Mmekua na tabia ya kuchukua video/picha za waalikwa bila idhini yao na kuzipost kwenye kurasa zenu za mitandao ya kijamii,kwani nyie wenzetu mnaona ni Sawa?
Mimi nimekuja zangu kwenye sherehe mubebezi yupo huko mbali nimemuaga nalala wewe asubuhi asubuhi umeshaanza kunipost
Nacheza ukumbini...
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limekumbusha kuwa, kwa mujibu wa Kanuni za BASATA za mwaka 2018 na Tozo za mwaka 2025, waongoza sherehe, burudani na matukio (MC) pamoja na Manju Muziki (DJ) wanatakiwa kupata vibali vya BASATA kabla ya kufanya kazi za sanaa.
BASATA imeelekeza wahusika wote...
Wewe una kipaji cha U Mc( Ushereheshaji?)
Haujui jinsi ya kupata kipato kupitia kipaji chako?
Kama jibu lako ni NDIO basi hii ni HABARI NJEMA Sana kwako.
Maduskodusko Entertainment Promotion tuna manage Ma Mc wenye vipaji kwa kuwatafutia events mbalimbali za Ku perform ndani na nje ya jiji la...
Mwl. Bryceson Makena ambaye ni muasisi wa Kisima amefafanua kuwa kongamano hilo la siku tatu litakuwa na zaidi ya washiriki 1000.
Na Vero Ignatus, Arusha.
Chama cha wafawidhi wa matukio nchini Tanzania (KISIMA CHA MAFANIKIO ) wameandaa kongamano la kuongeza uelewa na maarifa juu ya tasnia...