimbo zao ili kukuza lugha ya Kiswahili.
Miongoni mwa wasanii hao ni Daimond, Ali Kiba, Harmonize, Zuchu, Nandy, Maromboso, Rayvan na wengine...
Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi amesema Serikali haitapoteza muda na wasanii wanaofanya “kiki” badala ya kutumia muda wao vizuri kutengeneza kazi bora zitakazouzika ndani na nje ya nchi kwa manufaa yao na Taifa.
Dkt. Abbasi...
Kuna wasanii hawamo Wikipedia sasa nashangaa sijui wamepungukiwa nini, mtu kama soggy doggy, D.knob siwaoni au ninyi ndugu mnawaona?
Ebu waambieni wafanye hivyo, Hivi madogo wa baada ya miaka 50 mbele watawatambuaje?
Ndio nasikia watu wanalalamika eti serikali haitunzi historia, kama ni hivyo...
Kuna zile animation za music wanatengeza wale wanaija wanajiita poka kwa kweli ni nzuri sana wanatengeneza kwa kiwango cha juu
Waliwahi tengeneza video animation jeje ya diamond mpka mwenyewe alipiga salute
Sijui mmiliki wake hiyo studio ni nani?
Video animation kama
Orakila- in my maserati...
Kwa wale wapenzi wa muziki wa zamani bolingo japokuwa mimi sio old skool ila nimetokea tu kuzijua nyimbo nyingi kutokana na nature ya kazi nilizowahi kufanya na ninazofanya
Ninachojiuliza zamani teknolojia kuwa ndogo lakini mbona bolingo hizo nyingi sauti na vyombo vimepangiliwa kwa ufasaha...
Wahenga wanasema vya kale dhahabu,mavi ya kale hayanuki,na uzee dawa lakini hali ni tofauti kwenye upande wa bongo fleva,ya kale yamekua kokoto za Kunduchi,wazee wetu pumzi zimekata,mistari wamesahau,umiliki wa jukwaa zero kabisa ....wateule hasa Jafarai na Mchizi mox hamna kitu kabisa,Salute...
Wakuu kupitia nlivyoandika kuna mwenye idea ya hiyo nyimbo nimeshindwa kuiandika vyema nimeikutia mwishoni,sifahamu hasa namna ya kuiimba
Am so soulaa enheee,shwai issh Manish ndolee,tikiittk mandole tikiitk mandole am so soulaa ehh wishu badnlldole ...
Hili Jambo linanishangaza Sana , sijaona wasanii wengine hasa wa nje , wakiweka video tofaut na official music kwenye official accnt zao za YouTube , huku Tz ni fujo tupu , unakuta msanii anaoga bafuni anajirekodi anaweka kwenye accnt yake ya YouTube .....
Huyo Zuchu sasa ni hamna kitu , wimbo...
Huko kwenye you tube nimeona parody kibao za Waah ya Mondi, ningetamani kujua kama anafaidika ama ni wanajifurahisha tu...ingawa Watu wanapata views kupitia hilo.
Moja wapo hii hapa.
Ukifuatilia siasa za Africa sasa hivi wasanii ndio wanaanza kuibuka kugombea vyeo vya uraisi africa
Mfano Raisi wa Madagascar Andry Nirina Rajoelina alikuwa DJ wa mziki
Bob Wine wa Uganda ni Mwanamuziki kagombea Uraisi uganda
Tanzania Freeman Mbowe alikuwa DJ wa Muziki na alishagombea uraisi...
Kama wewe ni mfuasi wa muziki, basi utakubaliana na mimi kwamba hii kazi ni ya kiwango cha kimataifa (World Class).
Hawa ni watoto wa Afrika Kusini, lakini kazi waliyoitoa ni ya kiwango cha nchi za Magharibi,
Ubunifu wa mavazi, mazingira, mavazi na wimbo wenyewe vimebebana sana.
Hivi wasanii...
Wakuu,
Sasa hivi nimetulia ghetto nikipata kusikiliza gospel za hao watu wawili ,fanuel sedekia na Angela muriri chibalonza
Nimegundua hao watu walikuwa mbele ya muda.
Itachukua muda sana kuziba mapengo yao.
Je, kuna waliofanikiwa kuziba mapengo yao mpk sasa?
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Mwinyi amemteua Maalim Seif Shariff Hamad, kuwa Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar kuanzia leo Disemba 06, 2020.
=====
Taarifa kwa vyombo vya Habari
Kwa kuzingatia matakwa ya Kifungu cha 9(3) cha Katiba ya Zanzibar ya Mwaka...
Hello,
Mnajisahau sana, mkitumiwa ujumbe hamjibu.
Kama hamtaki kusumbuliwa si muweke contacts za meneja wenu, mtu akitaka kuwasiliana na nyie anapitia meneja wenu?
Naona Rais anajipendelea balaa. Social distance ni yeye pekee. Wengine tunaambiwa ni kovidi frii. Siku hizi hata mic anayo ya kwake peke yake na hata Maris wa nchi nyingine hawaruhusiwi kuitumia (Refer siku ya kuapishwa kwake)
Any way naona Mheshimiwa anajipendelea yani anajihakikishia usalama...
Napenda kuanza kwa kuwapa hongera wasanii wetu kwa kazi nzuri inayoonekana . Hakika juhudi inalipa.
Katika utoaji wa tuzo hizo za AFRIMMA jana usiku wasanii Diamond, Nandi na Zuchu wamechukua tuzo za
-: Best east Afrika awards ya (Female & Male - DIAMOND PLATNUMZ & NANDI).
Huku tuzo ya
-...
Mwanamziki nguli wa muziki wa Bongo Flava, Harmonize ameshutumiwa na "wasanii wadogo" Lizu Dady na Phamo S kuiba idea ya wimbo wa wimbo wake mpya unaoitwa "huo ni ushamba".
Wasanii hao wanadai walitunga wimbo mapema wanaouita "upimbi", wimbo ambao unaendana wazo pamoja na kiitikio (Chorus)...
Habari!
Wasanii wa bongo walikuwa na mashindano yao walikuwa wanaumiza vichwa kufanya kazi zao kwa bidii na nguvu zote.
Sasa hivi karibuni yale mashindano na majigambo walikuwa wanatupiana nani amefanya kazi nzuri huku wakiamini YouTube Views ndio zinapoma ubora wa kazi zao.
Mambo yamekuwa si...
Leo nilikuwa napitia huko youtube nimegundua wasanii wetu watachukua muda mrefu kufikia level za wasanii wa naija. Kwanini tunaachwa mbali sana nyimbo za wasanii wetu ukizisikia zinavyolia kila mtaa unaweza usiamini utachokiona huko youtube viewers ni wachache sana
Wakati wenzetu ukisikia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.